Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Da pole sana hio gari yako ujaifunga system ya camera pande zote NNE za gari ili kunasa image zao but tumia simu na laptop walioyochukua kuwatrack
 
Pole sana wakili msomi kwa matatizo yaliyo kukuta tuomba mungu akufanyie wepesi.Nikiwa moja ya wanajamiiforums ningependa kujua tukio limetokea maeneo gani hapa tz .
 
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....

Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga

Huyu hapa............
9a5704d84cb72d034af97d21b243db51.jpg

Very sad pole sana wakili....
Huyu kavamiwa na Wahuni wa chadema
 
0b258c8f1ba3c0c8c2701acb17f49612.jpg

Haya ndio aliyoandika baada ya tukio!

Ndugu zangu, nawashukuruni wote mliojaribu kunitafuta na kunipa pole toka jana. Sikuwa napatikana kwa sababu walionivamia waliiba simu pamoja na vitu vingine.

Kilichotokea: Usiku wa saa tano siku ya Alhamisi (juzi) nilisimamishwa na gari baada kupigiwa honi na kuwashiwa taa na gari iliyokuwa nyuma yangu. Niliposhusha kioo driver akawa anaongea haraka haraka kwamba nimewagonga wakati narudi nyuma parking na nakimbia. Nikamjibu kwamba sijamgonga.

Akaniambia umetugonga angalia bampa. Kweli bampa lilikuwa limelegea. Ila sikuwa nimewagonga hivyo nikaendelea kubisha. Akaniambia shuka uangalie hata pembeni. Alikuwa amevaa smart tu so nikashuka. Wakati naangalia anaposema nimemgonga wakashuka wengine wawili kutoka kwenye gari na kunishika. Wakaanza kunishambulia huku wakinipora wallet, saa nk. Then wakanikata panga kichwani na kupekua gari wakaondoka na laptop na simu pamoja na funguo wa gari.

Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Nawashukuru wote.

Albert Msando
Pole mkuu Nahisi vijana wa ufipa Ndiyo wahusika wakuu make wanafuga wahalifu na kawaita walinzi wa viongozi
 
Pole sana Mkuu , hii si mbinu mpya imenikuta mm 1997 maeneo ya Mlandizi same story jamaa walinigonga kwa nyuma baada kusimama tukastukia dili tukakimbia kwa bahati gari yao haikuweza kutupata na tulikuwa na magazeti ya Mwananchi pamoja na hela,tusiwe wepesi hasa nyakati za usiku inchi imeharibika
 
0b258c8f1ba3c0c8c2701acb17f49612.jpg

Haya ndio aliyoandika baada ya tukio!

Ndugu zangu, nawashukuruni wote mliojaribu kunitafuta na kunipa pole toka jana. Sikuwa napatikana kwa sababu walionivamia waliiba simu pamoja na vitu vingine.

Kilichotokea: Usiku wa saa tano siku ya Alhamisi (juzi) nilisimamishwa na gari baada kupigiwa honi na kuwashiwa taa na gari iliyokuwa nyuma yangu. Niliposhusha kioo driver akawa anaongea haraka haraka kwamba nimewagonga wakati narudi nyuma parking na nakimbia. Nikamjibu kwamba sijamgonga.

Akaniambia umetugonga angalia bampa. Kweli bampa lilikuwa limelegea. Ila sikuwa nimewagonga hivyo nikaendelea kubisha. Akaniambia shuka uangalie hata pembeni. Alikuwa amevaa smart tu so nikashuka. Wakati naangalia anaposema nimemgonga wakashuka wengine wawili kutoka kwenye gari na kunishika. Wakaanza kunishambulia huku wakinipora wallet, saa nk. Then wakanikata panga kichwani na kupekua gari wakaondoka na laptop na simu pamoja na funguo wa gari.

Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Nawashukuru wote.

Albert Msando
Ndo dawa yako umezid jifanya much know sana ww chaliiii.
 
Haaaa huwa wanaboa sana na hilo neno,kwani kuna wakili ambaye amefuzu sio msomi? Au kuna wahitimu wa fani mbali mbali ambao sio wasomi? Kila wakili mara wakili msomi,kwani kuna mawakili ambao sio wasomi yaani hawajaenda Shule na wanafanya uwakili?

Pole Albert Masando The Don,Mkuu walijua KWENYE Ndinga kutakuwa na Mipunga kama unayoiwekaga Instagram .

Hao ni Vibaka tu,Jamabazi haibi simu au Laptop au achukue wallet ambayo haiwezi kuwa hata na laki 5.

Mkuu umeongea POINT wizi gani wanaiba simu Na laptop? Toka TCRA waweke zile sheria za simu.Halafu Kumbe jamaa ni The Don mtambaji
Basi kayataka.
 
Pole wakili. Dar sio sehemu salama ya kuishi. Na hapo kuna ikulu,sasa na mkuu akitimba dodoma nahisi hapo itakuwa sawa na bagdad,somalia.
Mtu kama Msando bado anaishi kijuha namna hiyo inakuwaje ? Makesi kila siku kuna wanaofurahi na wanaochukizwa, hivi hata bastola hana ?

Mm nikitoka night kwanza navaa kibandidu manake najua vijana wanaweza kukinukisha ukarudi kwako na vest imejaa damu. Mguu wa kuku naujaza fresh na unakuwa pembeni kabisa ukinizingua nakuwasha.

Kipindi flan mitaa ya keko jamaa wakazuka nikasimama nikashuka na trigger nkaivuta huku wanaona, oooo kaka tumekufananisha, tumesoma namba vibaya, nikaboard nikasepa
 
0b258c8f1ba3c0c8c2701acb17f49612.jpg

Haya ndio aliyoandika baada ya tukio!

Ndugu zangu, nawashukuruni wote mliojaribu kunitafuta na kunipa pole toka jana. Sikuwa napatikana kwa sababu walionivamia waliiba simu pamoja na vitu vingine.

Kilichotokea: Usiku wa saa tano siku ya Alhamisi (juzi) nilisimamishwa na gari baada kupigiwa honi na kuwashiwa taa na gari iliyokuwa nyuma yangu. Niliposhusha kioo driver akawa anaongea haraka haraka kwamba nimewagonga wakati narudi nyuma parking na nakimbia. Nikamjibu kwamba sijamgonga.

Akaniambia umetugonga angalia bampa. Kweli bampa lilikuwa limelegea. Ila sikuwa nimewagonga hivyo nikaendelea kubisha. Akaniambia shuka uangalie hata pembeni. Alikuwa amevaa smart tu so nikashuka. Wakati naangalia anaposema nimemgonga wakashuka wengine wawili kutoka kwenye gari na kunishika. Wakaanza kunishambulia huku wakinipora wallet, saa nk. Then wakanikata panga kichwani na kupekua gari wakaondoka na laptop na simu pamoja na funguo wa gari.

Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Nawashukuru wote.

Albert Msando
Bila shaka hawa watakuwa CCM maana amekuwa akiwashinda katika kesi nyingi tu. Hv ni lini CCM wataacha kuua raia wasiokuwa na hatia?
 
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....

Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga

Huyu hapa............
9a5704d84cb72d034af97d21b243db51.jpg

Very sad pole sana wakili....
Pole sana kamanda Msando. Njama za CCM zitakuwa zimehusika hapa.
 
Yawezaka wametumwa maana siku hizi hatujaribiwi
 
Nahisi Wananchi wengi wameathiriwa na propaganda na ishu za siasa.

Ishakuwa adiction hii kitu, yani kila jambo ni siasa, serikali imefanya , sasa unataka majanga haya yamtokeee nani?? Ajari zipo na zinawatokea watu.

Now siasa imekuwa kama imani za ushirikina
( mtu akiona paka analia nje kwake anawaza uchawi.)

SIASA NI GAME DNT FALL KATIKA HIYO GAME.

Pole ndugu kwa majanga yaliyokukuta
 
INSECURITY NATIONAL ALERT, WE ARE NOT SAFE.../ HATUKUZOEA HAYA NGO...../
Haya matukio ni ya kawaida sana popote kunapokuwa na huwepo wa watu.

Hakuna nchi inayokosa matukio haya.

Hakuna system iliyo perfect 100% dunia nzima, hakuna

Nchi inayo jifanya makini kama USA marangapi kuna mauaji ya Maraisi wao? Marangapi katika shambulio ya kijasusi Vatican kwenyewe makao makuuu ya kidini kuna matatizo kibao.

Hakuna palipo kamilika tuache unafikiii
hii ndiyo tz yenye laana kwa kweli leo hii ni kupingwa kama mbwa na serikali ipo kimya
Unataka serikali itoleee tamko kila kitu?
Unahisi serikali kazi yake ni kutoa matamko?? Katiba na sheria zimesha sema kuwa matendo kma haya ni kinyume cha sheria.

Hakuna raia aliye juu au mwenye thamani zaidi ya mwingine kisheria , so na wanao kabwa na kuchinjwa mtaani kila siku serikali hiwe kwenye media na kutoa matamko, THINK TWICE.

Otherwise unataka mtu apewe special treatment kwa ajili yeye ni mtu fulani au ana itikadi fulani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom