Wako wapi hawa wadau?

Wako wapi hawa wadau?

Jamani jamani.......mbona hata mimi sipo lakini hamniulizii.......we babu wewe........
Mimi namkumbuka sana 3D......na mtalaka wangu mtu chake..........
Preta cake ya happy birthday to you iko wapi aise au umekula mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani.......mbona hata mimi sipo lakini hamniulizii.......we babu wewe........
Mimi namkumbuka sana 3D......na mtalaka wangu mtu chake..........

Nikikutafuta wewe Preta nitathibisha kuwa pensheni inanipelekesha....Nitakutafutaje wakati juzi juzi tu hapa tulikuwa pamoja kwenye mambo ya logistics...ingawa tulimaliza kwa aibu aisee!!

Watu kibao wameingia sana mtini hadi inaogopesha. Mwambie na mama wa nyuki wa mashine, Lily Flower aache kuingia mitini. Labda kama anataka tumtafute kwa thread...lol!!

Babu DC!!
 
Kuna wadau kama Eiyer hawaonekani kirahisi rahisi......mke wangu@ashadii ni mama kijacho sasa hivi anapumzika sana
 
Last edited by a moderator:
Nikikutafuta wewe Preta nitathibisha kuwa pensheni inanipelekesha....Nitakutafutaje wakati juzi juzi tu hapa tulikuwa pamoja kwenye mambo ya logistics...ingawa tulimaliza kwa aibu aisee!!

Watu kibao wameingia sana mtini hadi inaogopesha. Mwambie na mama wa nyuki wa mashine, Lily Flower aache kuingia mitini. Labda kama anataka tumtafute kwa thread...lol!!

Babu DC!!

Babu nitafute bana.......ile mambo lazima tuilete tena.......ni kama kumvizia kiziwi.......huku umevaa sox halafu kwenye carpet la manyoya........taratiiiibu........
 
Last edited by a moderator:
Lols. Mi thimo Babu wee.

Umo tena saaana......Weee mbaya sana wewe....!!

Unaamua kabisa kuwashusha watu testosterone yao (bidhaa adimu kabisa)...hutaki nipate wajukuu zaidi??

Sijui nisema kuwa nakupenda sana wewe (au kinyume chake)??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu nitafute bana.......ile mambo lazima tuilete tena.......ni kama kumvizia kiziwi.......huku umevaa sox halafu kwenye carpet la manyoya........taratiiiibu........

Nikutwangie saa ngapi??

Halafu trip yangu Chugga iko pale pale....ila nashangaa wadau wamekuwa kimya sana!! Kwani bado wanaomboleza trip yetu iliyoota mbawa?

Wape hi...wambie Babu miss nyote!

Babu DC!!
 
Kwema swahiba?

Huyo Teamo naye kaamua kujiunga na wapiga chapo...

Hebu ona hapa ,
[FONT=\]
Last Activity:
[/FONT]
[FONT=\]Yesterday [/FONT][FONT=\]17:46
[/FONT]

Babu DC!!

Namshukuru sana Muumba nimeamka salama u salmin asubuhi hii,
Dahhh,....Gone are those days unafungua #JF unachungulia Teamo yamemkumba yapi leo...

au Asprin kakoswakoswa na majanga gani kwenye ile Baa yao!
bila kumsahau klorokwini na chombeza zake za hapa na pale....

huku Fidel80 na The Finest (huyu mara ya mwisho alianza kuhubiri neno na yeye!) wakibandika bandua
mpaka kinaeleweka.
 
How do you do it ili ukitaja jina la mtu hapa linakuwa link? Halafu lazizi wangu Nyamayao alionekana humu kama mwezi mmoja uliopita !

mie nipo nipo ile dizaini kuchungulia chungulia laazizi wangu!
 
Namshukuru sana Muumba nimeamka salama u salmin asubuhi hii,
Dahhh,....Gone are those days unafungua #JF unachungulia Teamo yamemkumba yapi leo...

au Asprin kakoswakoswa na majanga gani kwenye ile Baa yao!
bila kumsahau klorokwini na chombeza zake za hapa na pale....

huku Fidel80 na The Finest (huyu mara ya mwisho alianza kuhubiri neno na yeye!) wakibandika bandua
mpaka kinaeleweka.

Mbona umemsahau Rev Masanilo??

JF ilikuwa na raha bwana...

Ila kama kuna watu wamebadili jezi basi watutonye...nahofia tunaweza kuwaingiza kwenye missing people's list!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom