Mimi na wahaya damu damu hasa kwa kupiga ile kitu katerero.
HOYA,i have said and i am saying it again,sisi ni GENERATION MPYA,tunakwenda sambamba na curcumcision na whatever,nipeni sababu zingine,cause as far as i understand hili sio root cause,kuhusu kujifanya nshomile etc etc,now how does this come into play,one thing i understand,katika game la between the sheets,we have no peer,many a woman can testify on this
nshomire wanigambira stupid in front of my wife
Kwani wahaya kwa asili hawatahiri kuondoa govi? Naomba jibu pls japo nje ya mada kuu
malaya mbwaaa ------- wakubwa
NAULIZA,jamani,kwanini
mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa
kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take
place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari
kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una
walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini
hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation
mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last
resort.naombeni majibu ndugu zangu
Mnanistua jaman mie ...sasa nimwache huyu mhaya wangu au???
matatizo mlonayo.
1: misifaaa kibao
2: pamoja na iyo misifa ni wabahili kutoa mahari
ahaaaaa mhaya ukimwambia ka ng'ombe zinazotolewa kwetu siku iyo anabadilisha laini.
3: by nature tu hampendwi hasa ndoa, ila kama ni kwa fan tu, baadhi wako vizur.
mimi ni mhaya ila kumuoa mhaya mwenzangu ni bora nikafa bila kuoa
Badili tabia,hua mnajiona sana,pia mpo wachoyo mno,tabia walizonazo wanawake wa kihaya na wa kiume wanazo hizo hizo,
Najivunia msukuma wangu mie ndoho taabhu gheteee