Yupo ila naona si mwandishi sana siku hizi. Amekuwa kimya hadi anaonekana mgeni sasa
Eiyer ni balaa mi nilikuwa napenda thread za hawa watu AshaDii na Lizzy na The Finest bana wakitoa thread unajiuliza uanze kujibu nini au unaacha watu wengine wajibu ndo na wewe upate pa kuanzia Roulette nae kapotea sijui nini kimemkimbiza humuTena huyu we ngoja tu ........!!!!!!!!!!!
Balaa lilianza alipokuwa JF woman Of The Year .....
Since that time amekuwa kama jasho la kuku ....lol!!!!!!!!
Roulette huwa anaonekana kwa kubeep sana siku hizi ..!!!!!!!Eiyer ni balaa mi nilikuwa napenda thread za hawa watu AshaDii na Lizzy na The Finest bana wakitoa thread unajiuliza uanze kujibu nini au unaacha watu wengine wajibu ndo na wewe upate pa kuanzia Roulette nae kapotea sijui nini kimemkimbiza humu
ID mpya ndo wao mkuu zilizozoeleka wameweka pembeni wapo humu unakulanao sahani moja! Dark City
Hilo linawezekana kabisa.....
Hivi tunawezaje kuwa na PM za utambulisho kwa wale walioamua kujilipua kwa kuzamia na ID mpya?
Ngoja kidogo, nitawasiliana na Maxence Melo anipatie mwongozo!
Babu DC!!
Huyu yupo bize na kumoderate jukwaa hahaah.
Aliwahi kusema kuwa ameacha umoderetor sijui ni kweli ...!!!!!!!