Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu

yaani post yako tu inaonyesha uhaya hata ukituma barua ya posa kiswa-nglish ndani
 
Ni kweli WAHAYA mmezidi kujiweka juu! I appreciate the courage and their ability to struggle for good education and development as well but for sure they must understand that God created human being with different talents and behavior as well as the IQ capacity. The point is, one should bear with one another with love and total adherence towards the good end. Inabidi wahaya waache kuringa na kutaka watu wote wawe kama wao - NSHOMILE.......
on top of that wahaya wanapenda sana ile mambo ya kugegenda jamani sio siri na ni wataalamu kinoma!

I would like to know your tribe! Maana mbona wanaojidai ni wengi tu!
 
Capital mbona unatukana tena wakati unachukua kutukana. Bati nanka leka kujuma abakulu, ati ni mbwaki elikugamba!

Sorry jamaa angu. Huyu ndugu kanikera sana.... Unajuwa kuna mambo ya kuvumilia na mengine si ya kuvumilia. Thanks
 
Sorry jamaa angu. Huyu ndugu kanikera sana.... Unajuwa kuna mambo ya kuvumilia na mengine si ya kuvumilia. Thanks

Humu ndivyo watu walivyo! Usiwe na hasira sana, si unajua na ka wivu kamo, tulipiga hatua kubwa kielimu kuliko wengi siku za nyuma sasa ndio wengine nao wanachipukia. Ni kawaida tu!
 
Mimi ni Mhaya;
Huwa sipendi tabia ya kujadili jambo pasipo kufanya uchunguzi. Wale mnaowaita wahaya wenye dharau siamini kama ni wahaya wa kweli. Kabila hilo lipo mpakani mwa nchi za Uganda, Burundi na Rwanda. Ndani ya kabila hilo kuna mchanganyiko wa watu kutoka nchi jirani ambao wenye sifa ya dharau ni watusi na wanyankole. Binafsi nafahamu kuwa wahaya wenye element za Kinyankole na Kitusi ndo wanaharibu sifa ya kabila letu wahaya.
Pili; kuna malezi; kama m2 umezaliwa na kukulia katika familia iliyostaarabika huwezi kumdharau mwenzio hata siku moja. Nakumbuka utotoni tuliishi na watu ambao hatukuwa na uhusiano nao wa ki-biolojia lakini tuliwaheshimu kama kawaida. Watu hawa walikuwa wakifanya kazi za kulima mashamba yetu; tuliwafahamu kama WARUNDI.
Kwa yeyote aliyewahi kukutana na mimi pasipo kuambiwa kama mi ni mhaya au la huwa inamchukua mda mrefu kubaini kabila langu, nawapenda wahaya wenzangu, nawapenda makabila mengine na zaidi makabila mengine nawapenda ili niweze kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwao; nami pia kuwafundisha yale mazuri ambayo wanayapenda kutoka kwa Wahaya.
 
Humu ndivyo watu walivyo! Usiwe na hasira sana, si unajua na ka wivu kamo, tulipiga hatua kubwa kielimu kuliko wengi siku za nyuma sasa ndio wengine nao wanachipukia. Ni kawaida tu!

Hahaaa. Bado tumeshikilia. Watalijuwa jiji....Teh teh.....
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu

mimi sio muhaya ,ila huwa natumiaga gia ya kujiita muhaya ili kumega hawa jinsia nyingine..
Utasikia wenyewe wanasema "wewe muhaya kweli,mbona huna tabia zao?"...hah hah hah hah...
Tatizo lako Mbwembwe nyingi,sio kabila.
 
kumbe kuonekana muhaya ni deal=mimi sikuyajua hayo-ndio maana akina dada ukijitambulisha kabila tu,wanatetemeka na kujiuliza hili jitu babkubwa nita deal nalo vipi? Dada anakukataa huku anakupenda kisa anajiona matawi yake ya chini sana,hawezi ku cope
 
Makabila mengi Tanzania hayajiamini, ndo mana wanasema vibaya kabila la wahaya , wanajua wahaya ni noma. Mimi hadi leo najua makabila makubwa mawili tz ambayo ni wahaya na wachaga ndo najua wanatokea wapi. ila ukiniuliza wafipa , wabena etc. ni wapi ghafla cwez kukupa jibu ni watu wapi , kuna rafiki angu aliwahi kunitajia kabila lake nikamuuliza kwao ni mtu wa wapi akakasirika hiyo ndo selfish ya wahaya tatizo la kabila lako kutojulikana na mm ni wa mkoa wapi siyo selfish ni tatizo la kutofahamika na watu wengi. Hivi tuongee ukweli mhaya au mchaga akishakutajia kabila lake kuna haja ya kuuliza kwao wapi? swala la kujisifia ni hurka ya mtu na kitu kizuri . kuna rafiki angu alinambia alienda US akakutana na jamaa ( Mzungu) jamaa akamsifia mzungu kwamba raba ake nzuri mzungu akamjibu this is Reebok very expensive. kwa hiyo mi naona wahaya ni kabila kubwa km waswahili wasemavo mkubwa ni jalala wanaowasema vibaya wahaya acheni upuuzi , nyie wanafiki mbona tukikutana live mnajigonga
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu

Tatizo ni hilo hapo kwenye blue!
 
Escoba, kweli? Mhaya asiyejua wasukuma wala kujua wanaishi wapi?

Mhaya indeed!
 
Last edited by a moderator:
Escoba, kweli? Mhaya asiyejua wasukuma wala kujua wanaishi wapi?

Mhaya indeed!

wasukuma hawaeleweki makazi yao yapo wapi zamani nilikua nafahamu wasukuma wapo mwanza tu kumbe wapo shinyanga, tabora juzi nimeambiwa eti wapo na Zanzibar . sasa kwann nianze kubahatisha , c watulie mkoa 1
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, nimependa excuse yako.

Wapo Biharamulo, Bunda na Mbeya pia.

wasukuma hawaeleweki makazi yao yapo wapi zamani nilikua nafahamu wasukuma wapo mwanza tu kumbe wapo shinyanga, tabora juzi nimeambiwa eti wapo na Zanzibar . sasa kwann nianze kubahatisha , c watulie mkoa 1
 
wasukuma hawaeleweki makazi yao yapo wapi zamani nilikua nafahamu wasukuma wapo mwanza tu kumbe wapo shinyanga, tabora juzi nimeambiwa eti wapo na Zanzibar . sasa kwann nianze kubahatisha , c watulie mkoa 1

Hata Wahaya wapo Mwanza, Tabora, Dar hata Zanzibar...hujawahi kusikia hilo?
 
Mnajiona xana hata kama hamna kitu; huwezi kuwa na vyote au kukosa vyote kwa wakati mmoja ila hilo la kutahiliwa mi sitaki ushahidi ingawa ni watani zangu
 
Back
Top Bottom