Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
By Deus F Mallya:
Mimi ni mfanyabiashara..Nina kampuni yangu ya Printing of Promotional Items. Nimechapa baadhi ya mabango, Bendera, T.Shirts, Vitabu, Calendars, Etc...
Wangwe ndiye aliyeniita Dodoma akanipe kazi ya kuhariri na kuchapa kitabu chake alichokuwa mbioni kukitoa. Kilichopelekea nikasafiri naye gari moja ni kuwa yeye alipata taarifa za msiba siku moja kabla ya mimi kurudi Dar (Baada ya kukubaliana aina ya kitabu alichokitaka) Hakuona sababu ya mimi kusafiri kwa bus na yeye kusafiri mwenyewe kwa gari binafsi. Ikumbukwe kuwa safari ya kutoka Dar kwenda Bungeni Dodoma aliendesha mwenyewe na mimi nilienda siku tisa baada ya yeye kufika Dodoma.
...........
Mambo ya maburungutu ya feza za diallo yatamfanya mallya ayakane hata maneno yake kama hayo!
Invisible sheria na kanuni zetu zinasemaje kuhusu watu waongo na matapeli kama huyu Tapeli Deus Malya?By Deus F Mallya:
Majibu mengine:
"Inadaiwa kuwa kuna watu waliokuwa 'Nyuma ya pazia' kwenye kesi ile (Ndiyo maana ilifunguliwa wilaya ya Dodoma Mjini badaya ya Kongwa)."
Binafsi sina majibu hapa Duniani. Mimi ni Binaadamu kama walivyo wengine. Pia mimi ni mgumu sana kuzungumza nisichokuwa na uhakuka nacho. Ikiwa wapo waliokuwa 'Nyuma ya pazia' kuzuia lengo langu 2010 (Japokuwa halikuwepo kiukweli) Nilishamwambia Mungu Ashughulike nao.
Kuna mdau hapo juu amesema kuwa 'Atapitishwa' Komu 2015. Naomba kumhakikishia kuwa CHADEMA na CCM ni tofauti kama ilivyo Jehanum na Mbinguni. Maamuzi ya CHADEMA huwa hayafanywi kama ya CCM!.. CHADEMA kuna viongozi, CCM kuna Watawala. Kuna taratibu za kumpata mgombea kwa mujibu wa katiba kwa maana hiyo hata kama nisipogombea/kutokupitishwa kwenye kura ya maoni bado nitakuwa na imani na Kiongozi atakayepitishwa. By the way bado tupo kwenye main road kuelekea M4C nadhani haya si vyema sana kujadili kiundani kwa sasa.
Sote ni ndugu, tatizo ni CCM!.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Mallya huyohuyo akikirarua ccm ambacho ni chama alicho na mahaba ya dhati kwa sasa!
Last edited by a moderator: