William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Wewe mbona huwa ni kubwa J katika comments zako???,hivi wewe huoni kuwa huyu jamaa ni mpuuzi na anatakiwa kuupuzwa tu?, Huyu jamaa alishindwa nini kuongea huo ukweli wakati kesi ikiendelea mahakamani?.Jamaa yangu ilazimishe basi akiri yako ipevuke katika kufikiri.Issue sasa hivi ni Katiba mpya na maliasili/raslimali zetu na siyo Mchange wala Mallya.
- Hiyo demokrasia ya lichama lenu kumpiga ngumi yoyote anayeuliza maswali magumu ndani ya chama chenu bakini na ujinga wenu huko huko wacha kijana aseme tutachambua ukweli upo wapi na uongo upo wapi, kama hmtaki kumsikiliza fungeni Radio zenu!1
Le Mutuz