kama unajudge uraia wa watu humu kwa kutetea nchi fulani ama kiongozi wa nchi fulani tambua akili yako inakudanganya! kwa kutumia akili yako utakuta humu kuna wamarekani na warusi ambao nadhani ndo raia wa kigeni wengi zaidi humu jf, pia kuna wakorea, wachina, waisrael, wairan na waarab. ila wanaoniachaga hoi ni wamarekani wenzangu na warusi! make sisi waUS na warusi tunajua hadi mambo ya ndani ya nchi zetu, siraha zetu na uwezo zilionao, siri za serikali zetu na vyombo vyao vya kijasusi tunazijua pia. sisi waUS na warusi ni watetezi wazuri tu wa marais wetu, serikali zetu na majeshi yetu kuliko raia wa kigeni wowote humu JF. ajabu warusi, waUS, wachina, wairan, waisrael,nk sote tunaandika kwa kiswahili!
nimejaribu kuandika kwa akili yako ili akili yako isiendelee kukudanganya na nimeandika 'sisi wamarekani' sababu mie ni pro-US katika mada nyingi humu.