Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
kwa sasa nitakuwa mtizamaji tu na kutetea na kupigania chama changu ccm maana swala la mbowe kumuua chacha wangwe nilishasema sana nikiwa chadema.Mazwazwa iko siku mtayajua haya
Mbowe pole sana una vijana waoga sana! Yani wote wako hoi sasa hivi na wamesahau tena hule msemo kuwa walianza na Mungu!
Sasa Leo ndio Leo mboga zinamwagwa na sahani zinavunjwa kabisa!
Inaonekana kuna kitu chadema wanaficha maana naona vijana wana pressure sana.
Ni kwa nini kila kitu kinachukuliwa kisiasa, ikiwemo na uhalifu? Natumaini huyu bwana anajua analolisema. Ningefurahi ikiwa vyombo vya usalama vitafanyia kazi taarifa zake na yeye akiwa wa kwanza kuhusika wakiwemo pia wale wote alioshirikiana au anaoshirikiana nao.
Ndiyo maana ni muhimu akisema nje ya aliyoyatamka au kuyaeleza mahakamani anapaswa kuwajibishwa kisheria. Kinyume chake tunafanya mzaa na uhalifu wa kisiasa tukijua kuwa hakuna matata...huyu alishasema yote mahakamani na kesi ikafungwa,labda ifunguliwe upya!
Naam. Ili kukomesha tabla hii ni vyema kauli yake isichuliwe kwa mzaa. Maneno nje ya yale aliyoyasema mahakamani anapaswa kuwajibika kisheria.Getstart;
Umejijibu mwenyewe. Kila kitu kinachukuliwa kama nguzo au ngazi ya kupatia umaarufu. Kwa kuwa huyu mtu ameamua kuwainua watu flan flan waliokwisha shindwa kisiasa, wanataka kumtoa kafara huyu kijana, aweze kuwa taa yao ya kuinuka tena.
Just imagine, Mallya ailshatumikia kifungo chake, ametoka, leo aje huku jf kusambaza virusi vyake kuhusu watu waliomtuma kazi miaka iliyopita.
Tungekuwa watu makini, huyu ni wa kunyongea sokoni watu wamwone. Kosa; Kuua kwa kukusudia Kiongozi mashuhuri wa watu.
Kweli pesa, fedheha! Na huu ubunge wa kitz ni zaidi ya wendawazimu.
Hii lugha ina wenyewe usijitie kichwa kichwa,ona unavyoumbuka sasa lol!
Mimi binafsi nilishasema sana sana kuhusu Mbowe kumuua Chacha Wangwe but nikapuuzwa na kutukanywa but iko siku Mazwazwa wataujua ukweli maana ukweli huwa haupotei bali huchelewa tu.Mazwazwa iko siku mtajua tu.
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!
Le Mutuz
anapima maji kwa mti !
Vijana mnapoelekea siyo, mnatoa tuhuma za kuuwa?kwa sasa nitakuwa mtizamaji tu na kutetea na kupigania chama changu ccm maana swala la mbowe kumuua chacha wangwe nilishasema sana nikiwa chadema.Mazwazwa iko siku mtayajua haya
Hivi hiki ni kimalila au?Mimi binafsi nilishasema sana sana kuhusu Mbowe kumuua Chacha Wangwe but nikapuuzwa na kutukanywa but iko siku Mazwazwa wataujua ukweli maana ukweli huwa haupotei bali huchelewa tu.Mazwazwa iko siku mtajua tu.
Mimi binafsi nilishasema sana sana kuhusu Mbowe kumuua Chacha Wangwe but nikapuuzwa na kutukanywa but iko siku Mazwazwa wataujua ukweli maana ukweli huwa haupotei bali huchelewa tu.Mazwazwa iko siku mtajua tu.