Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,379
Tulibahatika kuishi vizuri sana aisee, threads za kusisimua na shule ya kufa mtu... hata siku hizi hali ipo ila naona kuna wataalam wa kizaiz kipya naona wamekuja kivingine kwahiyo wazee tumeyumba kidogo
hawakawii kuomba picha...:A S 114:
aisee, watu wameadimika kweli, kimei, nguli, aisee nimewamiss pia.