Wacha kujikweza wewe!
Hayo ni matatizo ya akili!
Je! Uliufahamisha ummah maana halisi ya "KIRANGA"!?
Hebu waandikie hapa watu wakusome!
Kuna ulazima kweli wa haya yote juu ya kahtaan? nafikiri na naamini kwamba una kiwango bora kuliko hichi unachokionyesha hapa mkuu.
Mimi na wenzangu wengi tu humu JF hatusomi the Guardian, Dailynews na The citizen bila Oxford Dictionary kwa pembeni. hahahahaaa Chezea ung'eng'e wewe!!!.
Speak for your self sir!
Nimekusoma mkuu ila hiyo heshima ulionipa yakuniita 'Sir' ni kubwa sana nahisi sisitahili. kwa uelewa Wang sir ni ukuu sana ambao Mimi sijafikia hadhi yakuitwa sir. Lakini ahsante kwa heshima ulionipa.
It so seems that your command of this language is very limited.
However, you have room for improvement.
Sijabisha mkuu upo sahihi, ndo maana Kuna lugha nyingi sio sheria kwamba wote tujue English, wewe unajua English, Fulani anajua kichina, mwingine anajua kijapani, Mimi najua kimakonde ndo maana Kuna wakarimani.
Point of correction sir, it's WAKALIMANI.
Mimi na wenzangu wengi tu humu JF hatusomi the Guardian, Dailynews na The citizen bila Oxford Dictionary kwa pembeni. hahahahaaa Chezea ung'eng'e wewe!!!.
Siwapendi watu wanaojisifu kwa kujua kiingereza wakati kwenye kiswahili tunaboronga kwa kuandika kiswahili kichafu,
'NAJISIKIA FAHARI KWA VILE NAJITAHIDI KUONGEA NA KUANDIKA KISWAHILI FASAHA'
Nyani Ngabu sijaona zaidi yake
Kimweri si tu kingereza,anaweza kubishana na mtu hata kwa kiswahili cha kimtaani na akashinda mnakasha.halafu jamaa ni bingwa wa kuandika post ndefu hapa JF kwa mda mfupi na bado ikawa na nondo tupu.huwa inamsaidia sana kuwachanganya wapinzani wake anaojadiliana nao since wengi wetu huwa hatupendi kusoma post zenye maneno mengi(kasumba ya baadhi ya waafrika ya kutopenda kusoma).wakenya kule kwenye jukwaa lao hawana hamu naye.huyo ndio kimweri,hao wengine hao mbwembwe tu labda kidogo EMT:becky:Kiranga, Nyani Ngabu, Kimweri, John Mashaka, EMT
Kimweri si tu kingereza,anaweza kubishana na mtu hata kwa kiswahili cha kimtaani na akashinda mnakasha.halafu jamaa ni bingwa wa kuandika post ndefu hapa JF kwa mda mfupi na bado ikawa na nondo tupu.huwa inamsaidia sana kuwachanganya wapinzani wake anaojadiliana nao since wengi wetu huwa hatupendi kusoma post zenye maneno mengi(kasumba ya baadhi ya waafrika ya kutopenda kusoma).wakenya kule kwenye jukwaa lao hawana hamu naye.huyo ndio kimweri,hao wengine hao mbwembwe tu labda kidogo EMT:becky:
ni mtizamo wangu tu.