Hivi kuna wakili anaeruhusiwa kufanya kazi za uwakili lakini asie msomi??
Tuhame jamani tuhamie dalfur.hii nchi so salama tena
Ha ha ha...!!!!!Lugha tu ya kitaa
Ha ha ha ha .....mkuu unatoa ushauri kuwa tutazoea tu, so tunatakiwa kuwa wavumilivu.Tutazoea tu kama walivyozoea watu wa Korea Kaskazini!!
Ilinikumba wiki mbili zilizopita natoka Ubungo naenda Buguruni, bahati zuri gari yangu ina tinted kali hivyo hawakugundua kama nyuma kuna watu.Je hii ni mbinu mpya ya uporaji au alilengwa kwa sababu zingine?!!!
Umelielewa tukio lakini?? Hivi ungekuwa wewe ungefanya nini??Kumbe kisoma sana sio ndio kuelimika sasa wakili msomi kabisa pengine ana phd amewasaidia majambazi kumpora kisha analalamika huo ni uzembe wake kwanza inabidi achunguzwe na akikutwa alipanga huo mchezo ashitakiwe
Nilitegemea chama fulani kuhusishwa lakini naona kimyaTutazoea tu kama walivyozoea watu wa Korea Kaskazini!!
Hivi ile Kesi kisutu Inaendelea lini tenaJe hii ni mbinu mpya ya uporaji au alilengwa kwa sababu zingine?!!!
Huu wala sio aina mpya ya ujambazi. Mwanzoni mwa miaka ya 1990 jijini Dar es Salaam, jamaa walimfuatilia bwana mmoja, bila yeye kujua, aliyetoka kuchukua fedha (nyingi?) benki, alipoingia kwenye gari lake na kuondoka wao wakawa wanamfuatilia kwa nyuma, walikuwa wamepiga suti za kufa mtu! Alipotoka katikati ya jiji na kuelekea barabara inayopita Surrender Bridge wakaongeza spidi kidogo ili wamkaribie zaidi kisha wakagonga gari kwa nyuma, akasimamisha gari ili kuangalia namna gari lake lilivyoharibika. Wale jamaa nao wakatoka kwenye gari na suti zao wakionekana watanashati wakamwomba samahani na wakamwambia kuwa hakuna sababu ya kusubiri trafiki watawasumbua, hivyo aongozane nao kuelekea Kinondoni ambako walimwambia wana gereji yao watatengeneza gari lake na kumpoza kidogo. Akawakubalia.Nampa pole ndugu Albert, huu ni dhahiri ujambazi wa aina mpya kabisa. Tumepata fundisho, mtu akijaribu kukusimamisha na kavaa vizuri , usikubali mwambie tuongozane mpaka kituo cha polisi karibu na hapo. Na mwambie chukua nbr ya gari kama anafikiri utakimbia.
Kwa wale wapendao kuzusha mambo na kuwachonganisha watanzania haya fursa hiyo, njooni muitumie kujenga hoja zenu za kinafiki
DonNdio nani huyo tutambulishe mkuu
Toa mbadala aandikajeMkuu edit hiyo title, hilo neno akatwa katwa, haliendani na habari.