20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Usalama wa nchi unapimwa na nin?Je nchi ni salama?
Umekaaa na keyboard yako ,unapata muda wa kuchati, kulala bila kusikia vilio vya watu wanaopoteza maisha kwa mkono wa binadamu mwenzao, still unauliza kama nchi ipo salama??
Waulize Sudani nchi salama ipoje??
Ishu zingine msifate mkumbo wa kauli za wanasiasa, tumieni akili zenu. Siasa inacheza na akili zenu kwa matakwa fulani