Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

upolaji nchi yoyote ile tabia hyo ip
o watu wengine bhana hata hawajielewi et nchi sio salama unajitafutia ridhiki zako choon unaenda alafu unasema nchi sio salama
 
Ukisikia kupotezwa au sijaribiwi ndio huku sasa. Usalama umekuwa mdogo sana. Hapa kuna kitu sio bure.
Wee paka unasema ujinga gani watu wanawaza ya maana unaleta laana zako huku,punguani kweli wewe kama una kichaaa cha mbwa tulia huko
 
Hivi kwann baadhi ya watu wanajitoa akili,kila kiktokea kitu wanakihusisha na serikali,acheni upuuzi wenu tumechoka kuona malalmiko yenu humu
 
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....

Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga

Huyu hapa............
9a5704d84cb72d034af97d21b243db51.jpg


Very sad pole sana wakili....
Ukiambiwa akili yako yakibavicha unaruka...jionee sasa mwenyewe ulichoandika
 
Ukisikia kupotezwa au sijaribiwi ndio huku sasa. Usalama umekuwa mdogo sana. Hapa kuna kitu sio bure.

Kwa kukuza mambo nyie hamjambo! Mnapenda kutungatunga, sijui mnajifunza kwenye movies. Sasa Bwana wa sijaribiwi amtafute huyu kijana wa nini!! Nae huyu ni nani kwa Tanzania hii mpaka atafutwe kwa sababu za 'siasa' za nchi hii. Huyu yamemkuta mambo ya mtaani, labda alimgonga mtu kweli akataka kuleta ujuaji kama kawaida yake. Hasa labda utakuta ni mambo ya pombe, wanawake au kiburi chake. Japo siwapongezi hao wahalifu ila msikuze mambo.
 
Kweli hiyo mbinu ya ukwapuaji , ila kama alikuwa ana uhakika hajagonga why alishuka ? hujui siku hizi kuna majambazi yanakujia kwa njia ya utapeli .
Tena usiku ,Ningekuwa mimi ndio ningewagonga kabisaaaa tusijiamini kupita kiasi hasa nyakati za usiku .Pole sana jirani
 
Alikuwa na Mtetezi wa Kesi za akina nani hivi Karibuni? Je ni Mfuasi wa itikadi gani kisiasa? Je kwanini walipekua gari na kuchukua laptop. Kuna Tanko lolote Tata alishalitoa huko nyuma? Sasa hivi ana kesi yoyote anayoisimamia. Je simu waliyoichukua Inaonyesha kwenye Triangulation iko maeneo yoyote! Nashauri Watu mashuhuri wajiwekee GPS Trakicking Device na Kisha wampe access ya kuitrack kwa mtu wanayemwamini. Kinachoweza kufanyika ni Kuwa Unakuwa na Kidunguri kidogo mithili ya Kidonge, wakikuteka watu kwa haraka kibonyeze na unakimeza. Hata kama watakuua na Kukufukia yule wa upande wa pili anaweza kuingia katika mtanandao Maalumu na Akaweza kupata ramani nzima ya walikokupitisha, kama ni jengo la wana usalama au Kituo cha Polisi etc, Na kama wamekuua walipokutupa. Hata ukimezwa na Papa Kidunguri Kitaonyesha kuanzia ulipotupwa mpaka Alipo Papa aliyekumeza.
 
Hivi kuna wakili anaeruhusiwa kufanya kazi za uwakili lakini asie msomi??
Haaaa huwa wanaboa sana na hilo neno,kwani kuna wakili ambaye amefuzu sio msomi? Au kuna wahitimu wa fani mbali mbali ambao sio wasomi? Kila wakili mara wakili msomi,kwani kuna mawakili ambao sio wasomi yaani hawajaenda Shule na wanafanya uwakili?

Pole Albert Masando The Don,Mkuu walijua KWENYE Ndinga kutakuwa na Mipunga kama unayoiwekaga Instagram .

Hao ni Vibaka tu,Jamabazi haibi simu au Laptop au achukue wallet ambayo haiwezi kuwa hata na laki 5.
 
Kuna ishu anaficha Ndugu wakili msomi.... Nakataa kisa alichotoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom