Wako wapi hawa wadau?

Wako wapi hawa wadau?

Mzee mwenzangu, mang'ana siyo mazuri na huyu bibi anazidisha speed utadhani amesahau kwamba tulishastaafu!

Nahitaji booster kidogo...si ndiyo mkuu??

Ila kama ni dau mie nitatoa ili ukamrudishe klorokwini

Mzee mwenzangu, klorokwini atarudi siku ambayo mie fellow tablet wake ntakapoamua kumuita. Nakuonea huruma, dau utakalotoa wajukuu zako watakula maharage badala ya samaki.
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City kweli watu kama The Finest na Dena Amsi wamepotea sana na Nyamayao
Sijui wanachungulia na kuona thread za humu ndani ni majanga na akina Lizzy na AshaDii nae amekuwa adimu anachungulia tuu na kuondoka

sometimes JF inapoteza ladha sio kama Enzi hizo ya 2008 wakati naanza kuijua, it was great thinkers kweli, siku hizi watua wanalilia likes na kuwa na post nyingi hakuna mapwoints kabisa
 
Mzee mwenzangu, klorokwini atarudi siku ambayo mie fellow tablet wake ntakapoamua kumuita. Nakuonea huruma, dau utakalotoa wajukuu zako watakula maharage badala ya samaki.

Hapana bwana...kamwambie klorokwini basi hata apige chabo mara moja kama wenzake.

Hilo dau hata halitoki kwenye mkoba wa Bibi...wajukuu walikuwa tayari kupiga harambeee!!
 
Last edited by a moderator:
Hapana bwana...kamwambie klorokwini basi hata apige chabo mara moja kama wenzake.

Hilo dau hata halitoki kwenye mkoba wa Bibi...wajukuu walikuwa tayari kupiga harambeee!!

Ngoja nijaribu kumkonvisi japokuwa alishanambia hataki tena kuumbuliwa na name calling rule. Akaopti ajirestishe in piis.
 
Last edited by a moderator:
Ok, ok, ok....Nimekupata sasa....

Kwa hiyo watu ambao hawajabadili ID au bado wanatumia zile za zamani (hata kama wanazo nyingine za ziada) hajamtenda mtu kupitia PM?

Hapa naona kuna watu wamepaishwa sana....
Kaizer, Asprin, Teamo, The Boss, Baba_Enock, Nyani Ngabu, PakaJimmy na wengine ambao siyo masalia... Hongereni sana kwa kutofanya maasi kupitia PM!!

Mkuu Dark City umri huu nani anahangaika.na PM zetu? We are safe that way...of course wake zangu tunawasiliana kwa njia zote halali
 
Last edited by a moderator:
Mimi na Mzee mwenzangu Asprini tuliingia hapa mwaka mmoja...ila yeye alitangulia kiduchu...

Ewaaa... Enzi hizo kuanzisha thread mtu unajiulíza mara mbili. Sasa hivi hata jinsi ya kutongoza, mtu anaanzisha uzi. Mtu akibakwa badala ya kwenda polisi anakuja MMU kuomba ushauri. yani vululuvululu. vyuo vikuu vya siku hizi vinachukua mpaka divishen faiv.
 
Mkuu Dark City umri huu nani anahangaika.na PM zetu? We are safe that way...of course wake zangu tunawasiliana kwa njia zote halali

Hommie twenzetu chit chat. kuna binti naskia kafa kwa ajili yangu... na wajua bila Yohana Yesu asingebatizwa ili andiko litimie?
 
Last edited by a moderator:
Ewaaa... Enzi hizo kuanzisha thread mtu unajiulíza mara mbili. Sasa hivi hata jinsi ya kutongoza, mtu anaanzisha uzi. Mtu akibakwa badala ya kwenda polisi anakuja MMU kuomba ushauri. yani vululuvululu. vyuo vikuu vya siku hizi vinachukua mpaka divishen faiv.
Hahaha...wajukuu nao wameadimika siku hizi
 
The Boss aka Mr. Smooth Operator is that dude .

I have great admiration for him. I actually wanna be like him when I grow up.

Halafu kuna huyu mdada Annina....naye sijui kapotelea wapi. Nadhani Mr. Smooth Operator anajua whereabouts zake.

Hapa sasa ngoja nikae pembeni kiduchu.....

Dynamics za hili jukwaa zinatisha sana....

Ila ukiona hata akina The Finest wametia timu basi raha....!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom