Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
mbona nipo anofelesi wangu...
phewwww, asavali maana nilisoma bandiko hapo nyuma ati nawe umeadimika humu.
mbona nipo anofelesi wangu...
Hahaaaa.Sawa tu. Wewe endelea kuwaua kisaikolojia watoto wa wenzio.
Ila dawa yako yachemka...
Babu DC!!
nipo jukwaa la inteligence siku hizihttps://www.jamiiforums.com/mahusia...sted-in-the-forum-before-but-still-valid.html
Hizo zitabaki kuwa thread bora hapa MMU
ni kweli nimehamia jukwaa la inteligence na uchumi kulephewwww, asavali maana nilisoma bandiko hapo nyuma ati nawe umeadimika humu.
NAONA UMEMUWEKA Lethi Matabanie kwenye Avatar was she your favorite!!!!!
ukiweka unitag basi.....seriously, kuna Mdahalo nauandaa kichwani...tangu wiki iliyopita ninajifikiria niubandike hapa au la ila si unajua tena wachangiaji wenyewe wa siku hizi hawachelewi kukwambia umepitwa na wakati.
Well, baadae kidogo nitauweka hewani tupanue mawazo.
duuuh kweli hapo hata keyboard hawezi kuona herufi tena milele...chezeiya kitu supporting document hapo back bencher wewe? ccDark cityThe Finest niko nae kwenye honeymoon
Babu lakini record inaonesha kuwa The Finest alilog in humu mara ya mwisho tarehe 23 mwezi huu mwaka huu
yaani wako wengi hawaondkani kabisa. Hata huyu mdunguaji Snipper yuko kimya sana. Ujue wengine huenda Mungu keshawavuna...Kuna watu walikuwa wadau wakubwa sana wa hili jukwaa. Usingeweza kumkosa mtu walau kila week. Ila kwa sasa wamepotea sana kiasi kwamba wanazua hali ya wasiwasi. Naomba tujaribu kupeana taarifa kama kuna mwenye hints ili tujue kama bado wapo!
1. @WomanOfSubtance (kwa mara ya mwisho alichangia kwenye huu uzi , na ilikuwa 30th April 2013
2 klorokwini (hajaonekana jukwaani kwa muda mrefu sana, record zinaonesha kuwa post yake ya mwisho ilikuwa 27th April 2012 15:15)
3. Dena Amsi
4. Rose1980 (Most Recent Message: 16th March 2013 14:06
5. afrodenzi (Most Recent Message: 13th November 2013 09:54)
6. Nyamayao
7. The Finest (Last Activity: 23rd January 2014 11:23)
8.
Ahsanteni sana,

Tulibahatika kuishi vizuri sana aisee, threads za kusisimua na shule ya kufa mtu... hata siku hizi hali ipo ila naona kuna wataalam wa kizaiz kipya naona wamekuja kivingine kwahiyo wazee tumeyumba kidogoKweli mkuu, Da Asha, AshaDii ni namba nyingine.
Ila pamoja na utani, Jf ya siku za nyuma ilikuwa ya GT kweli kweli!
Babu DC!!
Kuhusu klorokwini nadhani Asprin anaweza akatuambia mahali alipo kidonge mwenzake
yaani ilikuwa bonge la familia! hebu weka picha yako banaTulibahatika kuishi vizuri sana aisee, threads za kusisimua na shule ya kufa mtu... hata siku hizi hali ipo ila naona kuna wataalam wa kizaiz kipya naona wamekuja kivingine kwahiyo wazee tumeyumba kidogo
hawakawii kuomba picha...:A S 114:
ni kweli kabisa Smile, sijaonekana mda mrefu ila huwa mara nyingi nachungulia kama mgeni tu. Hivi hakuna namna ya kujua wenzetu walio_rest in peace?duuh hata wewe sijakuona siku nyingi ujue
Tulibahatika kuishi vizuri sana aisee, threads za kusisimua na shule ya kufa mtu... hata siku hizi hali ipo ila naona kuna wataalam wa kizaiz kipya naona wamekuja kivingine kwahiyo wazee tumeyumba kidogo
hawakawii kuomba picha...:A S 114: