benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,035
Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano.
Madeleka ameeleza kuwa ana imani kuwa Serikali ya awamu ya Sita itamlipa stahiki zake kama ambavyo imefanya hivyo kwa wale alioeleza kuwa waliteseka wakati wa utawala wa awamu iliyopita akitoa mfano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu
Credit Global TV