Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Status
Not open for further replies.
1.kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa ujumbe wa Mtume Muhammad na mitume wengine ni kutoka kwa Allah na sio mawazo yao Binafsi?

2.Kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa Quran ni ujumbe kutoka kwa Allah na sio mawazo binafsi ya waandishi.?
 
Utaharila wako hata mwanangu ni bright kuliko wewe.. unadhani Uislam ni kujiamulia akilini mwako. kwakuwa uislam umeruhusu kudanganya basi unaokoteza kwa wajinga wenzako, nadhani utakuwa umesoma madrasa ya ustaadhi mjinga Mazinge ambaye hadi Sheh Shafii anamuita ni comedian tu, eti Aisha alikuwa ana miaka sita kaolewa kwani ni Dada yako yule usikie uchungu wewe? hajui kama mtume wake anafanya uibilisi!

Wazazi wa Musa na Harun wanatokea Kabila la Levi na hii hai hitaji hata Darubini kama umesoma story ya Musa, Na Mariam Mama yake Yesu ni line age ya Kabila la Yudah. kama una la kupinga weka ushahidi wako tucheke maana Uislam wote kazi yao ni uongo na kupotosha, karne hii ujinga unaachiwa ulale nao mwenyewe na mkeo.

Upumbavu wa Mohammad ulikuwa unaumbuliwa na Mkewe Aisha alipojua Mohammad kadanganya alimuumbua na alicheka mume wake baada ya myahudi aliyekuja akasomewa Quran ikisema oh Mary daughter of Imran and brother of Harun, Myahudi akamuambia Aisha sio kweli, sio huyo Mary kwani Jesus na Harun kuna hundreds of years imepita hawawezi kuwa mtu na Dada yake... Aisha alicheka sana taarifa ikasmbaa mtume kaongopa, akazipata hizo Taarifa ndio akaja na kisa chako cha kipumbavu eti sababu ya undugu wa kikabila. bado akaumbuka kwani Musa na Harun wanatoka Kabila la Levi na Mariam mama yake Yesu ni Kabila la Yudah, huwezi kabisa kuita hivyo na kichekesho Quran anayeongea ni Allah, ni ujinga wa Kuiga story alafu maswali hawezi jibu Mudy hakujua story aliyookoteza aliposikia Dada yake Musa na Harun aliitwa Miriam basi akajua ndio huyo huyo Mariam hahahaha proof fake Allah,Fake messenger and fake religion. Ndio Maana tunasema Isa wenu kazaliwa Misri.

Mary, mother of Jesus, as the "sister of Aaron" (Harun) in Surah Maryam 19:28,-Allah Muongo na Mwizi wa Story

Sister of Aaron! Your father was not an evil man; your mother was not unchaste!’ (Qur’an 19:28).

وَقَالَ اِبْن جَرِير حَدَّثَنِي يَعْقُوب حَدَّثَنَا اِبْن عُلَيَّة عَنْ سَعِيد بْن أَبِي صَدَقَة عَنْ مُحَمَّد بْن سِيرِينَ قَالَ أُنْبِئْت أَنَّ كَعْبًا قَالَ إِنَّ قَوْله : " يَا أُخْت هَارُون " لَيْسَ بِهَارُون أَخِي مُوسَى قَالَ فَقَالَتْ لَهُ عَائِشَة كَذَبْت قَالَ يَا أُمّ الْمُؤْمِنِينَ إِنْ كَانَ النَّبِيّ صَلَّى اللَّه عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَهُ فَهُوَ أَعْلَم وَأَخْبَر وَإِلَّا فَإِنِّي أَجِد بَيْنهمَا سِتّمِائَةِ سَنَة قَالَ فَسَكَتَتْ وَفِي هَذَا التَّارِيخ نَظَر

It was narrated from Ibn Jarir, narrated from Yaqub, narrated from Ibn U’laya, narrated from Sa’id Ibn Abi Sadaqa, narrated from Muhammad Ibn Sireen who stated that he was told that Ka’b said the verse that reads, "O sister of Harun (Aaron)!" (of Sura 19:28) does not refer to Aaron the brother of Moses. Aisha replied to Ka’b, "You have lied." Ka’b responded, "O Mother of the believers! If the prophet, may Allah’s prayers be upon him, has said it, and he is more knowledgeable, then this is what he related. Besides, I find the difference in time between them (Jesus and Moses) to be 600 years." He said that she remained silent.

Imesimuliwa kutoka kwa Ibn Jarir, akimsimulia Yaqub, akimsimulia Ibn U’laya, akimsimulia Sa’id Ibn Abi Sadaqa, akimsimulia Muhammad Ibn Sireen ambaye alisema kwamba aliiambia kwamba Ka’b alisema msemo unaosema, "Ewe dada wa Haruni!" (Quran 19:28) hauimaanishi Haruni ndugu wa Musa. Aisha alimjibu Ka’b, "Umesema uongo." Ka’b akajibu, "Ewe Mama wa waislamu! Ikiwa manabii, rehema na amani za Allah ziwe juu yake, amesema hivyo, na yeye ndiye anayejua zaidi, basi hili ndilo alilosimulia. Zaidi ya hayo, napata tofauti ya muda kati yao (Yesu na Musa) kuwa miaka 600." Alisema kwamba akaendelea kimya.
Tatizo lako hujui nini mana ya ukoo kwenye ukoo undugu haupotei unless wewe mwenyewe unataka kuupoteza.

Qur'an inaweza kuwa imefataa uko au inawezekana pia Mariam alikuwa ana ndugu yake anaitwa Harun au Cousin yake kila kitu kinawezekana wewe nani ujue kuliko Mungu.
 
Jinsi umri wako na siku zikisogea akili yako inaharibika sababu ya uislam, Nimeandika hapo vizuri narudia tena kunukuu (Uislam unaruhusu kula Nguruwe ukiwa na njaa, na hata usipokuwa na njaa ukila hakuna adhabu yeyote)
Uwe unasoma vizuri utengeanishi wa sentensi na swali au maelezo vizuri so jibu kuwa ukila Nguruwe Allah anakuadhibu kwa lipi? zaidi kasema atasamehe. so hakuna katazo la kweli hapo..

Ndio maana hakuna sababu yeyote ile iliyofanya Nguruwe akatazwe kuliwa na waislam. Mohammady tu alitoka sijui kuswali akafika uwanja wa Arafa akasema leo nimukamilisha uislam na msile Nguruwe vichekesho Mwanzo mwanzo kabisa mwa Quran Sura ya Tano uislam umekamilika kwa kuzuia ulaji wa Nguruwe ambaye ukimla ruksa ukiwa na njaa na kama sio njaa hakuna adhabu Allah atasamehe, huku ameruhusu mkale wa waroma misosi hujui Roman wanakipiga hicho kiti moto? Na mudy anajua hilo so aliwazugeni tu msipike na kukila kwenu ila mkitaka muwandee waroma mkakigonge.

Hii Mada unataka kunisingizia nimeleta mie hii ni prove kuwa uislam ni dini ya uzushi kwakuwa ummeambiwa msipofanya madhabi Allah atawabadilisheni na wanaotenda Dhambi so umeamua kusingizia hukumjibu mtu nami nikakucharaza fimbo na uongo wako Nimetoa kwako ulipokanusha Nguruwe haliwi na waislam Quote Namba 28
View attachment 3542662
Wewe umekuwa daktari wakujuwa akili zangu au 😆 Kenge mmoja wewe nani usema ukila nyama ya nguruwe haikudhuru umekuwa unaujuzi kuliko Mungu au?

Wakristo wengi wamewacha kula nyama ya nguruwe wamegundua inamadhara wewe utuambie ukila hupati lolote.

Mwenyezi Mungu aliruhusu ule nguruwe kama umekosa chakula hata ukila yeye ndio anauwezo wakuzuia isikudhuru.

Nikikuambia wewe Kenge hivi wewe una mke kweli au umeolewa na Padri huko kanisani. Sababu akili kama yako ya ku copy na ku paste huwezi ushi na mke unless huyo mke ni kenge kuliko wewe.
 
Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo

Haya Mtume Muhammad mnasema aliowa binti ana miaka 6, nyie mnauwa, mnarape, wengine watoto wadogo hata hawafiki miaka 6, sisi tuna dalili nyie hamna gata dalili kama bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 6. Tuliwambia Mungu atawafedhehesha wote mataifa na wanadamu walio mzulia Mtume wa Mungu uwongo.

Shukrani sana Allah endelea kuyadhalilisha mataifa ya kikristo

View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz

Humo kwenye picha hujaona picha za watu waliovaa kanzu na vilemba?. Hoja kubwa ya kidini ni namna gani huyu mwamba aliuziwa vitmbaa vinavyofunika lile jiwe jeusi (sijui mnaita Kaaba) na akienda kuvitandika chini na juu yake akifanya ufuska wa kila aina.
 
Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo

Haya Mtume Muhammad mnasema aliowa binti ana miaka 6, nyie mnauwa, mnarape, wengine watoto wadogo hata hawafiki miaka 6, sisi tuna dalili nyie hamna gata dalili kama bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 6. Tuliwambia Mungu atawafedhehesha wote mataifa na wanadamu walio mzulia Mtume wa Mungu uwongo.

Shukrani sana Allah endelea kuyadhalilisha mataifa ya kikristo

View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz

Mbona kuna ustaadh anaendesha madrasa kafira katoto hamsemi sheikh wangu. Uchafu hauna dini. Sisi hatumtambui Muhammad na mstake kujipendekeza kwetu. Hatuongeleagi uislam kanisani. Maana ni Mungu wa kiarabu
 
Kumbe kuna Mungu wa waarabu na wafrika ndio sababu mkaabudu sanamu la kizungu 😄 kule kanisani ndio mchezo wenu mpaa mnaozeshana ndoa za wanaume kwa wanaume
 
Jiwe la Kaaba “mkono wa Allah”?​

Hii ni hadith ya mfano (metaphorical), si itikadi. Waislamu hawaabudu jiwe . Jiwe halina uungu

Umar bin Khattab alisema: Najua wewe ni jiwe tu, hunidhuru wala hunifaidishi.”
Umar sio kwamba alisema jiwe hilo halina lolote alijua Qutham Mohammad ni muongo na uongo wake aliuzidisha kupita kiwago akaamua kumchana live mzee punguza kamba khah hadi jiwe tena linasamehe dhambi na kuliabudu kipagani kwa kulizunguka ni uzushi... mtupu Ndio mtume kujitetea huwa hhachi same tu na Adiosamig ila ndio alizifi kuharibu most of madomo kaya huwa yanadhani kuongea sana ni kuficha aibu kumbe ndio wanaharibu zaidi akaishia kusema jiwe ni mkono wa Allah duniani, jiwe siku ya kiama litakuwa na macho na mdomo likitoa ushahidi kwa waliolishika na kuwasamehe dhambi hadi likawa jeusi hahahaha.. Yaani Mtume wa Allah wenzake wanamshitukia kwa uongo too much
 
Kumbe kuna Mungu wa waarabu na wafrika ndio sababu mkaabudu sanamu la kizungu 😄 kule kanisani ndio mchezo wenu mpaa mnaozeshana ndoa za wanaume kwa wanaume
Vipi mjomba wake Mohammad na alianza kumchezea mtume wenu akiwa kijana mdogo.. na yule imam choko waumin walienda kushtaki kwa uthman kuwa anawatamaisha pengine alikuwa havai chupi so kitu live...
 
Si ndio hi mada nimetoa wacheni uzushi bila dalili huyo mnaye muita Bukhari wa kanisani hawezi kuwa Bukhari orignal. Tatizo lenu hamna akili ikiwa binadamu mnamuita Mungu
Waislam wanasema hakuna Mungu, wanamuita Allah.. wakati Allah ni jiwe la kaaba. Mtume wenu alisema Dajjal anafanana na Allah kibonge, nywele za curry umbo lake sijui la kibinadamu.. Nyie wajinga akili zenu hamjui mnaabudu nini na wala mpo duniani kufanya nini pia ni program ya Allah ufanye dhambi usifanye dhambi ni usuless Allah ndio kawapangia cha kufanya na vile vile anawapa adhabu wakati kapanga yeye mkosee na hata aliopanga wafanye vizuri anaamua either awachukue au awaache motoni atakapoingia yeye...

Sijaona ukitoa maoni yeyete aliyosema Sheikh uwesu mmanyema mwenzako kuwa lazima muingie motoni kwanza nyote hahahaha mtatoka kweli yaai iblis bingwa wenu kawachota akili

View: https://youtu.be/0eHB-VIxEMk

Uwesu anawaasa msikubali kufa mkiwa waislam hahahahaha
 
Wewe umekuwa daktari wakujuwa akili zangu au 😆 Kenge mmoja wewe nani usema ukila nyama ya nguruwe haikudhuru umekuwa unaujuzi kuliko Mungu au?
Punguza kunywa Pombe ndipo uongee hadharani.. Tumezungumzia ulaji wa Nyama kwa Waislam hatujazungumzia magonjwa umebanwa na nnya nini? andaa mawe matatu uchambe Man.

Huyo Mtume wako na Allah wako hawajawahi zungumzia madhara ya ulaji wa Nyama ya Nguruwe sababu hawna akili, nimeweka kisa cha mtume wako Quran sura ya Tano akisema nimeukamilisha uislam kwa kuzuia ulaji wa Nguruwe bila sababu yeyote hata waisla walijaribu kuuliza why Mashehe hawana majibu wanazuoni hawana Majibu eti Adiosamigo miaka hii anajua sababu ni magonjwa yaani Allah na Mudy hawajui hahaha

Pia Allah hana anachojua wala Mohammad kama angejua kunywa mkojo wa ngamia ni madhara asingethubutu! nikuulize na wewe kama ushawahi kuunywa mkojo wa Ngamia fresh from source yake?
Wakristo wengi wamewacha kula nyama ya nguruwe wamegundua inamadhara wewe utuambie ukila hupati lolote.
Its Good kusema wengi wameaacha, it mean sio wote alafu ukristo kamili i ule unaofuata mafunzo ya Yesu vinginevyo no. Wajua Zanzibar ulaji wa kiti moto ni mkubwa mno?
Mwenyezi Mungu aliruhusu ule nguruwe kama umekosa chakula hata ukila yeye ndio anauwezo wakuzuia isikudhuru.
Usichanganye Mungu na Allah nyie mlishakatazwa na kuambiwa Hakuna Mungu ila yupo Allah. Allah tusha proove hana uwezo wowote sanamu tu hilo Alishindwa kuzuia sumu kwenye supu ya mbuzi aliyokula Mohammad kwa ulafi wake wa Nyama kule Khaibar, ila labda sababu kifo chake kilitabiriwa alipoambiwa ukichomeka maneno yako kwenye Quran utakatwa mshipa wa moyo na ndio kifo chake akilalamika oh Aisha bado nasikia maumivu sababu ya ile sumu niliyokunywa Khaibar

Sahih al-Bukhari 4428 - Military Expeditions led by the ...​

Sunnah.com
https://sunnah.com › bukhari:4428
I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison." وَقَالَ يُونُسُ عَنِ .
Nikikuambia wewe Kenge hivi wewe una mke kweli au umeolewa na Padri huko kanisani. Sababu akili kama yako ya ku copy na ku paste huwezi ushi na mke unless huyo mke ni kenge kuliko wewe.
Kenge ni wewe unakoteza bila ushahidi unadhani nikifuata akili yako ya kupachika maneno bila shahidi za wanazuoni waislam utasema kila kitu naongopa na waislam cha kwanza husema umetutukania Dini. Zamani nilijua malalamishi ni ya kweli kumbe uislam wote ni uchafu. tumewafikia kila kona hamna pa kukwepa shetani wenu yupo uchi nna hana tauro tena.. uongo hauwezi kudumu
 
Attachments

  • 1770940485271.png
    1770940485271.png
    520 bytes · Views: 6
Vipi mjomba wake Mohammad na alianza kumchezea mtume wenu akiwa kijana mdogo.. na yule imam choko waumin walienda kushtaki kwa uthman kuwa anawatamaisha pengine alikuwa havai chupi so kitu live...
Hizo ni ndoto za kanisani hamtweza kufanikiwa kumharibia sifa Mtume Muhammad sababu huo ujinga upo kanisani tu, hizo Story utatuelezea siku ya hesabu ulizipata wapi na uliziamini vipi, kwa hapa duniani sisi hatusikilizi uzushi wa kanisa.
 
Punguza kunywa Pombe ndipo uongee hadharani.. Tumezungumzia ulaji wa Nyama kwa Waislam hatujazungumzia magonjwa umebanwa na nnya nini? andaa mawe matatu uchambe Man.

Huyo Mtume wako na Allah wako hawajawahi zungumzia madhara ya ulaji wa Nyama ya Nguruwe sababu hawna akili, nimeweka kisa cha mtume wako Quran sura ya Tano akisema nimeukamilisha uislam kwa kuzuia ulaji wa Nguruwe bila sababu yeyote hata waisla walijaribu kuuliza why Mashehe hawana majibu wanazuoni hawana Majibu eti Adiosamigo miaka hii anajua sababu ni magonjwa yaani Allah na Mudy hawajui hahaha

Pia Allah hana anachojua wala Mohammad kama angejua kunywa mkojo wa ngamia ni madhara asingethubutu! nikuulize na wewe kama ushawahi kuunywa mkojo wa Ngamia fresh from source yake?

Its Good kusema wengi wameaacha, it mean sio wote alafu ukristo kamili i ule unaofuata mafunzo ya Yesu vinginevyo no. Wajua Zanzibar ulaji wa kiti moto ni mkubwa mno?

Usichanganye Mungu na Allah nyie mlishakatazwa na kuambiwa Hakuna Mungu ila yupo Allah. Allah tusha proove hana uwezo wowote sanamu tu hilo Alishindwa kuzuia sumu kwenye supu ya mbuzi aliyokula Mohammad kwa ulafi wake wa Nyama kule Khaibar, ila labda sababu kifo chake kilitabiriwa alipoambiwa ukichomeka maneno yako kwenye Quran utakatwa mshipa wa moyo na ndio kifo chake akilalamika oh Aisha bado nasikia maumivu sababu ya ile sumu niliyokunywa Khaibar

Sahih al-Bukhari 4428 - Military Expeditions led by the ...

Sunnah.com
https://sunnah.com › bukhari:4428
I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison." وَقَالَ يُونُسُ عَنِ .

Kenge ni wewe unakoteza bila ushahidi unadhani nikifuata akili yako ya kupachika maneno bila shahidi za wanazuoni waislam utasema kila kitu naongopa na waislam cha kwanza husema umetutukania Dini. Zamani nilijua malalamishi ni ya kweli kumbe uislam wote ni uchafu. tumewafikia kila kona hamna pa kukwepa shetani wenu yupo uchi nna hana tauro tena.. uongo hauwezi kudumu
Bukhari wa kanisani ana ujinga sana
 
Waislam wanasema hakuna Mungu, wanamuita Allah.. wakati Allah ni jiwe la kaaba. Mtume wenu alisema Dajjal anafanana na Allah kibonge, nywele za curry umbo lake sijui la kibinadamu.. Nyie wajinga akili zenu hamjui mnaabudu nini na wala mpo duniani kufanya nini pia ni program ya Allah ufanye dhambi usifanye dhambi ni usuless Allah ndio kawapangia cha kufanya na vile vile anawapa adhabu wakati kapanga yeye mkosee na hata aliopanga wafanye vizuri anaamua either awachukue au awaache motoni atakapoingia yeye...

Sijaona ukitoa maoni yeyete aliyosema Sheikh uwesu mmanyema mwenzako kuwa lazima muingie motoni kwanza nyote hahahaha mtatoka kweli yaai iblis bingwa wenu kawachota akili

View: https://youtu.be/0eHB-VIxEMk

Uwesu anawaasa msikubali kufa mkiwa waislam hahahahaha

Tunapoteza mda tu huna jipya
 
Umar sio kwamba alisema jiwe hilo halina lolote alijua Qutham Mohammad ni muongo na uongo wake aliuzidisha kupita kiwago akaamua kumchana live mzee punguza kamba khah hadi jiwe tena linasamehe dhambi na kuliabudu kipagani kwa kulizunguka ni uzushi... mtupu Ndio mtume kujitetea huwa hhachi same tu na Adiosamig ila ndio alizifi kuharibu most of madomo kaya huwa yanadhani kuongea sana ni kuficha aibu kumbe ndio wanaharibu zaidi akaishia kusema jiwe ni mkono wa Allah duniani, jiwe siku ya kiama litakuwa na macho na mdomo likitoa ushahidi kwa waliolishika na kuwasamehe dhambi hadi likawa jeusi hahahaha.. Yaani Mtume wa Allah wenzake wanamshitukia kwa uongo too much

Hii ni kejeli ya mtu asiyeelewa Uislamu. Waislamu hawaabudu jiwe, wanamuabudu Allah. Umar (RA) alisema wazi jiwe halina nguvu yoyote. Kufata Sunna si upagani.

Chuki na dharau haviwezi kuwa hoja , elimu ndiyo tatizo lako
 
Vipi mjomba wake Mohammad na alianza kumchezea mtume wenu akiwa kijana mdogo.. na yule imam choko waumin walienda kushtaki kwa uthman kuwa anawatamaisha pengine alikuwa havai chupi so kitu live...

Biblia inasema: “Usitoe ushuhuda wa uongo” (Kutoka 20:16)

na “Mdomo wa uongo ni chukizo kwa Bwana” (Mithali 12:22).

Unachofanya ni uzushi mtupu, si hoja.

Tena Biblia yenu inasema: “Yeye asiye na dhambi na awe wa kwanza kutupa jiwe” (Yohana 8:7).

Chuki, uongo na kejeli havifanyi mtu kuwa mkweli—vinaonyesha upofu wa akili na roho chafu.
 
Yaani unakanusha kama Iblis kuwa kisa cha Ibrahim hakikuwa cha kubadilika badilika then unaweka ushahidi wa Quran unaoonesha alibadilika badilika hahahahaha huu ni ujinga uliopitiliza.

Kama Haisemu hakuabudu Mwezi au Jua nini maana ya kusema this is my Lord? Unadhani sie tunasoma tafsiri za mpumbavu Barwan labda ifanane asilimia nyingi yaani uongo wenu hadi kwenye Quran mnamsaidia Allah kudanganya Soma hizo Tafsiri za Wengine.

Chapter (6) sūrat l-anʿām (The Cattle)​

Sahih International: And when he saw the moon rising, he said, "This is my lord." But when it set, he said, "Unless my Lord guides me, I will surely be among the people gone astray."

Pickthall: And when he saw the moon uprising, he exclaimed: This is my Lord. But when it set, he said: Unless my Lord guide me, I surely shall become one of the folk who are astray.

Yusuf Ali: When he saw the moon rising in splendour, he said: "This is my Lord." But when the moon set, He said: "unless my Lord guide me, I shall surely be among those who go astray."

Shakir: Then when he saw the moon rising, he said: Is this my Lord? So when it set, he said: If my Lord had not guided me I should certainly be of the erring people.

Muhammad Sarwar: When Abraham saw the rising moon, he said, "This is my lord." But when it faded away, he said, "If my Lord does not guide me I shall certainly go astray."

Mohsin Khan: When he saw the moon rising up, he said: "This is my lord." But when it set, he said: "Unless my Lord guides me, I shall surely be among the erring people."

Arberry: When he saw the moon rising, he said, 'This is my Lord.' But when it set he said, 'If my Lord does not guide me I shall surely be of the people gone astray.'

Sahih International: And when he saw the sun rising, he said, "This is my lord; this is greater." But when it set, he said, "O my people, indeed I am free from what you associate with Allah.

Pickthall: And when he saw the sun uprising, he cried: This is my Lord! This is greater! And when it set he exclaimed: O my people! Lo! I am free from all that ye associate (with Him).

Yusuf Ali: When he saw the sun rising in splendour, he said: "This is my Lord; this is the greatest (of all)." But when the sun set, he said: "O my people! I am indeed free from your (guilt) of giving partners to Allah.

Shakir: Then when he saw the sun rising, he said: Is this my Lord? Is this the greatest? So when it set, he said: O my people! surely I am clear of what you set up (with Allah).

Muhammad Sarwar: When he saw the rising sun, he said, "This is my Lord for it is greater (than the others)." But when this too faded away, (Abraham) said, "My people, I disavow whatever you consider equal to God.

Mohsin Khan: When he saw the sun rising up, he said: "This is my lord. This is greater." But when it set, he said: "O my people! I am indeed free from all that you join as partners in worship with Allah.

Arberry: When he saw the sun rising, he said, 'This is my Lord; this is greater!' But when it set he said, 'O my people, surely I am quit of that you associate.

Alijuaje Allah ndie Mola wake maana kisa hiki ni kwamba Ibrahim katika Maisha yake hakuwahi ona Mwezi na Nyota hadi kisa kilipoanza kuadithiwa na Allah hahahaha.

Umetoa Mfano ambao have nothing to do with this topic. Ibrahim was seriously alikataa Mwezi unaopotea na Nyota pia kichekesho kingine Nyota hazina setting time kama Jua na Mwezi(Machweo wala mapambazuko) maana zipo sehemu moja tu iwe mchana au usiku hahahaha akili za Allah na Mohammad ni sawa mambumbumbu

Biblia haisemi Mungu haonekani? una ni teach dini yangu? kichekesho Mtume wako alisema only Musa aliongea na Mungu wake so Haongei kivipi? na wewe ni fake Muslim too?

Hiyo aya kasome vizuri huwezi kumuona Mungu baba kwa utukufu wake halisi ndio maana Jesus alikuja kwa umbo la Binadamu na Wanafunzi walimuuliza tutamuona Mungu Baba akasema nimekuwa nanyi siku zote bado hamjasadiki vipofu wanaona,wagonjwa wanapona n.k n.k Soma biblia ni Tamu mno sio aya moja unakata maneno kenge wa Adiosamigo

Kupunguza ukuu kivipi sisi Mungu kwetu ni kama Watoto wake, Nyie waislam Allah wenu amewaita ni watumwa wake hahaha ndio maana hawezi kuongea nanyi wala kumuona.

Biblia imesema Wazee Sabini walimuona au Hujui? Abrahim alimuona nikutajie wote? Adam,Enoch elewa kuna when God want to visit haji kwa umbo la utukufu mkuu kwani utakufa, nikupe mfano tuseme ukitizama jua sana utapofuka, na tuseme Jua likishuka sana wote tunadedi, Ndio maana yeye ni muweza akiamua anachotaka kuja kwa umbo la Yesu ikawezekana

Tukuache pengine umepanik sasa sio tunatoa wapi maneno?

Sasa Jesus ndie kasema Before Abrahm i am. umetoka kuamini Biblia na aya umezishusha now unakataa wewe ni kigeugeu? hypnosis is sign of Muslims

Yes Kama yeye ni Word mean mtamkaji ndie mtoa Amri na yeye anatekeleza Hapo mwanzo alikuwepo Neno naye neno alikuwa kwa Mungu nae neno ni Mungu.

Kasome Quran who is Neno kun faya kun ujue Yesu ni Nani yaani hata Quran inasema Yesu ni Mungu muumbaji au unaweza sema Mungu anaumbaje bila kusema NENO?
إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ
Al-Barwani
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa NENO litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).

4:171 Quran
يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ إِلَّا الْحَقَّ ۚ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَىٰ مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِنْهُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ ۖ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ ۚ انْتَهُوا خَيْرًا لَكُمْ ۚ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ سُبْحَانَهُ أَنْ يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ ۘ لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا
Al-Barwani
Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na NENO lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.

Hii Aya inaseme mseseme utatu ila Yesu nni Utatu ni Spirit ya Allah,Word ya Allah na Messenger wa Allah kila kitu ni Allah kasoro body maana kama Spirit ni Ya Allah, Maneno ya Allah na Ujumbe ni wa Allah ni Allah katika Mwili wa Binadamu. Tafisiri ya Spirit imebanwa kiswahilo in kiarabu maana yake roho inayoendelea kuwepo ndani ya mwili wa Yesu mean Allah in human body

Kama lisingekuwa halina uungu basi lisingesamehe dhambi na siku ya kiama si litatoa ushahidi kwa waliloligusa au hujui hadith za Mudy hizo hahahaha kamuulize Mwijaku alikuwa akiliomba liipe amani Tanzania akiwa hajavaa chupi na mhindi akimchezea nyuma akaishia kulia yalaaa yalaaa katizame video

Sasa unamfuata Umar au Mudy? aliyesema ukigusa Yemen's corner dhambi zinasamehewa. na unajua kisa cha Yemen corner? mawe ya hekaru ya wapagani kule yemen walivunja kisha wakabeba mawe ya msingi wanayapachika pale kaaba ili ibada za kipagani zote zihamie mecca maana mji ulidolala baada ya kuwafukuza wayahudi nchi yao waliyoianzisha now ni Saudi Arabia ya sasa

kasome vyote utaelewa naona unaelekea vizuri Yesu mifano yote alielezea na ikaeleweka

Ni mtume wako huyo Quran si inasema mu obey Allah and Messenger kama hutaki wewe ni kafir hizo hadith ni Sahaih zimethibitishwa na waislam wenzako wa kale na wa sasa hahaha

Kajifunze Kiarabu am worning you usipojua kiarabu na usipokalili Quran utakuja fufuliwa kipofu kama Adiosamigo hajui hajakalili Quran

Usibebe tu anapoongea Mungu au Binadamu Mwanzo wa Biblia umeonesha Elohim Mean plural Tuumbe mtu kwa Mfano wetu. so nyie mkabeba kizembe bila kuelewa ndio mnalia cha kushangaza aya zenu tu Allah kwenye Quran anatumia Plural Sisi , tukamtuma n.k Yesu aliposema Baba wayahudi walipata shida sana japo maandishi yapo wazi

Umedata sasa kasome upya. Mkusanyiko maana yake Usipo elewa nikueleweshe tena Quran inaposema qul hu allah ahad maana yake Allah ni miongoni Mwa'' (Miungu ya waarabu wapagani) akiwepo Samad, Yah-sin, Al uzza, Manat,Al-lat na Mengine kibao

na Islam maana yake ni Aslim taslam yaani Surrender of Die, kasome barua kibao alizoandika Mudy kwa Mataifa likiwepo la Roman jisalimie muwe salama au otherways kudedishwa tu

Angepinga why aliabudu na kufuata mila zao? Kuzunguka Kaaba ni wapagani,Ibada ya Marwa and Safa, Kutawaza kwa Sabian, kusujudia watoto Mabinti wa Allah Al-uzza,Alat na Manat, Yah Sin n.k

Alikuwa muongo story zake akisema za Allah zilikuwepo kitambo au husomi Quran wakimuambia hizo story za watu wa kale unahaithia vibaya kwa kukosea sisi tunaifahamu kwa ufasaha akawa anadai hayo ni maneno yake sio ya Allah bali ni ya kwake Quran 69:40

Hakuna muislam anayekataa Aisha kaolewa mtoto labda wewe ni Adiosmigo fake muslims

Haijawahi kuwa comedy Biblia imeweka wazi kuwa wasichana walio balehe tu.
Quran ni comedy hujui imeandika jinsi ya kumpa taraka mtoto? Quran 65:4

Mimi nilifikia kuusoma uislam baada ya matusi yenu kuna kipindi nilidhani mmepagawa kwa ila nikaja gundua kumbe mnafundishwa kututukana, nikasoma nikagundua Allah anatutukana na kutuita maadui hivyo nyie mtudharau na kutufanyia vitimbi, Mohammad nae anatutukana kutuita Najis, worst of creatures, so nina haki ya kuwazabueni kwani mafundisho yeu mnafundishwa kutuangamiza tukiwa wadhaifu mtumalize. uzuei Quran yenu imeandika kuwa hamtaweza na tutakuwa juu yenu hadi kiama. Quran 3:55

Acheni matusi kwetu mnakera sana na tatizo hamuwezi hata kuonyana wajinga wajinga waache hii tabia chafu hamsikii raha bila kututukana wakati Quran inasema sote tutakuwa Firdaus Jennah Quran 2:62

Ndio wengi nimeuliza waseme hizo mantiki,Falsafa hawawezi na wakisema unakuta hiyo aya ni joke inapingwa na aya nyingine so inakuwa debate ya quran against quran what a joke

Kwa lugha za makabila au herufu ila maana ni ile ile

Tatizo Mtume wenu alitwist story so nothing is True kama Ibrahim mmemuita Hanif ambapo tafsir yake ni kafir nyie hamjiiti Hanif why?

Now you are talking kafundishe waislam waache matusi alafu sisi tukijibu kutokana na Quran mnasema tunatukana. hahaha kama Quran imeandika stupid thing tunacheka why not ila nyie ndio mnatutukana haswa

Kisa cha Ibrahim, Nyota, Mwezi na Jua (Qur’an 6:76–79)​

Hoja yako kuu: “Ibrahim alikuwa anaabudu nyota/mwezi/jua, kisha akabadili mawazo”

Hii ni kutoelewa mtindo wa hoja (rhetorical argument) unaotumiwa katika Qur’an.

Ukweli wa kimaandiko​

Qur’an haisemi Ibrahim aliwahi kuwa mshirikina. Inasema wazi:

“Sikuwahi kuwa miongoni mwa washirikina” (6:79)

Kisa hiki ni mjadaladala wa kielimu (dialectical argument):

Ibrahim anawafundisha watu wake kwa kutumia lugha yao ya mawazo
Anatumia mbinu ya: “tuchukulie kwa hoja yenu”
Kisha anawaonyesha udhaifu wa hoja yao

Hii ni mbinu ile ile inayotumiwa na manabii wengine, hata katika Biblia.

“This is my Lord” haimaanishi ibada​

Katika Kiarabu, kauli:

“Hādhā rabbī”

Inaweza kuwa:

kauli ya kufikirisha
kauli ya hoja ya kinyume (irony / reductio ad absurdum)

Mfano wa kisasa:

“Basi kama huyu ndiye kiongozi wenu bora, mbona anakimbia shida?”

Haimaanishi unamuabudu.

Hoja ya “nyota hazichwi”​

Hapa kuna kosa la kisayansi:

Nyota zinaonekana kuzama (setting) kwa mtazamaji kwa sababu ya mzunguko wa dunia
Qur’an inazungumza kwa lugha ya mtazamaji wa kawaida, si astronomia ya NASA

Biblia pia inatumia lugha hiyo hiyo (mf. “jua lilisimama”).

Biblia: “Hakuna aliyemwona Mungu” vs “Walimwona Mungu”​

Hapa kuna mkanganyiko wa maandiko.

Biblia inasema WOTE wawili:​

“Hakuna mtu aliyemwona Mungu” (Yohana 1:18)
“Waliona Mungu” (Kutoka 24:9–11)

Wanatheolojia wa Kikristo wenyewe wanasema:

waliyoiona ilikuwa theophany (udhihirisho) sio asili kamili ya Mungu

Hivyo hoja hii si dhidi ya Uislamu, ni mjadala wa ndani ya Ukristo.

Yesu kama “Neno la Mungu” (Kalimatullah)​

Ndiyo, Qur’an inamwita Yesu:

Kalimatullah (Neno la Mungu)
Ruhun minhu (Roho kutoka Kwake)

Lakini maana ya Qur’an si sawa na maana ya Injili ya Yohana.

Kalima siyo Mungu​

Katika Qur’an:
“Kun fa-yakūn” ni sawa na amri ya uumbaji
Adam pia aliumbwa kwa kun

Je, Adam ni Mungu? Hapana.

Qur’an 4:171 inakataza wazi Utatu “Wala msiseme: watatu”

Kama Qur’an ingemaanisha Yesu ni Mungu:

isingesema “hakika Allah ni Mungu mmoja”

“Ruhun minhu” haimaanishi Allah yumo ndani ya Yesu​

Kiarabu:

“minhu” ni sawa na kutoka kwa heshima / uumbaji , si sehemu ya asili ya Mungu

Mfano:

“Nyumba ya Allah” (Kaaba) . Je, Allah yumo ndani ya mawe? Hapana.

Kusamehe dhambi & ushahidi siku ya kiyama​

Qur’an:
Allah ndiye anayesamehe
viungo vitashuhudia, si kusamehe

Hata katika Biblia:
Baba ndiye chanzo cha mamlaka (Yohana 17:3)

Hanif sio Kafir​

Hanif (حنيف):

mwenye kuelekea kwenye tauhidi
aliyepotoka na ushirikina

Kinyume chake cha kafir.

Hili linajulikana hata kwa wanazuoni wa lugha ya Kiarabu wasio Waislamu.

“Allah ni mmoja miongoni mwa miungu ya Waarabu”​

Hili ni kosa la kihistoria:

Qur’an inapingana moja kwa moja na: Al-Lāt , Al-‘Uzzā , Manāt

Je, nyinyi mnazo kike na Yeye ana mwana wa kiume?” (53:19–23)

Kama Allah angekuwa miongoni mwao:

asingewapinga kwa ukali huo

Islam ni sawa na surrender to die?​

Jibu ni Hapana.

Islam ni kujisalimisha kwa Mungu
Salam ni amani

Ndio maana inasema

Qur’an: “Hakuna kulazimisha katika dini” (2:256)

Barua za Mtume zilikuwa:

wito wa kidiplomasia si ultimatum ya “uue au ufe”

Unachokifanya wewe kwa chuki na roho yako mbaya ni

1. kuchanganya tafsiri za Kikristo na Qur’an
2. kuchukua aya bila lugha, muktadha, na historia
3. kutumia matusi badala ya hoja

Uislamu: haukatai Yesu , haukufundisha Ibrahim ushirikina , haufundishi Utatu , unasisitiza Mungu mmoja asiye na umbile wala mwana
 
Sahih al-Bukhari 4428 - Military Expeditions led by the ...

Sunnah.com
https://sunnah.com › bukhari:4428
I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison." وَقَالَ يُونُسُ عَنِ .

Kenge ni wewe unakoteza bila ushahidi unadhani nikifuata akili yako ya kupachika maneno bila shahidi za wanazuoni waislam utasema kila kitu naongopa na waislam cha kwanza husema umetutukania Dini. Zamani nilijua malalamishi ni ya kweli kumbe uislam wote ni uchafu. tumewafikia kila kona hamna pa kukwepa shetani wenu yupo uchi nna hana tauro tena.. uongo hauwezi kudumu
Tatizo lako kenge hujui Bukhari hana hadithi nyingi alizo ongea kama zilizo tungwa na Bukhari wa kanisani, hebu tazama hi video itakupa jibu ujuwe sio kila ukisikia Hadithi ya Bukhari au Sahihi Muslim udhani ni za kweli sababu Wayahudi walikuwa against Mtume Muhammad wakaja ni hizo fake hadithi.

Mimi sitaki kupoteza mda wangu na mjinga kama wewe Tazama video kama una akili utapata akili kama huna kabisa tutakuwa tunazunguka na hadithi za Kanisani na Ukuta wa Wayahudi 😄

View: https://youtu.be/nxcRBehgQto?si=9VL1ENM5exYa3jiU
 
Umuamini Bhukhari ila Hafsi unamuamini eeh? Maana Hafsi ndie anajulikana rasmi kwenye Islam kuwa ni muongo. na ndie mnatumia Tafsir yake ya Quran.

Pia hakuna asiye muongo katika uislam Allah ndie wa Kwanza akijiita bingwa wa uongo Quran 3:54 wa pili Mohammad na nyie waumii wote. Allah na Mudy kawaambia inaitwa Taqiyya sio dhambi.

Prove waislam ni waongo
Hafsi - Muongo,
Al Bhukhari - Muongo
Sahihi Muslim - Muongo
Sunna Abi Dawud -Muongo
Urwah -Muongo
al-Zuhr -Muongo
Allah -Muongo,
Mohammad -Muongo,
Adiosamigo -Mkweli hahahahahahahaha idiot

Hiyo Video mbona kama ujinga tu swali limeulizwa la kijinga kama Mohammad alikuwa anasamehe makosa and why hadith zingine yupo kinyume ni ujinga wakati hadithi kibao Mohammad alikuwa katiri hadith sahihi zenye vyanzo vingi hadi alipong'olewa meno, ni wizi ulisababishwa na kundi lake la magaidi wakakmbilia mali za wizi. kibaka yule kama alikuwa na huruma ni za kuhesabu. alafu huyo binti aliyempa sumu mudy wazazi wake na mume wake Mudy aliwaua na kile kilikuwa ni kisasi cha yule mwanamke... kwakuwa wewe ni fake muslim huujui uislam na ndie una sura ya kenge halisia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom