Mnajiona xana hata kama hamna kitu; huwezi kuwa na vyote au kukosa vyote kwa wakati mmoja ila hilo la kutahiliwa mi sitaki ushahidi ingawa ni watani zangu
iwe oinaki anga oina amazi omunyo
Mnajiona xana hata kama hamna kitu; huwezi kuwa na vyote au kukosa vyote kwa wakati mmoja ila hilo la kutahiliwa mi sitaki ushahidi ingawa ni watani zangu
Umeianzisha habari sasa wataka kuja juu. Nani anajua kuwa mmeshabadilika? Asili ni asili tu. Utadhaniwa hivyo mapaka inapothibitishwa kuwa umetahiri vinginevyo mtafikiriwa hivyo siku zote.
iwe oinaki anga oina amazi omunyo
polen sana ndo ukubwa huo...historia inawahukumu jamaa..sio wanaume tu hata wanawake...mnaogopeka sana nyie.[/QUOTE
tunaogopewa sababu ya no nonsense approach towards life-backwards never forwards ever- ukiingia anga zetu bila confidence ujue imekula kwako
polen sana ndo ukubwa huo...historia inawahukumu jamaa..sio wanaume tu hata wanawake...mnaogopeka sana nyie.
wasukuma hawaeleweki makazi yao yapo wapi zamani nilikua nafahamu wasukuma wapo mwanza tu kumbe wapo shinyanga, tabora juzi nimeambiwa eti wapo na Zanzibar . sasa kwann nianze kubahatisha , c watulie mkoa 1
Huyo rafiki yako lazima atakuwa na shape kama ya kabati hence anajihami mapemaKuna refiki yangu aliwahi kuapaa(
namnukuhu) " hata abaki mwanaume mmoja duniani, kama ni mhaya, ni bora nife bila kuolewa"
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu
generation ya zamani ilikuwa ni wahaya kwa wahaya-hakuna ku mixMkuu,kwani generation ya zamani ya kihaya ilikuwa na nini? Je muhaya anachunguzwa kuliko Mkurya?
mimi sio muhaya ,ila huwa natumiaga gia ya kujiita muhaya ili kumega hawa jinsia nyingine..
Utasikia wenyewe wanasema "wewe muhaya kweli,mbona huna tabia zao?"...hah hah hah hah...
Tatizo lako mbwembwe nyingi,sio kabila.
navyosikia wahaya hawajui kuongea na wanawake wao vizuri maana hawana respect. Wana tabia ya kujisikia tu na kuwadharau watu kutoka makabila mengine.wakina kaka mkiwa kwenye relationship usifanye kama wewe ndiyo bosi maana wakina dada wa makabila mengine hawajazoea hizo tabia.mimi naona wahaya kwa wahaya watawezana wenyewe kwa wenyewe