John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 389
Ombeni maisha marefu ili muweze kuiona siku Saanane atakapotoa maneno yasiyowahi kutarajiwa....
Mimi binafsi nilishasema sana sana kuhusu Mbowe kumuua Chacha Wangwe but nikapuuzwa na kutukanywa but iko siku Mazwazwa wataujua ukweli maana ukweli huwa haupotei bali huchelewa tu.Mazwazwa iko siku mtajua tu.
- HA! HA1 HA! HA! HA! mbona mnaaanza kutoka mapovu kabla mwananchi hjasema lililotokea mnajua kumbe kilichotokea ha! ha!
Le Mutuz
Wewe umebaki kuvalishwa gauni tuu. Unless uwe unavalishwa usiku na watu hawafahamu. Kama serikali inayoongozwa na chama chako ulishaiambia kuwa Mbowe alimuua Wangwe inakuwa dhaifu kiasi cha kutochukua hatua za kisheria bado unaipigia chapuo basi wewe ni Zoba. Au ndio iliyokupuuza na kukutukana?
Angalia hayo maisha uliyoamua kuishi unamfedhehesha sana mama yako ambaye watu wanamheshimu.
Sent from my iPad using JamiiForums
kwa sasa nitakuwa mtizamaji tu na kutetea na kupigania chama changu ccm maana swala la mbowe kumuua chacha wangwe nilishasema sana nikiwa chadema.Mazwazwa iko siku mtayajua haya
Hakuna marefu yasiyo na ncha .watasema yote damu ya mtu haiendi bure
Nakuunga mkono. Kuna siku huyu Malya ataenda kueleza mwenyewe jinsi alivyomwua Marehemu Wangwe, alitumwa na nani, alilipwa nini, na kwa lengo gani. Kesi itaanza upya, na ndipo watu wataujua ubaya wa CCM na watu wake.
Mkuu Mtela, kwanza asante kwa kulisemea hili, ila pia hongera sana kwa kukaa nalo hadi leo bila kuliripo katika vyombo husika!. Tena una bahati Tanzania ni nchi yenye inteligensia nyoro nyoro, vinginevyo ungekuwa nchi za wenzetu, saa hizi ni saa nyingi ungeishakuwa unany.a debe!.Mimi binafsi nilishasema sana sana kuhusu Mbowe kumuua Chacha Wangwe but nikapuuzwa na kutukanywa but iko siku Mazwazwa wataujua ukweli maana ukweli huwa haupotei bali huchelewa tu.Mazwazwa iko siku mtajua tu.
Mkuu Mtela, kwanza asante kwa kulisemea hili, ila pia hongera sana kwa kukaa nalo hadi leo bila kuliripo katika vyombo husika!. Tena una bahati Tanzania ni nchi yenye inteligensia nyoro nyoro, vinginevyo ungekuwa nchi za wenzetu, saa hizi ni saa nyingi ungeishakuwa unany.a debe!.
Kitendo cha kujua uhalifu unapangwa kutendwa, au umetendeka na kukaa kimya bila kuripoti kwenye vyombo husika, ni kosa la jinai, na mhalifu akipatikana unaweza kuunganishwa kama accessory before/after the facts!, na akitiwa hatiani, umetiwa hatiani kwa kosa lile lile!.
Asante.
Pasco
Habari zhenyu mashabiki wa manchester united?
Yawezekana kwa kuanzisha uzi huu lengo lake alilojipangia lmetimiaMkuu Deus F Mallya mbona unatufanya kama watoto wa kuku? Bado hujasema tu hadi leo au umetishwa tena?
mkuu mtela, kwanza asante kwa kulisemea hili, ila pia hongera sana kwa kukaa nalo hadi leo bila kuliripo katika vyombo husika!. Tena una bahati tanzania ni nchi yenye inteligensia nyoro nyoro, vinginevyo ungekuwa nchi za wenzetu, saa hizi ni saa nyingi ungeishakuwa unany.a debe!.
Kitendo cha kujua uhalifu unapangwa kutendwa, au umetendeka na kukaa kimya bila kuripoti kwenye vyombo husika, ni kosa la jinai, na mhalifu akipatikana unaweza kuunganishwa kama accessory before/after the facts!, na akitiwa hatiani, umetiwa hatiani kwa kosa lile lile!.
Asante.
Pasco
Binti upo? Sijaona kicheko chako siku nyingi!!!!