Hivi wewe ni mzma kweli!!? Aliyekuambia huyo ni msando nani..!!?This is not Albert Msando
Hivi kuna wakili anaeruhusiwa kufanya kazi za uwakili lakini asie msomi??
Vibaka njaa tu hao.Je hii ni mbinu mpya ya uporaji au alilengwa kwa sababu zingine?!!!
Nimesikia amefumaniwa hiyo story ni ya kutunga tu ili ajisafishe kwa mkewe.
Haaaaahaaa jf rahaHamia Sudan Kusini Mkuu. Pako poa kuliko Tanzania.