Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Nampa pole ndugu Albert, huu ni dhahiri ujambazi wa aina mpya kabisa. Tumepata fundisho, mtu akijaribu kukusimamisha na kavaa vizuri , usikubali mwambie tuongozane mpaka kituo cha polisi karibu na hapo. Na mwambie chukua nbr ya gari kama anafikiri utakimbia.

Kwa wale wapendao kuzusha mambo na kuwachonganisha watanzania haya fursa hiyo, njooni muitumie kujenga hoja zenu za kinafiki

Mkirindi wala usisimame wala kuwasikiliza nakwambia wee chochea chombo tu mkuu. Kitendo cha kusimama tu umekwisha.

Jumamosi nimetoka zangu mbezi kwenye kwaito ya harusi ya rafiki yangu nikawa nimepakia mtu lifti nikamshusha pale mwenge ila muda mrefu kuanzia pale njia panda ya kawe kuna gari moja hivi ni saloon ilikuwa inanifuata nyuma na ilikuwa imebomoka taa moja niliona taa hiyo tukiwa kwenye taa za pale Lugalo. Ile nafika mataa ya moroco naona lile gari linaniwashia taa za honi nyingi nikajua leo ninalo nikahakikisha tu lock zote ziko vizuri baada ya mataa kuruhusu wakaendelea na honi zao na kuniwashia mataa ya kuniashiria nisimame na vile gari zilikuwa sio nyingi wakawa wanajitahidi kuniovertake na honi wanapiga mfululizo nilikanyaga mafuta huko mbele kote nilikuta green lights sikuwaona tena hadi naingia uswazi kwangu Tandika.

Ilikuwa naibiwa siku hiii na hawa ni wale wanakwambia kuwa umewagonga umewavunjia taa.kuna wanaotembea na pamber linaning'inia kuna waotembea na gari imebonyea upande mmoja yaani huu ni wizi mpya. Tuchukue tahadhari wengi inasemekana wanapark kwenye mabaa na kwenye kumbi za harusi ukitoka tu unao
 
Hata ktk nch
Nampa pole ndugu Albert, huu ni dhahiri ujambazi wa aina mpya kabisa. Tumepata fundisho, mtu akijaribu kukusimamisha na kavaa vizuri , usikubali mwambie tuongozane mpaka kituo cha polisi karibu na hapo. Na mwambie chukua nbr ya gari kama anafikiri utakimbia.

Kwa wale wapendao kuzusha mambo na kuwachonganisha watanzania haya fursa hiyo, njooni muitumie kujenga hoja zenu za kinafiki
Hata ktk za wenzetu mambo yalianza hivi hivi.
Watu kupotea, maiti kupatikana, watu kubambikiwa kesi, watu kuwekwa kizuizini, ukosefu wa usalama, matukio ya uporaji na kushambuliana.
TAKE CARE
 
Zamani kidogo Maeneo ya kigamboni/kkoo kibaka anakukanyaga kwa watembea miguu halafu anakwambia umemkanyaga huku ugomvi akisaidiana na vibaka wenzake kukuibia.
 
Nliwai kutana na jamaa kama hao kipindi flani nlikuwa natoka tegeta kuja mwenge skusimama nashukuru nlikuta defender ya police pale africana nkasimama wao walivyoona vile hawakusimama nkajua hawakuwa watu wazuri kabisa.tuwe makini aise hasa usiku kusimama ovyo
 
Duh ila hiyo mbinu ya kuiba ni kali, kwa waungwana kama mimi lazima nisimame ili tuyamalize kumbe tena ni hatari. Basi mimi kuanzia sasa sishushi hata vioo, ubaya ubaya tu
Na kweli na km wana kuandama na taa zao za hazard sehemu nzuri ya kusimaa ni kituo cha polisi au sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi nadhani ni suluhisho zuri tumefika pabaya kwa kweli sasa
 
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....

Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga

Huyu hapa............
9a5704d84cb72d034af97d21b243db51.jpg


Very sad pole sana wakili....
This is not Albert Msando
 
Hivi bado tu watu wanaiba smartphone huku kama akiamua kuifatilia anaipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom