Kweli mzee mwenzangu...nani ana muda wa kusikia hadithi za mwaka 1947...
Atamudu kusikiliza simulizi za chagulaga au kukimbizana migombani??
pole sana babu....Mbona hukunambia mapema??
Mwenzio nahangaika kumtafuta mjukuu wangu halafu wewe umeuchuna??
Not fair kwa kweli...
Hommie twenzetu chit chat. kuna binti naskia kafa kwa ajili yangu... na wajua bila Yohana Yesu asingebatizwa ili andiko litimie?
Wakija uniite nijichekee.
pole sana babu....
lakini nakumbuka tunasemaga ukipoteza kitu unaanza kutafuta sehemu/watu walio around you.....
ina maana mimi nipo mbali nawe kiasi hicho? mpaka upige kelele kweli mtu mzima mwenzangu?
vibaya hivyo
Mimi hapana elewa. Go straight to the point Babu.Sikiliza Karucee,
Before I retired, I was a father (and of course still father) of a number of boys and some few girls...But believe me, boys are very delicate in terms of character building.. A slight miscalculation, you just end up with an unpleasant stooge!!
Kwa hiyo, acha kuzea hii specie kama hutaki kujibu mashtaka ya genocide!
ha haaaa, si unanijua zangu? sikawii kuingiza mtu chaka.........Ndo kusema umeshanigeuzia kibao mkubwa mwenzangu??.....
Haya bwana....ngoja mwenzio nisherehekee kumowa mwana mpotevu Rose1980.
Halafu huyu Maty sijui alitendwa na nani??
Ngoja nimpatie homework mdau wangu mmoja anaitwa MJ1 (@MwanajamiiOne) anisaidie kumtrace...Nammiss sana huyu mjukuu....
Sitaki nianze kumlilia mtu ambaye yuko anacheza READY pale Nji kasoro bahari!!
Babu DC!!
Babu I like to believe nipo straightforward sana. If someone is wrong apewe ukweli wake.Simply unawaua watoto wa wenzio kwa kuwashusha confo. ....Umeelewa??
Wanaume siku zote wanategemea kumwagiwa sifa na wenzio wao, na siyo kipondo..sawa?
Abee babu umeniita, majukumu yamezidi babu yangu mpenzi ndio maana unaona kimya
Nipunguzie hayo majukumu Maty
Babu I like to believe nipo straightforward sana. If someone is wrong apewe ukweli wake.
On the other side, kama mtu anastahili sifa atapewa. Thats just how I have been wired.
Nakubaliana na wewe Karucee..
Ila sasa binadamu tunakuwa wachungu tukiambiwa kile kinachotugusa sana...
Unadhani yule kibosile wa Bunge na Band ya chama ukimweleza kuwa mtumbo wake unakera sana...na kwamba hawezi kuchungulia mtaji wake hadi atumie kioo...na pia lazima apate mtu wa kumvisha socks na viatu...unadhani hatarusha ngumi??
Ndivyo tulivyo na lazima tukuone wewe mbaya!!
Jf ilikuwa ukifungua mwenyewe unafurahia. Sijui nani alienda kutangaza mashuleni kwamba kuna jf. Wamejiunga watoto kibao wametukimbizia watu wenye busara zao. I real miss ushauri aliokuwa anatoa dena@Amsi ! Rudini jamani tunawamiss!
upo dada umepoteajeha haaaa, si unanijua zangu? sikawii kuingiza mtu chaka.........
haya babu, enjoy