Ukiona hivyo tena usiku , nenda polisi mkamalizane huko . Kuna nyingine mwanamke anakugongea kioo hasa kwenye foleni , anakuambia fungua kioo , jua wapo wengi ukiwa busy unaongea kwa kukudanganya kuna tatizo kwenye gari lako , huku wengine wanakuibia pochi.Duh ila hiyo mbinu ya kuiba ni kali, kwa waungwana kama mimi lazima nisimame ili tuyamalize kumbe tena ni hatari. Basi mimi kuanzia sasa sishushi hata vioo, ubaya ubaya tu
Pole wakili msomi, hata hivyo hujajulisha ilikua n wapi na ww ulikua unatokea wapi at that time of the night, otherwise punguza upopo na tambua kwamba uko spotted and people r looking 4 u in 1 way or another..... Get well soon![]()
Haya ndio aliyoandika baada ya tukio!
Ndugu zangu, nawashukuruni wote mliojaribu kunitafuta na kunipa pole toka jana. Sikuwa napatikana kwa sababu walionivamia waliiba simu pamoja na vitu vingine.
Kilichotokea: Usiku wa saa tano siku ya alhamisi (juzi) nilisimamishwa na gari baada kupigiwa honi na kiwashiwa taa na gari iliyokuwa nyuma yangu. Niliposhusha kioo driver akawa anaongea haraka haraka kwamba nimewagonga wakati narudi nyuma parking na nakimbia. Nikamjibu kwamba sijamgonga.
Akaniambia umetugonga angalia bampa. Kweli bampa lilikuwa limelegea. Ila sikuwa nimewagonga hivyo nikaendelea kubisha. Akaniambia shuka uangalie hata pembeni. Alikuwa amevaa smart tu so nikashuka. Wakati naangalia anaposema nimemgonga wakashuka wengine wawili kutoka kwenye gari na kunishika. Wakaanza kunishambulia huku wakinipora wallet, saa nk. Then wakanikata panga kichwani na kupekua gari wakaondoka na laptop na simu pamoja na funguo wa gari!!
Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Nawashukuru wote.
Albert Msando
Yawezekana wakili huwa hapitii humu Siki hiziHii ni mbinu mpya,kila mara watu wanatoa tahadhari kila mara hapa jukwaani
Hiyo ni dhana yako potofu tu,km huna cha kusema Ni busara ukanyamaza.Hayo majambazi yanayokamatwaga Ni wewe unayekamata au ni Polisi wa nchi nyingine?Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....
Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga
Huyu hapa............![]()
Very sad pole sana wakili....
Akiwa kama wakili msomi alitakiwa kujua hatari anazoweza kukumbana nazo akiwa kama raia pia kama wakili.Unasimamishwa usiku na watu usio wajua huku ukijua hujafanya wanachokushutumu,unashuka kwenye gari... something fishy![]()
Haya ndio aliyoandika baada ya tukio!
Ndugu zangu, nawashukuruni wote mliojaribu kunitafuta na kunipa pole toka jana. Sikuwa napatikana kwa sababu walionivamia waliiba simu pamoja na vitu vingine.
Kilichotokea: Usiku wa saa tano siku ya alhamisi (juzi) nilisimamishwa na gari baada kupigiwa honi na kiwashiwa taa na gari iliyokuwa nyuma yangu. Niliposhusha kioo driver akawa anaongea haraka haraka kwamba nimewagonga wakati narudi nyuma parking na nakimbia. Nikamjibu kwamba sijamgonga.
Akaniambia umetugonga angalia bampa. Kweli bampa lilikuwa limelegea. Ila sikuwa nimewagonga hivyo nikaendelea kubisha. Akaniambia shuka uangalie hata pembeni. Alikuwa amevaa smart tu so nikashuka. Wakati naangalia anaposema nimemgonga wakashuka wengine wawili kutoka kwenye gari na kunishika. Wakaanza kunishambulia huku wakinipora wallet, saa nk. Then wakanikata panga kichwani na kupekua gari wakaondoka na laptop na simu pamoja na funguo wa gari!!
Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Nawashukuru wote.
Albert Msando

,au aligonga kitwa.ng.a?Pole sana .Allah akusaidie upoe haraka![]()

Katoe taarifa Polisi basi manake hapa si mahala pake au hata Hilo nalo hilo hulijui?Ukisikia kupotezwa au sijaribiwi ndio huku sasa. Usalama umekuwa mdogo sana. Hapa kuna kitu sio bure.
Astaghafirullah, huyo ni marehemu.Mbona huyu wakili hiyo sura kachakaa sana, si amtafute anti Zainab ampatie udongo wake jamani.
Khaaa!