Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Status
Not open for further replies.
Kwanza hoja ya “Al-Fātiha haikuwa ya kwanza kushuka” si hoja.
Hahahaha si huwa mnasema Quran haijawahi kuwa corrupt? so tunafuta kabisa usemi wa Quran haijawahi badilishwa na pia Allah anakuwa zero kwa kusema hamna anayeweza kubadilisha quran Quran 6:115
Al-Barwani
Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Hii ni Prove kuwa Allah hana awezalo lolote. kama Muslim wamepangua na kutia uongo Quran.
Hata Biblia haijaandikwa kwa mpangilio wa matukio. Vitabu vya New Testament havikuandikwa kwa mpangilio wa maisha ya Jesus, na Injili hazikushuka siku moja. Mpangilio wa kukusanywa si sawa na mpangilio wa matukio.
Weka hizo tofauti maana Biblia ipo open haina kificho na imepangwa kutokana na matukio, kuhusu Maisha ya Yesu yameandikwa na wasimuliaji wanne Wameadithia kama walivyokusanya au kushuhudia. na Biblia inauthibitisho wa kila idara historia Geographia n.k, na Mpangilio wa Biblia upo high classic huruhusiwi kuifananisha na uchafu wa Quran uliopotoshwa
Kuhusu Qur’an 3:59 — unasema Adam aliumbwa kwa udongo, si kwa “Kun fayakūn”.
Ndio na hakuna Muislam yeyete duniani anayeweza thibitisha Kun faya kun
Lakini katika Biblia, Mungu aliumba kwa kusema: “Let there be…” (Mwanzo 1:3). Hiyo si amri ya neno?
Ndio amri ya Neno iwe na ikawa sio kama Quran inasema eti Yesu ni kama Adam wameumbwa kwa Iwe na ikawa uthibitisho Allah ni mzee wa Kamba hahaha
Hicho ndicho Qur’an inaita “Kun”. Ni uumbaji kwa amri ya Mungu.
Sasa unaongea nini hapo? hahaha shida yako ujibu tu hahaha Nimekuambia Mtume wako aliiga tu hakujua hata maana yake lugha na elimu matokeo ya ukilaza. Yaani huku umejigamba una uwezo wa kuumba ukasema umeumba kwa mikono yako miwili then mbele unasahau unasema nilisema iwe Adam akawa hahaha Wakati Mtume wako alisema Adam aliumbwa kwa vumbi akafinyangwa kisha akasubiri miaka 40 akauke. na pia tukagundua Allah yupo Slow kama other Muslims Maana Adam alimuambia Allah nimelizie kuniumba kabla a Jua kuzama hahaha Mbinguni nako Jua linazama..
Pia Biblia inasema Yesu ni “Neno la Mungu” (Yohana 1:1). Kama Mungu anaumba kwa Neno Lake, na Yesu anaitwa Neno, basi hata kwa mantiki ya Biblia uumbaji unatokea kwa amri ya Mungu.
Neno lazima litumike na neno ndie Yesu.. ukulijua hilo kwani? Jesus ni Creator Kwani Quran 3:59 hukuwai isoma hiyo Aya? inamtaja ''NENO''
فَنَادَتْهُ الْمَلَائِكَةُ وَهُوَ قَائِمٌ يُصَلِّي فِي الْمِحْرَابِ أَنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكَ بِيَحْيَىٰ مُصَدِّقًا بِكَلِمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَسَيِّدًا وَحَصُورًا وَنَبِيًّا مِنَ الصَّالِحِينَ
Al-Barwani
Alipo kuwa kasimama chumbani akisali, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema.
Qur’an haisemi Adam alizaliwa kama Yesu; inasema wote walikuwepo kwa mapenzi na amri ya Mungu — si kwa baba wa kibinadamu.
Unaitetea Quran au unaiabisha nakuwekea kabisa aya ucheke kama sisi tunavyocheka hahaha Hivi hutumii akili yako maana ni kama unarudia maswali na unashangaa twice kitu ambacho ni strange nishakuelezea kuwa Adam aliumbwa na Yesu alizaliwa na ndio ukaanza kujibu jibu now unaushangaa kama mwanzo eti Quran haisemi Adam amezaliwa kama Yesu. ok Soma qURAN 3:59
Indeed, the example of Jesus to God is like that of Adam. He created him from dust; then He said to him, "Be," and he was.
Al-Barwani
Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; Alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.

Haya mtetee Allah kwa huo ufananisho wa Adam na Yesu tuendelee kucheka hahaha
Kama unakataa “Kun fayakūn”, basi unapaswa pia kukataa uumbaji wa Mungu kwa kusema “Let there be” kwenye Book of Genesis.
Weka akili yako mguu sawa nadhani unashida ya kuelewa kama other muslims na hii ni kutokana na misingi wa Dini yenu mmekubuhishwa na uongo so mkikutana na ukweli mnapanic.

Let it be ya Biblia ipo okay kabisa na inaelezeka, mtihani na tatizo la QURAN ni hiyo let it be ya Adam na Yesu. Wajua Mtume wenu alikutana na hilo neno na kwa kuwa yupo Yesu ametajwa kama ndie neno instead kusem Neno la Yesu ndio liliupa uhai mwili wa Adam akabadilisha maneno ndio akalikoroga so ishakuwa aibu tumesoma tunacheka. Musli haruhusiwi kuhoji.
Hoja ya kielimu inahitaji uthabiti (consistency). Huwezi kukubali Mungu anaumba kwa Neno katika Biblia halafu ukatae dhana hiyo hiyo inapokuja kwenye Qur’an.
Kwenye Quran tumekataa wote Tatizo Mtume wenu alikuwa tantalila nyingi hachoki kuongea so anaongea hadi anaharibu then anamtwisha Sanamu Allah sifa ambazo sio zake.

Ni uthibitisho kuwa kiazi nashindwa kushangaa mshajua mengi kuhusu huyo Mtume fake ila mnae tu hahaha.

Kama unachochote kile tuthibitishie Kun fayakun ya Allah imeumba nini zaidi ya Uongo alioutumia kwa Adam na Yesu
 
Tatizo mwenye tabia hizo anapenda vitu hivyo mwanaume hawezi leta ujinga wa hivi .

Isaya 29:12 inamtabiria Mtume Muhammad
Mohammad au Ahmed? maana Isaya kazungumzia People of Jerusalem maana waliacha kumuabudu Mungu
Pia Soma 29:11 uendelee hadi 14 ucheke kama ndio huyo Mtume wako Mohammad haha

29:11 Na maono yote yamekuwa kwenu kama maneno ya kitabu kilichotiwa mhuri, ambacho watu humpa mtu aliye na maarifa, wakisema, Tafadhali ukisome hiki; akasema, Siwezi, kwa kuwa kimetiwa mhuri; 12kisha kitabu hiki apewa mtu asiye na maarifa, akaambiwa, Kisome hicho tafadhali, akasema, Sina maarifa mimi.
13 Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walichonacho kwangu ni maagizo ya wanadamu

Kwa hiyo hao watu wampao kitabu ndio Jibril? alafu Katika Quran Surah Mohammad inasema Only Jesus ndie anatabiri Mtume ajaye after him ni Ahmed so Quran ni ya uongo kama Kawaida ya uislam fix ''Kamba Luffo striker''

Lord anasema huyo mnafiki anajifanya anampenda Mungu kumbe hamna kitu anabadilisha kila kitu juu chini chini juu .
13 The Lord says:

“These people come near to me with their mouth
and honor me with their lips,
but their hearts are far from me
.
Their worship of me
is based on merely human rules they have been taught.

14;Therefore once more I will astound these people
with wonder upon wonder;
the wisdom of the wise will perish,
the intelligence of the intelligent will vanish.”
15 Woe to those who go to great depths
to hide their plans from the Lord,
who do their work in darkness and think,
“Who sees us? Who will know?”
16;You turn things upside down,
as if the potter were thought to be like the clay!
Shall what is formed say to the one who formed it,
“You did not make me”?
Can the pot say to the potter,
“You know nothing”?
ikimaanisha “mtu asiye na elimu” au asiyejua kusoma na kuandika (Mtume) akipewa “kitabu” (Qur'an) na kutakiwa kukisoma. Mstari huo unasema: “Na hicho kitabu hupewa mtu asiye na Elimu.
Hiyo Mabano vipi tena hahaha ndio Corruption. So ni Ahmed au Mohammad alipewa book Jerusalem? Ungejua kiarabu ungecheka ummiin
Waislamu wanaiunganisha aya hii na ule ufunuo wa kwanza katika Pango la Hira, ambapo Malaika Jibril alimwambia Mtume Muhammad “Soma” (Iqra), naye akajibu, “Mimi si msomi”.
Tupatie Aya hiyo ya pangoni hahaha Na huko pangoni aliambiwa asome au ali recite? hahaha
Eti wakanisa wanadai Yesu hahaha, Yesu kazaliwa anaongea na kuwambia watu Yeye ni mjumbe wa Mungu tokea utotoni
Tokea utotoni wakati amezaliwa na Injili akiwa nayo tayari mbona kama huweki sawa hili
na kapewa kitabu direct tokea utotoni.
Yesu ni Word of Allah so hana cha kupewa anacho yeye ni Mungu
Wapi aliletewa kitabu akambiwa soma akasema sijui kusoma, ukristo ni upagani kweli hawataki kukubali ukweli wa Mtume Muhammad kutoka vitabu vyao
Ahmed au?

Vipi kuna aya nyingine ya kumsupport Mohammad kwenye Biblia maana hata yeye alipokuwa hai hakujua hili na kwenye sura yake akasema Yesu alimtabiri kuwa atakayekuja ni Ahmed.

Wajua hayo ni majina ya wanastahili kuabudiwa Ahmed and Mohammad, sasa hao ni vibaka ila wamewachota akili.. Ujinga wa waislam hata wakijibiwa maujinga yao hawaachi kuyauliza kila mara Dejavu Same question same answer kila mara

View: https://www.youtube.com/watch?v=-F4tR1qyiWk
 
Hahahaha si huwa mnasema Quran haijawahi kuwa corrupt? so tunafuta kabisa usemi wa Quran haijawahi badilishwa na pia Allah anakuwa zero kwa kusema hamna anayeweza kubadilisha quran Quran 6:115
Al-Barwani
Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Hii ni Prove kuwa Allah hana awezalo lolote. kama Muslim wamepangua na kutia uongo Quran.

Weka hizo tofauti maana Biblia ipo open haina kificho na imepangwa kutokana na matukio, kuhusu Maisha ya Yesu yameandikwa na wasimuliaji wanne Wameadithia kama walivyokusanya au kushuhudia. na Biblia inauthibitisho wa kila idara historia Geographia n.k, na Mpangilio wa Biblia upo high classic huruhusiwi kuifananisha na uchafu wa Quran uliopotoshwa

Ndio na hakuna Muislam yeyete duniani anayeweza thibitisha Kun faya kun

Ndio amri ya Neno iwe na ikawa sio kama Quran inasema eti Yesu ni kama Adam wameumbwa kwa Iwe na ikawa uthibitisho Allah ni mzee wa Kamba hahaha

Sasa unaongea nini hapo? hahaha shida yako ujibu tu hahaha Nimekuambia Mtume wako aliiga tu hakujua hata maana yake lugha na elimu matokeo ya ukilaza. Yaani huku umejigamba una uwezo wa kuumba ukasema umeumba kwa mikono yako miwili then mbele unasahau unasema nilisema iwe Adam akawa hahaha Wakati Mtume wako alisema Adam aliumbwa kwa vumbi akafinyangwa kisha akasubiri miaka 40 akauke. na pia tukagundua Allah yupo Slow kama other Muslims Maana Adam alimuambia Allah nimelizie kuniumba kabla a Jua kuzama hahaha Mbinguni nako Jua linazama..

Neno lazima litumike na neno ndie Yesu.. ukulijua hilo kwani? Jesus ni Creator Kwani Quran 3:59 hukuwai isoma hiyo Aya? inamtaja ''NENO''
فَنَادَتْهُ الْمَلَائِكَةُ وَهُوَ قَائِمٌ يُصَلِّي فِي الْمِحْرَابِ أَنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكَ بِيَحْيَىٰ مُصَدِّقًا بِكَلِمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَسَيِّدًا وَحَصُورًا وَنَبِيًّا مِنَ الصَّالِحِينَ
Al-Barwani
Alipo kuwa kasimama chumbani akisali, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema.

Unaitetea Quran au unaiabisha nakuwekea kabisa aya ucheke kama sisi tunavyocheka hahaha Hivi hutumii akili yako maana ni kama unarudia maswali na unashangaa twice kitu ambacho ni strange nishakuelezea kuwa Adam aliumbwa na Yesu alizaliwa na ndio ukaanza kujibu jibu now unaushangaa kama mwanzo eti Quran haisemi Adam amezaliwa kama Yesu. ok Soma qURAN 3:59
Indeed, the example of Jesus to God is like that of Adam. He created him from dust; then He said to him, "Be," and he was.
Al-Barwani
Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; Alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.

Haya mtetee Allah kwa huo ufananisho wa Adam na Yesu tuendelee kucheka hahaha

Weka akili yako mguu sawa nadhani unashida ya kuelewa kama other muslims na hii ni kutokana na misingi wa Dini yenu mmekubuhishwa na uongo so mkikutana na ukweli mnapanic.

Let it be ya Biblia ipo okay kabisa na inaelezeka, mtihani na tatizo la QURAN ni hiyo let it be ya Adam na Yesu. Wajua Mtume wenu alikutana na hilo neno na kwa kuwa yupo Yesu ametajwa kama ndie neno instead kusem Neno la Yesu ndio liliupa uhai mwili wa Adam akabadilisha maneno ndio akalikoroga so ishakuwa aibu tumesoma tunacheka. Musli haruhusiwi kuhoji.

Kwenye Quran tumekataa wote Tatizo Mtume wenu alikuwa tantalila nyingi hachoki kuongea so anaongea hadi anaharibu then anamtwisha Sanamu Allah sifa ambazo sio zake.

Ni uthibitisho kuwa kiazi nashindwa kushangaa mshajua mengi kuhusu huyo Mtume fake ila mnae tu hahaha.

Kama unachochote kile tuthibitishie Kun fayakun ya Allah imeumba nini zaidi ya Uongo alioutumia kwa Adam na Yesu

Mpangilio si mabadiliko
Qur’an haijawahi kudai kuwa sura zilishuka kwa mpangilio wa sasa. Ilidai kuwa maneno yake yamehifadhiwa (Q 6:115). Mpangilio wa kukusanywa si sawa na kubadilishwa kwa maandishi. Hata kwenye Biblia vitabu haviko kwa mpangilio wa matukio (Injili ziliandikwa baadaye, si kwa timeline ya maisha ya Yesu).

“Hakuna awezaye kubadilisha maneno yake”
Aya inazungumzia ukweli na ahadi ya Mungu, si mpangilio wa sura. Biblia yenyewe ina kauli kama:

“Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita.” (Mathayo 24:35)
Lakini bado mnakubali kuna tafsiri na nakala tofauti za maandishi ya kale. Hiyo haimaanishi Mungu “hana uwezo”.

“Kun fayakūn” vs “Let there be”
Mwanzo 1:3: “Let there be light.” — Mungu anaumba kwa amri.
Qur’an: “Be, and it is.” — dhana ile ile ya uumbaji kwa amri.
Ukikubali moja, ukatae zote mbili. Ukikubali Biblia, huwezi kuicheka Qur’an kwa dhana hiyo hiyo.

Qur’an 3:59 (Yesu na Adam)
Hoja si kwamba Yesu ni sawa na Adam. Hoja ni: wote hawakutokana na baba wa kibinadamu kwa njia ya kawaida. Adam bila baba na mama; Yesu bila baba. Huo ndio “mfano”. Siyo kusema ni kitu kilekile.

“Neno” katika Yohana 1:1
Ukisema Yesu ni Mungu kwa sababu ni “Neno”, kumbuka Yesu pia anasema:

“Baba ni mkuu kuliko mimi.” (Yohana 14:28, Biblia) Na: “Wewe ndiwe Mungu wa pekee wa kweli.” (Yohana 17:3)
Hapo anatenganisha Mungu na nafsi yake.

Kuhusu Utatu
Haukutamkwa wazi na Yesu; ulithibitishwa rasmi kwenye Council of Nicaea chini ya Constantine the Great. Huo ni mchakato wa kihistoria si maneno ya moja kwa moja ya Yesu.

Kwa hivyo Kama “Let there be” ni sawa, basi “Kun fayakūn” ni sawa. ,Kama unacheka na moja, lazima ucheke na zote.
Tatizo lako si mantiki ila tatizo lako ni upendeleo na ubishi pamoja na chuki dhidi ya uislamu dini ya haki
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom