KERO Wahitimu wa Industrial Engineering Management ya Mzumbe University tunakosa ajira

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.

Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya Usimamizi wa Viwanda kwenye maeneo mbali mbali ya Nchi
 
Mkuu achana na mambo ya ajira,serikali haiwezi kuajiri kila siku kwanini hamsikii??
Njoo huku kijijini tuendeshe boda bodaa acha kulalamika kama mwanamke aliotolewa bikra kimasihara..!
Huku pia tuna fursa za kula wake za watu mkuu..!
 
Kwahiyo nyie mnafanya kazi kama ipi hapo ?

1. Production manager
2. Production Enginer
3. Project manager
 
Habari,

Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.

Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya Usimamizi wa Viwanda kwenye maeneo mbali mbali ya Nchi
Ahahaha ha ha ha industrial management serikali ina kiwanda gani uwaajiri? Halafu managent kiwandani not necessarily usomee industrial hata mechanical na process engineer wanafanya kazi nzuri tena zaidi yenu
 
Habari,

Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.

Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya Usimamizi wa Viwanda kwenye maeneo mbali mbali ya Nchi
Kwenye taaluma ya Industrial Engineering and Management (IEM), mhitimu anakuwa na mguu mmoja kwenye upande wa uhandisi (Engineering) na mguu mwingine kwenye upande wa usimamizi (Management).
Hapa kuna uchambuzi wa jinsi ya kumwita mtaalamu huyu:
1. Kitaaluma: Ni "Engineer"
Mtu anayesoma kozi hii anasoma misingi yote ya kihandisi (Calculus, Physics, Thermodynamics, Materials Science) akijikita zaidi katika kuboresha mifumo (Optimization).
* ERB (Engineers Registration Board): Nchini Tanzania, kama mtaalamu amehitimu shahada ya uhandisi na amesajiliwa na bodi, ana haki ya kuitwa Engineer (Eng.).
* Kazi yake: Anatumia kanuni za kihandisi kutatua matatizo ya uzalishaji, kupunguza gharama, na kuongeza ufanisi kiwandani au kwenye shirika.
2. Kikazi: Ni "Meneja" au "System Designer"
Tofauti na wahandisi wa umeme au ujenzi ambao mara nyingi hujikita kwenye mashine au majengo, mhandisi wa viwanda (Industrial Engineer) mara nyingi huchukua nafasi za uongozi mapema.
* Usimamizi: Anaitwa meneja kwa sababu anasimamia watu, mashine, muda, na fedha ili vitu viende sawa.
* Kiungo: Yeye ndiye kiungo kati ya wahandisi wa kiufundi (Technical Engineers) na wakurugenzi wa biashara.
Tofauti ya Kimuundo
Ili uelewe vizuri nafasi yake, tazama jedwali hili:
| Kipengele | Engineer (Technical) | IEM Professional | Manager (Pure) |
|---|---|---|---|
| Lengo | Kutengeneza kitu kifanye kazi. | Kutengeneza mfumo wenye faida na haraka. | Kusimamia rasilimali na watu. |
| Zana | Michoro, Circuit, Mashine. | Takwimu, Michiriko ya kazi (Workflow), Lean. | Bajeti, HR, Mikakati. |
| Mtazamo | "Je, hii injini itawaka?" | "Je, hii injini itatengenezwa kwa gharama nafuu?" | "Je, tunapata faida?" |
Maoni Yangu
Mtu anayechukua kozi hii anapaswa kuitwa Engineer anapokuwa kwenye mazingira ya kiufundi (design and analysis), lakini anaitwa Manager anapokuwa anatekeleza majukumu ya maamuzi na usimamizi wa rasilimali.
Kwa ufupi: Ni Mhandisi mwenye "Mindset" ya Kimeneja. Ni kozi nzuri sana kwa sasa kwa sababu viwanda vingi vinahitaji watu wanaoelewa ufundi lakini pia wanaoelewa biashara na namna ya kuokoa gharama.
 
Kaka kwa.maelezo yako hao sio mainjinia sababu hawana uwezo wa kusajiliwa ERB bod ya mainjinia nimefuatilia wanasoma 3yrs only sasa injinia gan anasoma 3yrs
 
Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya Usimamizi wa Viwanda kwenye maeneo mbali mbali ya Nchi

Hebu orodhesha viwanda vya serikali?
 
Kwenye taaluma ya Industrial Engineering and Management (IEM), mhitimu anakuwa na mguu mmoja kwenye upande wa uhandisi (Engineering) na mguu mwingine kwenye upande wa usimamizi (Management).
Hapa kuna uchambuzi wa jinsi ya kumwita mtaalamu huyu:
1. Kitaaluma: Ni "Engineer"
Mtu anayesoma kozi hii anasoma misingi yote ya kihandisi (Calculus, Physics, Thermodynamics, Materials Science) akijikita zaidi katika kuboresha mifumo (Optimization).
* ERB (Engineers Registration Board): Nchini Tanzania, kama mtaalamu amehitimu shahada ya uhandisi na amesajiliwa na bodi, ana haki ya kuitwa Engineer (Eng.).
* Kazi yake: Anatumia kanuni za kihandisi kutatua matatizo ya uzalishaji, kupunguza gharama, na kuongeza ufanisi kiwandani au kwenye shirika.
2. Kikazi: Ni "Meneja" au "System Designer"
Tofauti na wahandisi wa umeme au ujenzi ambao mara nyingi hujikita kwenye mashine au majengo, mhandisi wa viwanda (Industrial Engineer) mara nyingi huchukua nafasi za uongozi mapema.
* Usimamizi: Anaitwa meneja kwa sababu anasimamia watu, mashine, muda, na fedha ili vitu viende sawa.
* Kiungo: Yeye ndiye kiungo kati ya wahandisi wa kiufundi (Technical Engineers) na wakurugenzi wa biashara.
Tofauti ya Kimuundo
Ili uelewe vizuri nafasi yake, tazama jedwali hili:
| Kipengele | Engineer (Technical) | IEM Professional | Manager (Pure) |
|---|---|---|---|
| Lengo | Kutengeneza kitu kifanye kazi. | Kutengeneza mfumo wenye faida na haraka. | Kusimamia rasilimali na watu. |
| Zana | Michoro, Circuit, Mashine. | Takwimu, Michiriko ya kazi (Workflow), Lean. | Bajeti, HR, Mikakati. |
| Mtazamo | "Je, hii injini itawaka?" | "Je, hii injini itatengenezwa kwa gharama nafuu?" | "Je, tunapata faida?" |
Maoni Yangu
Mtu anayechukua kozi hii anapaswa kuitwa Engineer anapokuwa kwenye mazingira ya kiufundi (design and analysis), lakini anaitwa Manager anapokuwa anatekeleza majukumu ya maamuzi na usimamizi wa rasilimali.
Kwa ufupi: Ni Mhandisi mwenye "Mindset" ya Kimeneja. Ni kozi nzuri sana kwa sasa kwa sababu viwanda vingi vinahitaji watu wanaoelewa ufundi lakini pia wanaoelewa biashara na namna ya kuokoa gharama.
Umeeleza vizuri we ni msomi hakika
 
Acha nikwambie ukweli mwanetu japo no mchungu. Kosa ni tcu kuruhusu kozi kama hizi.
Kwenye viwanda vyote na migodini Tanzania, production (engineer , manager ) wanakuwa ni mechanical, electrical engineer, industrial engineer wenye experience kubwa 7-10+ years. Huo ndio ukweli huwezi kutoka chuo graduate ukasimamie watu, pitia hata matangazo ya ajira za private. Hiyo kozi yenu + udsm industrial engineering munapata tabu sana , hata ajirazenu Utumishi ni ngumu kuziona.
Ushauri wangu tafuta connection ya kiwanda Anza kazi kama beginner ukipata experience ata 5 years + umesoma industrial engineering and management ndio unaweza kufika hiyo level ya management unayotaka. Hiyo kozi yenu inatambulika na ERB kama engineering, usithubutu kusubiri kazi ya serikali Kwa kozi hiyo utateseka sana. Tafuta viwanda Anza na hata hivyo vidogo muhimu experience ndio inayomatter private.
 
Back
Top Bottom