Wako wapi hawa wadau?

Wako wapi hawa wadau?

Mkuu Dark City umri huu nani anahangaika.na PM zetu? We are safe that way...of course wake zangu tunawasiliana kwa njia zote halali

Kweli mzee mwenzangu...nani ana muda wa kusikia hadithi za mwaka 1947...

Atamudu kusikiliza simulizi za chagulaga au kukimbizana migombani??
 
Jf ilikuwa ukifungua mwenyewe unafurahia. Sijui nani alienda kutangaza mashuleni kwamba kuna jf. Wamejiunga watoto kibao wametukimbizia watu wenye busara zao. I real miss ushauri aliokuwa anatoa dena@Amsi ! Rudini jamani tunawamiss!
 
Last edited by a moderator:
Huu ndio ukweli


Dark City

Nadhani tatizo ni "mwelekeo" wa jukwaa...! Enzi zile kulikuwa kuna uwiano wa "fikra" katika wachangiaji japo hatukuwa tunafahamiana, na kwa hisia nadhani pia "nyumri" zilikuwa zinakaribiana...! Siku hizi kwa kuangalia michango waweza kuona kuona kuwa wachangiaji wengi "nyumri" zao ni chini ya miaka 20 hivi, na matokeo yake, kwa sisi tuliokula chumvi nyingi unajiona kama "unahaibika"...!
 
Last edited by a moderator:
Hapana bwana. Wewe nitakuweza mimi kibogoyo?

Nilitaka tu uwasalimie kaka zako...lol!!



Umeona eeee.......Ngoja waje na wengine wakuthibitishie unavyoelekea kusababisha unintended genocide!

Wakija uniite nijichekee.
 
Back
Top Bottom