Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Pole sana.. Ila rudi CHADEMA kuongeza nguvu... Hii sio vita ya mtu mmoja
Bavicha bana kila mahala ushabiki wa vyama tu akirudi Chadema uporaji ndiyo utaisha acheni kuwapangia watu mitazano yao ya kisiasa.

Pole sana home boy Msando Allah atakuafu.
 
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....

Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga

Huyu hapa............Very sad pole sana wakili....

= intelijensia (intelligentsia).
 
Akiwa kama wakili msomi alitakiwa kujua hatari anazoweza kukumbana nazo akiwa kama raia pia kama wakili.Unasimamishwa usiku na watu usio wajua huku ukijua hujafanya wanachokushutumu,unashuka kwenye gari... something fishy [emoji35][emoji35],au aligonga kitwa.ng.a?
Katika mazingira tata kama hayo chomoka na gari yako na break iwe no polisi au sehemu yenye Mwanga na watu wengi.Hata hivyo Wakili huyu pengine hakuwatilia mashaka ipasavyo.Watu km mawakili wanatakiwa kua makini sana manake wanaweza wakawa na maadui wengi bila kujua.Hili liwe fundisho kwa wengine.
 
Uovu ni uovu tu usimame kama uovu wala usihusishwe na serikali kwa sababu wanaofanya uovu ni sisi wenyewe
 
Zamani kidogo Maeneo ya kigamboni/kkoo kibaka anakukanyaga kwa watembea miguu halafu anakwambia umemkanyaga huku ugomvi akisaidiana na vibaka wenzake kukuibia.
Mara ya kwanza ilinitokea hii kitu, nje ya uwanja wa taifa kwenye mechi ya Tanzania vs Cameroon.. Daaah jamaa akawa analalamika nimemkanyaga, nikawa namwambia pole akaniachia, ile kupiga hatua moja tu nasikia simu yangu haipp mfukoni. Nikageuka nikakuta wanapeana ile simu nikamshika anirudishie simu akarudisha kwa aibu. WATU WA DAR HAWAKUNISAIDIA
Kuanzia siku ile nikawa nimeshajifunza, hivyo mpaka leo mtu akinizingua kwa style hiyo hawezi kunipata.
 
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....

Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga

Huyu hapa............
9a5704d84cb72d034af97d21b243db51.jpg

Very sad pole sana wakili....

Hii picha siyo ya Albert Msando!
 
Pole wakili. Dar sio sehemu salama ya kuishi. Na hapo kuna ikulu,sasa na mkuu akitimba dodoma nahisi hapo itakuwa sawa na bagdad,somalia.
 
Mara ya kwanza ilinitokea hii kitu, nje ya uwanja wa taifa kwenye mechi ya Tanzania vs Cameroon.. Daaah jamaa akawa analalamika nimemkanyaga, nikawa namwambia pole akaniachia, ile kupiga hatua moja tu nasikia simu yangu haipp mfukoni. Nikageuka nikakuta wanapeana ile simu nikamshika anirudishie simu akarudisha kwa aibu. WATU WA DAR HAWAKUNISAIDIA
Kuanzia siku ile nikawa nimeshajifunza, hivyo mpaka leo mtu akinizingua kwa style hiyo hawezi kunipata.

Hizo zilikuwaga mtaa wa kongo miaka ile.
 
Hayo mambo yapo sana mkuu. Pole sana kwa tukio, mimi nimeshashuhudia mengi.
Nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anaibiwa nikaingilia kati nikaidaka mikono ya vibaka wakakimbia. Rafiki yangu alinishukuru sana kwa maana watu walikuwa wanamwangalia tu.
 
0b258c8f1ba3c0c8c2701acb17f49612.jpg

Haya ndio aliyoandika baada ya tukio!

Ndugu zangu, nawashukuruni wote mliojaribu kunitafuta na kunipa pole toka jana. Sikuwa napatikana kwa sababu walionivamia waliiba simu pamoja na vitu vingine.

Kilichotokea: Usiku wa saa tano siku ya Alhamisi (juzi) nilisimamishwa na gari baada kupigiwa honi na kuwashiwa taa na gari iliyokuwa nyuma yangu. Niliposhusha kioo driver akawa anaongea haraka haraka kwamba nimewagonga wakati narudi nyuma parking na nakimbia. Nikamjibu kwamba sijamgonga.

Akaniambia umetugonga angalia bampa. Kweli bampa lilikuwa limelegea. Ila sikuwa nimewagonga hivyo nikaendelea kubisha. Akaniambia shuka uangalie hata pembeni. Alikuwa amevaa smart tu so nikashuka. Wakati naangalia anaposema nimemgonga wakashuka wengine wawili kutoka kwenye gari na kunishika. Wakaanza kunishambulia huku wakinipora wallet, saa nk. Then wakanikata panga kichwani na kupekua gari wakaondoka na laptop na simu pamoja na funguo wa gari.

Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Nawashukuru wote.

Albert Msando
Pole sana wakili Msando,huu ni aina ya wizi mpya,umechukua nafasi ya wavunja vioo vya magari na kuiba power window na laptops
 
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....

Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga

Huyu hapa............
9a5704d84cb72d034af97d21b243db51.jpg

Very sad pole sana wakili....
Mkuu usipojiangalia utapata Bipolar disorder ambayo bavicha na red brigade wenzako wanaumwa
 
Pole msando,umekuwa muhanga wa ukosefu wa ajira kwa vijana,vijana wanamaliza vyuo na ajira hakuna wanaishia kupiga matukio
 
Mimi sidhani kama ni utapeli, bali ni kufifisha harakati zake za utetezi
 
Pile mkuu ila usiku usisimame kwa kusimamishwa na watu wowote hata police ikiwezekana endelea na gari mpaka kituo cha police kama wazee kweli watakuja kama vibaka watakimbia tuu... kesi ya kugongana magari mtu anakukata panga la kichwa hao vibaka tuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom