Ndio aya yasema au unataka kubadilisha? haya Allah anasahihishwa tuone Jigina master wwa Allah hahahaha
Usiseme unatumiwa katika Quran! sema unatumiwa na Allah ambaye ndie Mohammad Aka Qutham kuifanya Quran haieleweki waislam watakuua wewe. japo una tafsir lukuki kumaanisha kiarabu cha Allah hakieleweki pamoja na madai yote
Ukisoma story za mtume wako zinasema Baba yake alikuwa Anaitwa Azar (Allah muongo alisema anaitwa Azar wakati kwenye Bible Tera) so inawezekana mna ibrahim wenu na alikuwa muumini wa masanamu so ndio ushirikina huo.
Kama Quran haimsemi kuwa mshirikina ila inamuita Hanif na Hanif ni neno lenye asili ya Aramaic yaani Kafir pia ni hao mapagani pia ni lugha ya Aramaic na Mtume wako aliitwa kafir na Wayahudi alipoanza kuleta uzushi kujiita Mtume hahaha wakamuita Kufar aliumbuliwa kila debate na ndipo alipopata hilo jina kafir akawaita na wao wayahudi eti makafir hahahaha
Tafsir ya Yake.
- Meaning: A "Kofer" is a person who rejects or hides the truth of the Jewish faith.
- The concept of disbelief is Kefirah (כְּפִירָה).
- Usage: While kufar in Arabic often implies an enemy of the faith, kofer in Hebrew specifically refers to a person who has become an apostate or denies fundamental Jewish tenets.
Kwahiyo Hiyo Hanif ni kafir too so Quran imewaweka kundi moja Kafir washirikina n.k so Muslim nyote ni Hanif na Makafir
Kofar
Mada ya kielimu inahamia kwenye neno asili yake ni Aramaic na sio kiarabu so aya ya ALLAH Kusema Quran imeshushwa kwa lugha ya kiarabu ni uongo tena wa Allah.
Kasome vizuri sijasema This is my Lord Nimeandika maana yake Huyu ndie Mungu wangu.. mbona mnageuza maneno na wewe ni Kenge ka mwenzio. This is my Lord hata wanafunzi wa Yesu walimuita Yesu Lord. na Yesu aliwambia wanafunzi wake sio wote wanaoniita Lord Lord ndio watakao uona ufalme wangu bali wale wanafuata mafunzo na vitendo.
Ibrahim Aliabudu according to hadith ukikataa basi hata alivyomjua ALLAH hakuabudu pia kwa rogic yako.
Mzunguko wa Dunia? toka Lini Allah amejua hilo? maana Allah anasema Jua ndio linapata ruksa kuchomoza kila siku hahahaha weka sayansi juu Allah hajui chochote na kusema Nyota zina set ni upumbavu kasome vyanzo kwanza
So Kama utazamaji mean Allah nae he see as we see mean Allah yupo Duniani nae anatizama chini maana yeye ndie mzungumzaji kwenye Quran
Mean Time was stop ikawa long day siku ya vita ndio maana anaitwa Mungu muweza the almighty. Allah hawezi hahaha
Utamu wa Biblia soma chapter inaeleza vizuri sio kuchomoa betri hahahaha Soma hiyo as long unaamini
Mtu mmoja aitwaye Yohana alitumwa na Mungu 7 awaambie watu kuhusu hiyo nuru, ili kwa ushuhuda wake wapate kuamini. 8 Yohana mwenyewe hakuwa ile nuru. Yeye alitumwa kuishuhudia hiyo nuru. 9 Nuru halisi ambayo inawaangazia watu wote ilikuwa inakuja ulim wenguni. 10 Neno alikuwepo ulimwenguni, lakini japokuwa aliumba ulimwengu, watu wa ulimwengu hawakumtambua! 11 Alikuja nyumbani kwake, lakini watu wake hawakumpokea! 12 Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu. 13 Hawa hawakuwa watoto wa Mungu kwa kuzaliwa kwa njia ya asili, wala kwa mapenzi au mipango ya watu bali wamezaliwa na Mungu mwenyewe.
14
Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utu kufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba. 15 Yohana alishuhudia habari zake, akatangaza: “Huyu ndiye yule niliyewaambia kuwa, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu kuliko mimi kwa kuwa alikuwapo kabla sijazaliwa.”’ 16 Na kutokana na ukamilifu wake, sisi sote tumepokea neema tele. 17 Musa alitule tea sheria kutoka kwa Mungu, lakini Yesu Kristo ametuletea neema na kweli. 18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Lakini Mwanae pekee, ambaye ana uhusiano wa karibu sana na Baba yake, amemdhihirisha Mungu kwetu.
Mungu huja na Utukufu na Waliuona
Kumuona Mungu kwa nature yake utadedi ndio maana alikuwa akija kwa Umbo la kibinadamu ni Almighty
Si sawa wakati Mohammad ndipo alipotolea hayo maneno huko au unadhani Injili si hiyo? aliyoandika Yohana? hahahaha Ruhun minhu imeandikwa kuwa proceeding - Yaani Roho ya Allah inayoendelea. nikuulize kitu kama sio hayo maneno yametoka kwenye Injil niambie Allah ana Spirit? Maana Islam haiamini katika roho Uislam unaamini Allah ana Physical Body na Ana kiti, Guu,Mikono n.k
Allah anaweza umba bila kusema NENO? nitajie komoja Allah kaumba bila kusema NENO.
Uongo mwingine tena hukomi tu kwakuwa Allah kaongopa na wewe unaendeleza uongo badala ya kumshushua Alllah1 Sasa wewe unajua kabisa Binadamu kaumbwa kwa Udongo, Allah akamfashien akamuacha akauke kwa miaka 40 kisha akampulizia pumzi na Adam akasema finish me before sunset, yaani Mbinguni kuna jua linazama pia hahaha mtume wenu ni comedian sana am nikisema Allah anaona kama sisi tunavyoona, sasa hizo proccess zote Kun fay kun imetumika wapi hapo? Allah is a big fat liar
In muslim not
Inakataza Utatu ila maelezo inazungumzia utatu, Moja- Jesus ni Messenger 2, Yesu ni Neno, Tatu Yesu ni Roho ya Allah inayoendelea. What a stupid verse. kumbuka Neno halijaumbwa ni Mungu muumbaji
Weka Lugha hapo Mungu ni mmoja ametumia
maana yake Allah ni mmoja kati yao. Alafu Allah ni name halimaanishi Mungu. its a name of your God. acha uzembe mshaambiwa katika uislam msitafsir tofauti quran Surah Al-An'am - 115
Una tatizo gani wewe aya inasema and spirit of Allah proceeding - Roho inayoendelea
Anayesema Kaaba ni Nyumba ya Allah ni nyie muslim ma hanaf si mnasema Ibrahim alijenga hapo kwenye jiwe? hahaha upagani huo uliamini house of Allah Kama Allah hana Roho means ni Sanamu la jiwe
Kivipi mbona Yesu anasamehe live na sio kama Allah anasema hadi siku ya kiama? wakati Mtume wako anasema Ukishika kaaba pale Yemen's corner dhambi zinasamehewa. so jiwe is powerfully dhidi ya Allah ambaye anasamehe hadi siku ya kiama hahahaha Quran nzima hakuna aya Allah amesamehe mtu zaidi ya ahadi tu
Enh are you ok
Kasmoe juu nisha elezea Ibrahim alizaliwa dini za washirikina Hanif kamuulize Azar atakuambia kwenye hadith
Alipinga sababu alisikia vibaya kuwa na mabinti tupu akawakana wanae Baba mbaya huyo. Kaona Mungu wa Wayahudi ana mtoto wa Kiume Jesus na yeye Mabinti tu pekee hahahaha kichekeho aliposababisha mimba ya Mariam pia akakataa responsibility za kulea akamkata mtoto tena hahahaha Allah ni kama mababa wa sasa wanaokataa kulea hata Mimba hukataa
Hata kwenu kaka zako wakizaa vidume na wewe kila mtoto mkeo anakuleta wa kike moja hadi tatu na tatizo la Waarabu lazima wakucheke.. uesoma kisa hiki katafute kitabu aouther Asbab nazul vyanzo vya kushushwa aya utacheka ufe
Nimekupa tafsir halis hamuelewi why? Aslim Taslam ndio maana yake hata Al qaeda waliandika barua Marekani wakiwataka surrender or die Aslim Taslam
Umepata kwa mara ya kwanza hahahaha japo unazuga Allah hapendi uongee ukweli
Mohammad kaambiwa na Allah awapige na aue watu wote dunianii hadi waukubali uislam na sio kuukubali tu waswali kama anavyoswali,kula vyakula kama wanavyokula waislam, kuchinja kama wanavyochinja waislam
On the authority of Abdullah ibn Umar (ra):Hadith 8, 40 Hadith an-Nawawi
The Messenger of Allah (ﷺ) said, "I have been ordered to fight against the people until they testify that there is none worthy of worship except Allah and that Muhammad is the Messenger of Allah, and until they establish the salah and pay the zakat. And if they do that then they will have gained protection from me for their lives and property, unless [they commit acts that are punishable] in Islam, and their reckoning will be with Allah."
Hahaha vipi mtu akiuacha uislam? Mtume wenu alisema kill him/her
Sahih (Darussalam)Sunan an-Nasa'i 4743 Book 45, Hadith 38
"It is not permissible to kill a Muslim except in one of three cases: A adulterer who has been married, who is to be stoned; a man who kills a Muslim deliberately; and a man
who leaves Islam and wages war against Allah, the Mighty and Sublime, and His Messenger, who
is to be killed,
crucified or banished from the land."
Chuki kivipi ushasoma hata barua moja iliyotafsiliwa bila kuwekwa mabano?
View attachment 3543479
- Meaning: "Aslim" means "submit/accept Islam" and "Taslam" means "you will be safe/saved".
Jibu ushapata hapo? Taslam safe au udedishwe
Uislam umecopy kwa wakristo kuchanganya kipi? uislam unalipi jipya? hadithi kibao anacopy from kwetu
Narrated Ibn `Abbas:
The Prophet (ﷺ) used to copy the people of the Scriptures in matters in which there was no order from Allah. The people of the Scripture used to let their hair hang down while the pagans used to part their hair. So the Prophet (ﷺ) let his hair hang down first, but later on he parted it.
Uislam hauna lolote hata Historia ni vichekesho vitumu, Mecca haikuwepo enzi za historia viashiria vyote vinasema mji uliitwa Kaaba, Jina la Mohamad tafsiri yake ni kiumbe cha kuabudiwa sasa hilo jina alitoa wapi? maana mtume wenu aliitwa Qutham, muumini wa wapagani na aliitwa Abdullah sababu hakujulikana baba yake maana historia inasema abdullah alikufa miaka minne ndipo Qutham akazaliwa na kupewa jina hilo la mjomba wake kwa tamaduni za kiarabu kurithi jina la ukoo. Kumuita Muabudiwa mean Qutham ndie Mungu wenu huyo
Mie natumia Hoja aya na Hadith ndugu zeko akiwemo
Adiosamigo kutwa matusi hauwezi kumkanya kwani ni kinyume na uislam kumkanya Muislam asitukane
Wrong, Mnakataa Yesu sio Mwana wa Mungu. wakati Aliyesababisha Mimba ya Mariam mnasema ni Allah hahahaha Mtoto mnakataa. sababu kubwa mnaamini Yesu akija ataua Nguruwe,Atazuia Jizyah sasa atazuia vipi na haipo tena au Dubai na Saudia bado ipo? Mna kila sababu za kumpinga Yesu maana mpo upande wa Iblis mzee wa Kukana na kukanusha kila kitu. kama unampenda Yesu sema Ni mwana wa Mungu kama anavyosema yeye. Nilicheka siku Zakir naik alisema eti kipindi cha uwepo wa Yesu Duniani ilikuwa ni Sawa kusema Mwana wa Mungu ila sio baada ya Mudy hahahaha Neno la Mungu lilichange
Vipi Wale Malaika Haruti na Maruti walikuja fundisha uchawi na ushirikina hahahahaha waliletwa na Allah kufungua chuo cha magic Harry Porter school hahahaha
Ukisema Bismillah unatmka mara Tatu,
Akisema 1 Bismillah, 2 Rahman,3 Rahim
Ukisukutua unasukutua mara Tatu,
Ukinya mavi unachamba na mawe matatu,
wudu kila kitu mara tatu, almost kila kitu cha kiislam ni mara tatu,
Yesu mmem discribe mara tatu, Neno, Spirit na Man as Messenger
Mlikuja hadi kusema kuna malaika wana mabawa Matatu sasa bawa la tatu linakaa upande upi? hahaha
Allah kusema nimemuumba Binadamu kwa mikono yangu Quran 38:75 alikuwa akimuambia Iblis au mikono sio umbo?
Akikaa kwenye arsh hana tako? hana kiuno?au ni joka? maana ndie hakai, Mguu wake kuingia hell fire na moto utasema Qati qati Quran 50:30 kwaniyo description za Allah alivyo ni aya za kipumbavu kabisa katika Quran?
Sema hana Mwana ila alimpa Mimba Mariam akazaa.
Kama Angekuwa Mmoja angetumia lugha singular not Plural
Alafu alisema akitaka mtoto atachagua thuwaiba from his creation sasa ndie Mariam?
Na kama Angelikuwa ni mmoja asingeandika hii aya 21:17 Quran
لَوْ أَرَدْنَا أَنْ نَتَّخِذَ لَهْوًا لَاتَّخَذْنَاهُ مِنْ لَدُنَّا إِنْ كُنَّا فَاعِلِينَ
Law aradnaaa an nattakhiza
lahwal lat takhaznaahu mil ladunnaaa in kunnaa faa’ileen
Kwenye bold ni kiburudisho cha kike hahaha
Al-Barwani
Kama tungeli taka kufanya mchezo
tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli kuwa ni wafanyao mchezo.
Yaani neno thuwaiba limetafsiliwa mchezo hahaha
Twende kwa Abdullah : - Lau tulitaka kijifanyia Kipumbazi cha Mtoto au mke tungalikifanya kutoka kwetu, na sio kwenu. Hatukuwa ni wenye kufanya hilo kwa kuwa ni muhali kwetu kuwa na mtoto au mke.
Same Aya Quran 21:17 Tafsir kibao Waislam wanasikitika na kutetemeka aibu Allah anaumbuka hayupo peke yake hahahaha
Sahih International
Had We intended to take a diversion, We could have taken it from [what is] with Us – if [indeed] We were to do so.
Yusuf Ali
If it had been Our wish to take (just) a pastime, We should surely have taken it from the things nearest to Us, if We would do (such a thing)!
Abul Ala Maududi
Had it been Our will to find a pastime, We would have found one near at hand; if at all We were inclined to do so.
Muhsin Khan
Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us, if We were going to do (that).
Pickthall
If We had wished to find a pastime, We could have found it in Our presence – if We ever did.
Dr. Ghali
If We had taken to Us a diversion, We would indeed have taken it to Us from very close to Us, in case We are performing (that).
Abdel Haleem
If We had wished for a pastime, We could have found it within Us- if We had wished for any such thing.