Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Status
Not open for further replies.
Hoja zako zimejengwa juu ya makosa ya kihistoria, ya maandiko, na ya mantiki, na Biblia unayoitumia inakupinga moja kwa moja.

1. “Wayahudi walimuita Muhammad kafiri” — si hoja ya ukweli​

Wayahudi pia walimwita Yesu mpotovu , waliwaita Mitume wa zamani waongo , Wakamkataa hata Masihi waliokuwa wakimsubiri
Sasa umesema si hoja ya kweli alafu unajibu kuwa walisema. hahaha Nimekuambia kisa cha kweli Wayahudi wa Medina na Mecca walimuita Mohammad Kufar maana yake anapingana na Mungu wa Kweli. punguza ujinga basi
Biblia inasema: Biblia – Yohana 1:11 “Alikuja kwake mwenyewe, wala watu wake hawakumpokea.”

Kukataliwa na Wayahudi si ushahidi wa uongo, bali ni desturi yao kwa manabii.
Anasema alitumwa kwao ila wakakataa so akawapa mataifa yote na si kwamba Wayahudi wote walikataa ni waalimu wa Dini, wakristo wa mwanzo ni wayahudi wenyewe hadi mitume wote unashindwa tetea hoja za mudy unafundisha tunachojua sisi, mimi nakupa aya uelewe kuwa unavyopinga ni upumbavu na ujinga sisi didni yetu haina ficha ficha soma aya tokea mwanzo na sio kama quran aya ipo na haieleweki wala haina connection na aya zingine ndio mana inapingana yenyewe kwa yenyewe

2. “Muhammad alibadilisha jina la YHWH kuwa Allah” — kosa la msingi​

Hili linaonyesha kutokufahamu lugha.

Allah ni sawa na “Mungu” kwa Kiarabu ,
False na ni ujinga Muslim hamjui maana ya Neno Allah nimejaribu kuwafundisheni ila ujinga hauwaishi na mtu ambeye ujinga haumuishi anaitwa mpumbavu.

Allah ni two word AL and Lah.
AL = kwa lugha za Aramaic cha kale iliwakilisha kama Mungu
Lah - Means Moon
Even Neno Bismi-l-Lah maana yake kwa jina la ''Lah'' yaani in the name of Lah
Ukitamka Shahada unasema Hakuna Mungu (Lillah ila ''Lah''
Kama Allah ingekuwa ni Mungu Shahada ingesema Hakuna Allah ila Allah na haiwezekani mkasema Hakuna Mungu ila kuna Mungu.
So Acheni kuhadaa na ondokeni na upumbavu.
Wakristo wa Kiarabu kabla ya Uislamu walimtaja Mungu kama Allah , Biblia ya Kiarabu hadi leo inatumia Allah
Unazungumzia enzi za utawala wa Makhalifa? Enzi hizo walilazimishwa hilo. Unataka kuniambia Issa ndio Yesu pia? hahahaha
Unajua Jina la Baba yake Mohammad? Aliitwa Abudllah maana yake ni Mtumishi wa Allah na Allah alikuwa Miungu ya Waarabu Quraish washirikina nadhani unatambua hilo na Allah alikuwa ana watoto wa kike na wa kiume Quran inathibitisha akiwakana wanae.

Biblia inasema Mungu ana majina mengi: Kutoka 3:14“Mimi ni Mimi” , Zaburi 83:18YHWH , Danieli 6:26Mungu aliye hai
Kubadilika kwa lugha si kubadilika kwa Mungu.
Sio majina hayo ni Tittle Mungu hajataja Jina lake, Soma kijana usikurupuke, Allah anamajina 99 ni majina au Tittle? Ramhan maana yake nini?

3. “Wayahudi hawamjui Allah” — Biblia inawakanusha​

Weka aya Biblia ikimtaja Allah.- Nimemiss kucheka
Biblia inasema Mungu wa Israeli ni Mungu wa mataifa yote, si kabila moja. Isaya 42:11 “Jangwa na miji yake ipaze sauti… Kedar afurahi.” Kedar ni mwana wa Ismail, babu wa Waarabu.
Babu wa Waarabu? hahaha Kasome kwanza historia ya Ishmael ufute ujinga, Yaani Ishmail baba yake ni mcardian from Mesopotamian Mama yake Mmisri mweusi alafu aone mke kabila la Jurhum maadui Quraish ambao ndio waarabu kisha awe hapo hapo Babu wa hao Maadui wa kabila la Mke wake Jurhum . Muslim ujinga na uongo unawasaidia nini? Yaani uonekane umebisha wakati kichwani ni kilaza. Kasome Sahih al-Bukhari 3365
Hii ni unabii wa wazi kuwa Waarabu watamhimidi Mungu wa kweli.
Kama Allah unamuita Mungu achana kutamka Shahada kwanza pia niambie chochote Allah kasema kikawa au kaumba na prove japo kiduchu, maana vyote alivyodai kaumba tumechambua tukakuta ni uongo. anatumia Tahweed kujiingiza katika umoja wakati yeye hana chochote wala uwezo tu wa kuongea,Kujua chochote n.k

View: https://www.youtube.com/shorts/kIQm39ctKuk?t=28&feature=share

4. “Nabii lazima atoe sadaka ushushwe moto” — si sheria ya jumla​

Huu ni utaratibu maalum, si kipimo cha unabii wote.​

Huwezi kataa ndio wayahudi walivyoamua hivyo kama hutaki ni wewe. kwani Mohammad aliambiwa akaona ataumbuka kwa hilo, Nadhani angezaliwa kipindi hiki angewaambia Hamas warusha rocket hadi kwenye madhabahu hahaha japo wangemuangusha tu mana Rocket za Hamas hazina Shabaha maybe angeomba msaada Iran au Russia hahaha
Biblia inasema: Mathayo 12:39 “Kizazi kiovu hutafuta ishara, wala hakitapewa ishara ila ile ya nabii Yona.”
Sasa hapo umejijibu mbona and mfano wako have nothing to do with this topic. na hii ni Prove kuwa Waaarabu walimuambia Mudy tuoneshe Muujiza wowote kama wewe ni nabii kichekesho alichojibu Mohammad eti Allah hatoleta muujiza wowote sabababu alileta kwa manabii wa siku za kale na hao watu hawakuiamini hiyo Miujiza, ujinga wa Allah na Mohammad ni vichekesho Wayahudi waliamini miujiza yote ya Yesu, ya Musa so Allah muongo na fake messenger wake mohammad.
Yesu mwenyewe alikataa kutoa ishara za moto.
Its good umemkubali Yesu kuwa ndie Mwenyewe. Yesu alisema hajakuja kutengua Torati bali kuitimiliza. mean aliifunga akafungua chapter Mpya aaminiwe yeye ili kuuona uzima wa Milele. Soma kuna raha sana.
Je, hilo linamfanya awe kafiri kwa Wayahudi? Ndiyo — lakini bado ni Nabii kwa Wakristo.
Unachanganya mada ila soma juu nishaelezea. Kafir kumkataa Mungu wa Kweli ambaye ni Baba yake ambaye yupo ndani mwake na yeye ndani ya Baba yake na kuwa mmoja.

5. “Manabii lazima watoke ukoo wa Israeli” —​

Inafundisha hivyo na Quran inatambua hilo kwa kuwa mjinga nakupa elimi ili usiwe unaendeleza maswali ya kujirudia rudia. Unajua habari ya Gifted Son? just google it. Alafu ndio ujue Mtume Mohammad wako hayupo kwenye hilo Agano la Mitume wa ukoo wa wayahudi hahaha

Quran 6:84
Saheeh International
And We gave to Abraham, Isaac and Jacob - all [of them] We guided. And Noah, We guided before; and among his descendants, David and Solomon and Job and Joseph and Moses and Aaron. Thus do We reward the doers of good.

Quran 29;27
Saheeh International
And We gave to Him Isaac and Jacob and placed in his descendants prophethood and scripture. And We gave him his reward in this world, and indeed, he is in the Hereafter among the righteous

Biblia haifundishi hivyo​

Inafundisha vizuri kabisa kizazi cha Isaac Mwanza 17:19 Ndipo Mungu akasema, “Ndiyo, lakini mkeo Sara atakuzalia wewe mwana, nawe utamwita jina lake Isaka. Nitalithibitisha agano langu naye kama agano la milele kwa ajili yake na wazao wake baada yake.
Biblia inasema Mungu ana mamlaka ya kumchagua yeyote:

Amosi 9:7
“Je, ninyi si kama Wakuushi kwangu, enyi Waisraeli?”

Na: Mwanzo 21:13 “Nitafanya taifa kubwa kwa mwana wa mjakazi.” (Ismail)
Kufanywa Taifa kubwa sio nabii dogo vipi? are you high! Hizo ahadi alishaahidi sababu ya Ibrahim ni uzao wake sio waarabu hao
Hivyo, kudai kuwa Nabii lazima awe Myahudi ni uzushi wa kibinadamu, si Biblia.
Agano la Milele linaitwa Mwanza 17:19 ukoo wa Isaac

6. “Wakimfufua leo watamuita kafiri” — hoja isiyo na uzito​

Biblia inasema: Mathayo 23:37 “Enyi Yerusalemu, mnaowaua manabii…”

Wayahudi waliua manabii, waliwaita waongo — lakini Mungu aliwahukumu, si wao. Kwa hiyo maoni yao hayapimi ukweli wa Nabii.

Kama Biblia inasema Mitume waliuwawa sawa na hiyo Mitume ilifikisha jumbe , na Je Quran inasema Mitume waliuwawa ila Allah hajui mitume ipi iliyouwawa hahahaha Quran 2:87.

Hivi Mnaosema Palestine hayo maneno waliambiwa Waarabu au Wayahudi? na why mnalalamika Palestine kuwa Free wakati mnasoma Jerusalem ya Waisrael
 
Kusema “Qurani yote ni uongo” bila kutaja hata aya moja inayojipinga si ushahidi, ni kelele tu.
Nikisema Quran yote namaanisha Quran yote aya zote from 1 hadi 114.
Hiyo Alfatiha tu haijawahi kuwa aya ya Kwanza aliyopokea Mohammad pangoni akiambiwa asome Al-araq
Quran 3:59 eti Yesu ni saa na Adam ameumbwa kwa kun faya kun wakati ni uongo, Adam kaumbwa kwa Udongo na Yesu amezaliwa na hakuna aliyeumbwa kwa Kun fanya kun.
Ay zote ni ''kamba luffo''

Nikupe zeozi wewe lete aya unayoona haina uongo kwenye Quran
Anayesema “naweza kuthibitisha” lakini anakimbia mjadala amejithibitisha hana hoja.

Kutukana Uislamu, Waislamu, au AI hakubatilishi aya wala hoja. Ukweli hauhitaji matusi, unahitaji dalili.
Njoo kivyovyote mie nawapasua kwa kutumia vitabu vyenu vya uongo. Kuusoma uislam kumenipotezea muda na akili yangu Najuta
Kama kweli unaweza “kuumbua dakika chache”, lete dai moja tu kwa aya na ushahidi wake. La sivyo, hiyo ni chuki iliyojificha nyuma ya neno “proof”.
Chochote utakacho dai eti ni cha ukweli katika uislam nikipata muda nakuonesha uongo wake ulipo. Najua uislam kuliko Allah na Mohmamd hahahaha.

Acha nikufahamishe uislam umekubuhu kweye uongo tu Hakuna anything cha Uungu hata Allah anasema kazi yake ni kupoteosha maaan ni ahadi yake yeye na Allah walikubaliana

Surah Al-Hijr - 39​

1771806152758.png
Quran.com
https://quran.com › al-hijr

·Tafsiri ukurasa huu

Satan responded, “My Lord! For allowing me to stray I will surely tempt them on earth and mislead them all together.
 
Nikisema Quran yote namaanisha Quran yote aya zote from 1 hadi 114.
Hiyo Alfatiha tu haijawahi kuwa aya ya Kwanza aliyopokea Mohammad pangoni akiambiwa asome Al-araq
Quran 3:59 eti Yesu ni saa na Adam ameumbwa kwa kun faya kun wakati ni uongo, Adam kaumbwa kwa Udongo na Yesu amezaliwa na hakuna aliyeumbwa kwa Kun fanya kun.
Ay zote ni ''kamba luffo''

Nikupe zeozi wewe lete aya unayoona haina uongo kwenye Quran

Njoo kivyovyote mie nawapasua kwa kutumia vitabu vyenu vya uongo. Kuusoma uislam kumenipotezea muda na akili yangu Najuta

Chochote utakacho dai eti ni cha ukweli katika uislam nikipata muda nakuonesha uongo wake ulipo. Najua uislam kuliko Allah na Mohmamd hahahaha
Wewe choko njoo unikwoti mimi ule mabanzi pumbavu wewe
Kwangu huchomoi na Hivi vichambo vya madaguro yenu ya ushoga
Kenge unalizimisha sijui visa mara hadithi pumbavu
 
Huyo Mlaleo hana analo lijua chukulia ujinga mdogo sana anasema eti Adam hakuwa Be and he was, yeye alikuwa created hajui kwamba Adam alikuwa hana baba wala mama wakati Yesu ana mama hajui kama hata Adam alikuwa created lakini Mungu alisema hivi Be and he was na dalili hi hapa namuwekea kwenye Qur'an.

Indeed, the example of Jesus in the sight of Allah is like that of Adam. He created him from dust, then said to him, 'Be!' And he was!" (3:59)

Afu ujinga mwingine anadai unabii lazima utoke kwa Isaac wakati Mungu alisema hivi ndani ya Qur'an utume ulianzishwa ndani ya kizazi cha Ibrahimu. Hii inajumuisha matawi yote mawili ya familia yake:
Nasaba ya Ishaq ni Yaqub, Musa Harun, Dawud , Suleiman (Agu wa kristo wanadai hakuwa Mtume eti alikuwa mfalme), Ayyub , Yusuf, Zakariya,, Yahya (Yohana), na Isa (Yesu).
Ukoo wa Ismail (Ishmael): Mtume Muhammad ni kizazi cha moja kwa moja cha Ismail, mtoto wa kwanza wa Ibrahimu, na kumfanya kuwa sehemu ya unabii wa Ibrahimu.

Nataka huyo mjuaji anaye jidai anajua kila kitu Mlaleo aniaeleze nani huyu Mtume kakusudiwa kwenye bibilia yao atapewa utume na hakusoma na atakuja na kitabu kutoka kwa Mungu.

Isaiah 29:12: Describes a book being delivered to one who is unlearned, which corresponds to the Prophet receiving the Quran
 
Huyo Mlaleo hana analo lijua chukulia ujinga mdogo sana anasema eti Adam hakuwa Be and he was, yeye alikuwa created hajui kwamba Adam alikuwa hana baba wala mama wakati Yesu ana mama hajui kama hata Adam alikuwa created lakini Mungu alisema hivi Be and he was na dalili hi hapa namuwekea kwenye Qur'an.

Indeed, the example of Jesus in the sight of Allah is like that of Adam. He created him from dust, then said to him, 'Be!' And he was!" (3:59)
Don’t take these things seriously, hizo ni hadithi tuu, hata babu zako walikuwa nazo ila bahati mbaya walizidiwa akili na mkoloni zikafutwa ndio maana huzisikii na zilizobaki zikaitwa uchawi
 
Mtume Muhammad kafa umri wake 63 Trump ana umri gani?

Hao wote walio rape vitoto vidogo wana umri kuliko wa Mtume.

Afu Mtume aliowa nyie mna rape afu wengine mna rape na kuwauwa

Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo

Haya Mtume Muhammad mnasema aliowa binti ana miaka 6, nyie mnauwa, mnarape, wengine watoto wadogo hata hawafiki miaka 6, sisi tuna dalili nyie hamna gata dalili kama bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 6. Tuliwambia Mungu atawafedhehesha wote mataifa na wanadamu walio mzulia Mtume wa Mungu uwongo.

Shukrani sana Allah endelea kuyadhalilisha mataifa ya kikristo

View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz

Unajidharilisha kumfananisha Mtume wenu na Trump we KOBAZ.
 
Wacha kunipotezea mda nilisha jibu huo ujinga toka lini nilimfananisha kichaa na Mtume nipe wapi dalili zako nimemfananisha Trump na Mtume Muhammad
 
Don’t take these things seriously, hizo ni hadithi tuu, hata babu zako walikuwa nazo ila bahati mbaya walizidiwa akili na mkoloni zikafutwa ndio maana huzisikii na zilizobaki zikaitwa uchawi
Kasome Qur'an utapata akili
 
Nikisema Quran yote namaanisha Quran yote aya zote from 1 hadi 114.
Hiyo Alfatiha tu haijawahi kuwa aya ya Kwanza aliyopokea Mohammad pangoni akiambiwa asome Al-araq
Quran 3:59 eti Yesu ni saa na Adam ameumbwa kwa kun faya kun wakati ni uongo, Adam kaumbwa kwa Udongo na Yesu amezaliwa na hakuna aliyeumbwa kwa Kun fanya kun.
Ay zote ni ''kamba luffo''

Nikupe zeozi wewe lete aya unayoona haina uongo kwenye Quran

Njoo kivyovyote mie nawapasua kwa kutumia vitabu vyenu vya uongo. Kuusoma uislam kumenipotezea muda na akili yangu Najuta

Chochote utakacho dai eti ni cha ukweli katika uislam nikipata muda nakuonesha uongo wake ulipo. Najua uislam kuliko Allah na Mohmamd hahahaha.

Acha nikufahamishe uislam umekubuhu kweye uongo tu Hakuna anything cha Uungu hata Allah anasema kazi yake ni kupoteosha maaan ni ahadi yake yeye na Allah walikubaliana

Surah Al-Hijr - 39

View attachment 3547441
Quran.com
https://quran.com › al-hijr

·Tafsiri ukurasa huu

Satan responded, “My Lord! For allowing me to stray I will surely tempt them on earth and mislead them all together.

Kwanza hoja ya “Al-Fātiha haikuwa ya kwanza kushuka” si hoja. Hata Biblia haijaandikwa kwa mpangilio wa matukio. Vitabu vya New Testament havikuandikwa kwa mpangilio wa maisha ya Jesus, na Injili hazikushuka siku moja. Mpangilio wa kukusanywa si sawa na mpangilio wa matukio.

Kuhusu Qur’an 3:59 — unasema Adam aliumbwa kwa udongo, si kwa “Kun fayakūn”. Lakini katika Biblia, Mungu aliumba kwa kusema: “Let there be…” (Mwanzo 1:3). Hiyo si amri ya neno? Hicho ndicho Qur’an inaita “Kun”. Ni uumbaji kwa amri ya Mungu.

Pia Biblia inasema Yesu ni “Neno la Mungu” (Yohana 1:1). Kama Mungu anaumba kwa Neno Lake, na Yesu anaitwa Neno, basi hata kwa mantiki ya Biblia uumbaji unatokea kwa amri ya Mungu. Qur’an haisemi Adam alizaliwa kama Yesu; inasema wote walikuwepo kwa mapenzi na amri ya Mungu — si kwa baba wa kibinadamu.

Kama unakataa “Kun fayakūn”, basi unapaswa pia kukataa uumbaji wa Mungu kwa kusema “Let there be” kwenye Book of Genesis.

Hoja ya kielimu inahitaji uthabiti (consistency). Huwezi kukubali Mungu anaumba kwa Neno katika Biblia halafu ukatae dhana hiyo hiyo inapokuja kwenye Qur’an.
 
Nikisema Quran yote namaanisha Quran yote aya zote from 1 hadi 114.
Hiyo Alfatiha tu haijawahi kuwa aya ya Kwanza aliyopokea Mohammad pangoni akiambiwa asome Al-araq
Quran 3:59 eti Yesu ni saa na Adam ameumbwa kwa kun faya kun wakati ni uongo, Adam kaumbwa kwa Udongo na Yesu amezaliwa na hakuna aliyeumbwa kwa Kun fanya kun.
Ay zote ni ''kamba luffo''

Nikupe zeozi wewe lete aya unayoona haina uongo kwenye Quran

Njoo kivyovyote mie nawapasua kwa kutumia vitabu vyenu vya uongo. Kuusoma uislam kumenipotezea muda na akili yangu Najuta

Chochote utakacho dai eti ni cha ukweli katika uislam nikipata muda nakuonesha uongo wake ulipo. Najua uislam kuliko Allah na Mohmamd hahahaha.

Acha nikufahamishe uislam umekubuhu kweye uongo tu Hakuna anything cha Uungu hata Allah anasema kazi yake ni kupoteosha maaan ni ahadi yake yeye na Allah walikubaliana

Surah Al-Hijr - 39

View attachment 3547441
Quran.com
https://quran.com › al-hijr

·Tafsiri ukurasa huu

Satan responded, “My Lord! For allowing me to stray I will surely tempt them on earth and mislead them all together.

Unasema Allah na Shetani walikubaliana kupotosha watu kwa sababu ya Qur'an 15:39. Sasa nijibu maswali haya kutoka Biblia yako:

Kitabu cha Ayubu
Katika Book of Job 1:6–12, Shetani anasimama mbele ya Mungu, anaomba ruhusa kumjaribu Ayubu na Mungu anamruhusu. Je, hapo Mungu na Shetani “hawakukubaliana” kumjaribu mtu mwema? Au ukiiona kwenye Biblia unaita “mtihani”, lakini Qur’an ukiiona unaita “uongo”?

Mungu kuleta upotevu

Katika Second Thessalonians 2:11 imeandikwa wazi: “Mungu awaletea nguvu ya upotevu waamini uongo.”
Hapo si Mungu mwenyewe anaruhusu watu waamini uongo Hiyo si kali zaidi kuliko Qur’an inayosema Shetani ndiye anayepotosha?

Roho ya uongo
Katika First Kings 22:22–23, roho inasema: “Nitakuwa roho ya uongo vinywani mwa manabii wake,” na Mungu anasema: “Nenda ukafanye hivyo.” Hapo nani ameruhusu roho ya uongo? Je, hiyo nayo ni “kamba luffo” au utaikubali kwa sababu iko kwenye Biblia?
Farao na ugumu wa moyo
Katika Book of Exodus 9:12 imeandikwa Mungu aliufanya moyo wa Farao uwe mgumu. Kama Mungu anaweza kuufanya moyo uwe mgumu, vipi uishambulie Qur’an kwa kusema Mungu anaruhusu majaribu?
Kama unaikosoa Qur’an kwa sababu Mungu amemruhusu Shetani kujaribu watu, basi kwa uthabiti huo huo lazima uikosoe Biblia pia. Kama hutaki kuikosoa Biblia, basi tatizo si maandiko tatizo ni chuki yako kwa uislamu*
Uislamu unasema wazi: Shetani anajaribu, Mungu anaruhusu mtihani, lakini mwanadamu anachagua na anawajibika. Huo ndio msimamo thabiti.
 
Sasa umesema si hoja ya kweli alafu unajibu kuwa walisema. hahaha Nimekuambia kisa cha kweli Wayahudi wa Medina na Mecca walimuita Mohammad Kufar maana yake anapingana na Mungu wa Kweli. punguza ujinga basi

Anasema alitumwa kwao ila wakakataa so akawapa mataifa yote na si kwamba Wayahudi wote walikataa ni waalimu wa Dini, wakristo wa mwanzo ni wayahudi wenyewe hadi mitume wote unashindwa tetea hoja za mudy unafundisha tunachojua sisi, mimi nakupa aya uelewe kuwa unavyopinga ni upumbavu na ujinga sisi didni yetu haina ficha ficha soma aya tokea mwanzo na sio kama quran aya ipo na haieleweki wala haina connection na aya zingine ndio mana inapingana yenyewe kwa yenyewe

False na ni ujinga Muslim hamjui maana ya Neno Allah nimejaribu kuwafundisheni ila ujinga hauwaishi na mtu ambeye ujinga haumuishi anaitwa mpumbavu.

Allah ni two word AL and Lah.
AL = kwa lugha za Aramaic cha kale iliwakilisha kama Mungu
Lah - Means Moon
Even Neno Bismi-l-Lah maana yake kwa jina la ''Lah'' yaani in the name of Lah
Ukitamka Shahada unasema Hakuna Mungu (Lillah ila ''Lah''
Kama Allah ingekuwa ni Mungu Shahada ingesema Hakuna Allah ila Allah na haiwezekani mkasema Hakuna Mungu ila kuna Mungu.
So Acheni kuhadaa na ondokeni na upumbavu.

Unazungumzia enzi za utawala wa Makhalifa? Enzi hizo walilazimishwa hilo. Unataka kuniambia Issa ndio Yesu pia? hahahaha
Unajua Jina la Baba yake Mohammad? Aliitwa Abudllah maana yake ni Mtumishi wa Allah na Allah alikuwa Miungu ya Waarabu Quraish washirikina nadhani unatambua hilo na Allah alikuwa ana watoto wa kike na wa kiume Quran inathibitisha akiwakana wanae.

Sio majina hayo ni Tittle Mungu hajataja Jina lake, Soma kijana usikurupuke, Allah anamajina 99 ni majina au Tittle? Ramhan maana yake nini?

Weka aya Biblia ikimtaja Allah.- Nimemiss kucheka

Babu wa Waarabu? hahaha Kasome kwanza historia ya Ishmael ufute ujinga, Yaani Ishmail baba yake ni mcardian from Mesopotamian Mama yake Mmisri mweusi alafu aone mke kabila la Jurhum maadui Quraish ambao ndio waarabu kisha awe hapo hapo Babu wa hao Maadui wa kabila la Mke wake Jurhum . Muslim ujinga na uongo unawasaidia nini? Yaani uonekane umebisha wakati kichwani ni kilaza. Kasome Sahih al-Bukhari 3365

Kama Allah unamuita Mungu achana kutamka Shahada kwanza pia niambie chochote Allah kasema kikawa au kaumba na prove japo kiduchu, maana vyote alivyodai kaumba tumechambua tukakuta ni uongo. anatumia Tahweed kujiingiza katika umoja wakati yeye hana chochote wala uwezo tu wa kuongea,Kujua chochote n.k

Huwezi kataa ndio wayahudi walivyoamua hivyo kama hutaki ni wewe. kwani Mohammad aliambiwa akaona ataumbuka kwa hilo, Nadhani angezaliwa kipindi hiki angewaambia Hamas warusha rocket hadi kwenye madhabahu hahaha japo wangemuangusha tu mana Rocket za Hamas hazina Shabaha maybe angeomba msaada Iran au Russia hahaha

Sasa hapo umejijibu mbona and mfano wako have nothing to do with this topic. na hii ni Prove kuwa Waaarabu walimuambia Mudy tuoneshe Muujiza wowote kama wewe ni nabii kichekesho alichojibu Mohammad eti Allah hatoleta muujiza wowote sabababu alileta kwa manabii wa siku za kale na hao watu hawakuiamini hiyo Miujiza, ujinga wa Allah na Mohammad ni vichekesho Wayahudi waliamini miujiza yote ya Yesu, ya Musa so Allah muongo na fake messenger wake mohammad.

Its good umemkubali Yesu kuwa ndie Mwenyewe. Yesu alisema hajakuja kutengua Torati bali kuitimiliza. mean aliifunga akafungua chapter Mpya aaminiwe yeye ili kuuona uzima wa Milele. Soma kuna raha sana.

Unachanganya mada ila soma juu nishaelezea. Kafir kumkataa Mungu wa Kweli ambaye ni Baba yake ambaye yupo ndani mwake na yeye ndani ya Baba yake na kuwa mmoja.

Inafundisha hivyo na Quran inatambua hilo kwa kuwa mjinga nakupa elimi ili usiwe unaendeleza maswali ya kujirudia rudia. Unajua habari ya Gifted Son? just google it. Alafu ndio ujue Mtume Mohammad wako hayupo kwenye hilo Agano la Mitume wa ukoo wa wayahudi hahaha

Quran 6:84
Saheeh International
And We gave to Abraham, Isaac and Jacob - all [of them] We guided. And Noah, We guided before; and among his descendants, David and Solomon and Job and Joseph and Moses and Aaron. Thus do We reward the doers of good.

Quran 29;27
Saheeh International
And We gave to Him Isaac and Jacob and placed in his descendants prophethood and scripture. And We gave him his reward in this world, and indeed, he is in the Hereafter among the righteous

Inafundisha vizuri kabisa kizazi cha Isaac Mwanza 17:19 Ndipo Mungu akasema, “Ndiyo, lakini mkeo Sara atakuzalia wewe mwana, nawe utamwita jina lake Isaka. Nitalithibitisha agano langu naye kama agano la milele kwa ajili yake na wazao wake baada yake.

Kufanywa Taifa kubwa sio nabii dogo vipi? are you high! Hizo ahadi alishaahidi sababu ya Ibrahim ni uzao wake sio waarabu hao

Agano la Milele linaitwa Mwanza 17:19 ukoo wa Isaac

Kama Biblia inasema Mitume waliuwawa sawa na hiyo Mitume ilifikisha jumbe , na Je Quran inasema Mitume waliuwawa ila Allah hajui mitume ipi iliyouwawa hahahaha Quran 2:87.

Hivi Mnaosema Palestine hayo maneno waliambiwa Waarabu au Wayahudi? na why mnalalamika Palestine kuwa Free wakati mnasoma Jerusalem ya Waisrael

Wayahudi wa Medina walimuita Muhammad kafiri”​

Kukataliwa na Wayahudi si kipimo cha unabii.
Katika New Testament, viongozi wa Kiyahudi walimkataa Jesus na kumuita mpotoshaji (Yohana 7:12, 10:33).
Swali la kimantiki:
Kama kukataliwa na Wayahudi ni ushahidi wa uongo, basi Yesu pia alipaswa kuwa wa uongo.
Kama si ushahidi kwa Yesu, basi si ushahidi kwa Muhammad pia.
Hoja lazima iwe consistent.

“Allah ni Moon god / AL + Lah”​

Hii ni propaganda ya karne ya 20, si linguistics.
“Allah” si AL + Lah.
Ni contraction ya al-ilah (The God).
Wakristo Waarabu kabla ya Uislamu walitumia “Allah”.
Biblia ya Kiarabu leo inasema “Allah” kwa Mungu wa Ibrahimu.
Ukisema Allah ni Moon god, basi: Kwa nini Wakristo wa Kiarabu waliendelea kutumia hilo? na Kwa nini neno hilo linatokana na mzizi wa lugha za Kisemiti (El, Eloah, Elohim)?
Hakuna mwanazuoni wa lugha ya Kisemiti anayekubali nadharia ya “moon god”.

“Agano la milele ni kwa Isaka tu”​

Ndiyo, Mwanzo 17:19 inasema agano litaenda kwa Isaka. Lakini pia Book of Genesis 21:13 inasema: “Mwana wa mjakazi nitamfanya taifa kubwa.”
Swali: Mungu akifanya taifa kubwa, hana haki ya kuleta nabii humo? Biblia inasema wapi “nabii lazima awe Myahudi tu”?
Amosi 9:7 inaonyesha Mungu si Mungu wa Israeli peke yao.
Hakuna aya inayosema: “Mungu hatamtuma nabii nje ya Israeli.”

“Muhammad hakutoa ishara ya moto”​

Katika New Testament, Jesus alikataa kutoa ishara kwa shinikizo (Mathayo 12:39). Wayahudi walitaka ishara. Yesu akasema kizazi kiovu hutafuta ishara. Kwa mantiki yako: Kukataa kutoa ishara si sawa na unabii?
Basi Yesu pia angeanguka kwenye kipimo hicho.

“Qur’an 2:87 Allah hajui nani aliuwawa?”​

Qur'an 2:87 haisemi Allah hajui. Inasema:“Baadhi yao mliwaua.” Hiyo ni hukumu juu ya kitendo chao, si ukosefu wa maarifa ya Mungu.

“Yesu ni mmoja na Baba”​

Hii ndiyo tofauti kuu ya teolojia.
Yesu alisema: “Baba ni mkuu kuliko mimi.” (Yohana 14:28)
Na pia aliomba kwa Baba (Mathayo 26:39).
Swali la kimantiki: Jee , Mungu anaomba kwa Mungu? Jee , Mungu ana mkuu kuliko yeye?
Hapa ndipo Uislamu unasema Tauhidi ni safi: Mungu ni mmoja, hana mshirika.

“Allah hana uwezo”​

Katika Qur'an, Mungu anasema:“Kuwa, ikawa.” Katika Book of Genesis 1:3, Mungu anasema: “Let there be light.”

Swali: Hii si dhana ile ile ya uumbaji kwa amri? Ukikubali Mwanzo, huwezi kukataa “Kun”.

Palestine / Jerusalem​

Hili si hoja ya teolojia bali ya siasa. Katika Uislamu: Jerusalem ni mji mtakatifu. Haumaanishi kukataa Wayahudi kuishi. Ni suala la haki za watu, si kukataa dini.

Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo

Haya Mtume Muhammad mnasema aliowa binti ana miaka 6, nyie mnauwa, mnarape, wengine watoto wadogo hata hawafiki miaka 6, sisi tuna dalili nyie hamna gata dalili kama bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 6. Tuliwambia Mungu atawafedhehesha wote mataifa na wanadamu walio mzulia Mtume wa Mungu uwongo.

Shukrani sana Allah endelea kuyadhalilisha mataifa ya kikristo

View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz

Wee endelea tu kumkatia Allah na Mudi mauno namkundu.

adriz de mbusii
 
Unasema Allah na Shetani walikubaliana kupotosha watu kwa sababu ya Qur'an 15:39. Sasa nijibu maswali haya kutoka Biblia yako:

Kitabu cha Ayubu
Katika Book of Job 1:6–12, Shetani anasimama mbele ya Mungu, anaomba ruhusa kumjaribu Ayubu na Mungu anamruhusu. Je, hapo Mungu na Shetani “hawakukubaliana” kumjaribu mtu mwema? Au ukiiona kwenye Biblia unaita “mtihani”, lakini Qur’an ukiiona unaita “uongo”?

Mungu kuleta upotevu

Katika Second Thessalonians 2:11 imeandikwa wazi: “Mungu awaletea nguvu ya upotevu waamini uongo.”
Hapo si Mungu mwenyewe anaruhusu watu waamini uongo Hiyo si kali zaidi kuliko Qur’an inayosema Shetani ndiye anayepotosha?

Roho ya uongo
Katika First Kings 22:22–23, roho inasema: “Nitakuwa roho ya uongo vinywani mwa manabii wake,” na Mungu anasema: “Nenda ukafanye hivyo.” Hapo nani ameruhusu roho ya uongo? Je, hiyo nayo ni “kamba luffo” au utaikubali kwa sababu iko kwenye Biblia?
Farao na ugumu wa moyo
Katika Book of Exodus 9:12 imeandikwa Mungu aliufanya moyo wa Farao uwe mgumu. Kama Mungu anaweza kuufanya moyo uwe mgumu, vipi uishambulie Qur’an kwa kusema Mungu anaruhusu majaribu?
Kama unaikosoa Qur’an kwa sababu Mungu amemruhusu Shetani kujaribu watu, basi kwa uthabiti huo huo lazima uikosoe Biblia pia. Kama hutaki kuikosoa Biblia, basi tatizo si maandiko tatizo ni chuki yako kwa uislamu*
Uislamu unasema wazi: Shetani anajaribu, Mungu anaruhusu mtihani, lakini mwanadamu anachagua na anawajibika. Huo ndio msimamo thabiti.
 
Wee endelea tu kumkatia Allah na Mudi mauno namkundu.

View attachment 3547577

adriz de mbusii
Tatizo mwenye tabia hizo anapenda vitu hivyo mwanaume hawezi leta ujinga wa hivi .

Isaya 29:12 inamtabiria Mtume Muhammad ikimaanisha “mtu asiye na elimu” au asiyejua kusoma na kuandika (Mtume) akipewa “kitabu” (Qur'an) na kutakiwa kukisoma. Mstari huo unasema: “Na hicho kitabu hupewa mtu asiye na Elimu.

Waislamu wanaiunganisha aya hii na ule ufunuo wa kwanza katika Pango la Hira, ambapo Malaika Jibril alimwambia Mtume Muhammad “Soma” (Iqra), naye akajibu, “Mimi si msomi”.

Eti wakanisa wanadai Yesu hahaha, Yesu kazaliwa anaongea na kuwambia watu Yeye ni mjumbe wa Mungu tokea utotoni na kapewa kitabu direct tokea utotoni. Wapi aliletewa kitabu akambiwa soma akasema sijui kusoma, ukristo ni upagani kweli hawataki kukubali ukweli wa Mtume Muhammad kutoka vitabu vyao
 
Hahahahahaaaaa imekuuma balaaa hadi maelezo maaareeefuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom