Yaani akirudi member wapya kama akina Heaven on Earth , Ennie Tangopori badiebey na wengineo wanaweza kudhani ni mpya ...lol!!!!!
kina Karucee wanatukimbiza
Mbu kwanza na wewe una kesi ya kujibu katika watu ambao walikuwa na thread humu ndani za kiuchokozi na za kuibua mjadala ni wewe siku hizi umekimbia unawaachia wale wanaouliza style au mara ngapi (unajua namaanisha nini) watawale jukwaa tunaishia kuchakachua thread zao na habari za mpira
mie mzima wa afya tele, sijui wewe? msukuma hajambo kabisaaa.
Mbu kwanza na wewe una kesi ya kujibu katika watu ambao walikuwa na thread humu ndani za kiuchokozi na za kuibua mjadala ni wewe siku hizi umekimbia unawaachia wale wanaouliza style au mara ngapi (unajua namaanisha nini) watawale jukwaa tunaishia kuchakachua thread zao na habari za mpira
Kuna watu walikuwa wadau wakubwa sana wa hili jukwaa. Usingeweza kumkosa mtu walau kila week. Ila kwa sasa wamepotea sana kiasi kwamba wanazua hali ya wasiwasi. Naomba tujaribu kupeana taarifa kama kuna mwenye hints ili tujue kama bado wapo!
1. @WomanOfSubtance (kwa mara ya mwisho alichangia kwenye huu uzi , na ilikuwa 30th April 2013
2 klorokwini (hajaonekana jukwaani kwa muda mrefu sana, record zinaonesha kuwa post yake ya mwisho ilikuwa 27th April 2012 15:15)
3. Dena Amsi
4. Rose1980 (Most Recent Message: 16th March 2013 14:06
5. afrodenzi (Most Recent Message: 13th November 2013 09:54)
6. Nyamayao
7. The Finest (Last Activity: 23rd January 2014 11:23)
8.
Ahsanteni sana,
Babu DC!!
bora Smile ana beep, jamani Pearl, Bht na Nyumba kubwa nimewamiss mpaka basi.
Kweli mkuu Mr Rocky,
Kuna thread ulikuwa ukiichelewa kwa masaa basi inabidi uombe mtu akupige summary....
Nadhani sasa tumezoea kila kitu ni voda fasta...kama ni msosi hata hauivi!
Babu DC!!
Mi pia Heaven on Earth uko salama kabisa wewe
eti '***** zangu leo nimelabuliwa'....
mtakuja mtuue ninyi vijana