Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni

Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya Uingereza kwa kutoshiriki kutafuta suluhu jambo ambalo linakiuka Mkataba wa Ulaya wa Haki za Binadamu.

Wawakilishi na Mawakili wa jopo hilo wanasema walijaribu kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Liz Truss Mei 2022 lakini walikataliwa, hivyo wanataka kulipwa Tsh. Trilioni 466.4 kama fidia ya msamaha na kufungua ukurasa mpya wa kuheshimiana.

===============================

A group of Kenyans have filed cases against the UK government at the European Court of Human Rights (ECHR) for alleged colonial abuses.

These include alleged theft of land, which is still being used by tea firms.

The clans say the UK's alleged lack of engagement to seek redress has violated the European Convention on Human Rights.

The UK Foreign Office has told the BBC it was "inappropriate to comment on legal proceedings".

Representatives for the Talai and Kipsigis, who are originally from Kericho county, say they tried to meet with UK Foreign Secretary Liz Truss in May 2022 but were turned down.

The Talai clan say its members were forcefully evicted from fertile land in the highlands of the Rift Valley to pave the way for tea plantations.

The Talai led the resistance against European settlement.

To quash it, every member of the clan was forcefully moved to detention in a tse-tse fly and mosquito infested valley near present day Lake Victoria. The conditions there are recorded to have been so harsh that many of them died and women suffered miscarriages. They also lost their livestock in large numbers.

When Kenya gained independence in 1963, the survivors left detention and returned to what they considered their ancestral land. But they never recovered it. They say they've lived alongside the tea estates as squatters ever since.

A lawyer for the claimants told the BBC's Focus on Africa radio programme that they want "compensation" in the region of $200bn (£168bn), an "apology" and to open up a new chapter of "mutual respect".

"These atrocities started in 1902 all the way to 1962", Joel Kimutai Bosek said. "We are talking about separating families. Some people getting lost never to be seen again. We are talking about torching of houses, we are talking about removing people from their ancestral lands," he continued.

Representatives for the Kipsigis and Talai said the filing of the cases was a "big milestone" and "the culmination of many years of attempts to engage with the British government directly in order to amicably resolve the issues" going back as far as 2019, they say.

The lodging of the case at the ECHR does not mean that the court will definitely hear the case, but will decide on the its admissibility before making a decision.

BBC
 
Kenya wameamua kufanya kweli! Athari za ukoloni lazima zilipiwe fidia. Wanadai wakenya waliporwa ardhi ambayo hadi leo inamilikiwa na masetla wa kizungu. Wanataka fidia ya dola bilioni 200!!

Ni muda muafaka na sisi watanganyika tufungue kesi dhidi ya ukoloni wa wajerumani!! Wajerumani waliua viongozi wetu wa kimila, na kurudisha nyuma maendeleo! walitupora madini nk. Watanganyika tudai pia fidia ya dola 250!.
 
When Kenya gained independence in 1963, the survivors left detention and returned to what they considered their ancestral land. But they never recovered it. They say they've lived alongside the tea estates as squatters ever since.

A lawyer for the claimants told the BBC's Focus on Africa radio programme that they want "compensation" in the region of $200bn (£168bn), an "apology" and to open up a new chapter of "mutual respect".

"These atrocities started in 1902 all the way to 1962", Joel Kimutai Bosek said. "We are talking about separating families. Some people getting lost never to be seen again. We are talking about torching of houses, we are talking about removing people from their ancestral lands," he continued.

Representatives for the Kipsigis and Talai said the filing of the cases was a "big milestone" and "the culmination of many years of attempts to engage with the British government directly in order to amicably resolve the issues" going back as far as 2019, they say.

The lodging of the case at the ECHR does not mean that the court will definitely hear the case, but will decide on the its admissibility before making a decision.

BBC
 
ukame utawaua wakenya sasa wanatafuta pesa kwa nguvu!

si ajabu wakasema Tanzania iwalipe fidia kwa Nyumbu wao huja kukaa Serengeti miezi kumi na kurudi nyumbani Masai Mara miezi miwili
 
Japo walifanya unyama mwingi lakini kama wange endelea kutawala kwa miaka 20 zaidi tungekua mbali kimaendeleo
 
ukame utawaua wakenya sasa wanatafuta pesa kwa nguvu!

si ajabu wakasema Tanzania iwalipe fidia kwa Nyumbu wao huja kukaa Serengeti miezi kumi na kurudi nyumbani Masai Mara miezi miwili
Hizi ndio akili finyu za watu ambao hawakumwaga damu wakipigania uhuru wa nchi yao.
 
Marekani atakuwa anadaiwa fidia nyingi zaidi mbwa yule na tutamfilisi maana hakuna taifa kitamuacha salama.
 
Back
Top Bottom