Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Ni kweli WAHAYA mmezidi kujiweka juu! I appreciate the courage and their ability to struggle for good education and development as well but for sure they must understand that God created human being with different talents and behavior as well as the IQ capacity. The point is, one should bear with one another with love and total adherence towards the good end. Inabidi wahaya waache kuringa na kutaka watu wote wawe kama wao - NSHOMILE.......
on top of that wahaya wanapenda sana ile mambo ya kugegenda jamani sio siri na ni wataalamu kinoma!
 
Rweyemamu,Kalokora,Muganyizi,Mkandala,Kanywanyi,Mutayoba ,Rwiza,Karugendo n.k Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tatizo lingine linalokera kwa baadhi ya wahaya hasa kwa wanaume ni tabia ya kuombaomba vitu na pesa hata kama mtu huyo mnafanya nae kazi pamoja na wote mnalipwa mshahara.Nimepata uzoefu kwa baadhi yao niliowahi kufanya nao kazi ofis moja na kubaini tabia hiyo kiac kwamba yupo tayari kuona mshahara wake haugusi kwa kutegemea kuombaomba,ni tabia mbaya sana na haipaswi kuendelezwa na wanaume.Badilikeni baadhi ya wanaume wa kihaya.
 
wahaya wa kuanzia miaka 50 na kuendelea wana matatizo sana ya umwinyi kwa sababu walikulia enzi za ubwanyenye kipindi cha ukama na utemi kama mnaikumbuka historia vizuri! ni kweli wahaya asilia hawapendi kuoa kabila tofauti ni kwa sababu zilezile mnazozikataa wote humu! baba aliwahi kunipa mifano mingi ya wahaya waliooa makabila mengine na mambo yao kwenda mrama na wemgine niliwaona kwa macho yangu. hivyo akanisihi nisijw kuoa mnyamahanga katika maisha yangu lakini nimeoa myakusya na baba alishafariki sikuona logic! kwa kizazi cha sasa nimewaona vijana wengi wa kihaya ambao ni vigumu kuwatambua kuwa ni whaya! hawana nyodo wala nn klia mtu anashangaaa huyu nae ni mhaya! things have changed wahaya wa sasa ni civilized sana!
 
Wadada wa kihaya ndoo walikuwa na ukabila wa kimapenzi pale UDSM miaka ya 199. huko walikuwa wanawapenda wahaya wenzao tu. Sasa sijui kama ilikuwa ni uwoga wa watu wasiowafahamu au ndoo namna ya mahusiano na watu wengine ilikuwa ndiyo sio sijui. The pomposity in you guys is not a good card for an informed woman. Get rid of it you will get million of girls from Kurya of the north to Makondez of the south.
 
310963_516067328461113_789113671_n.jpg
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu
nyie wajanja janja sana aisee hapo kwa mdomo.mnatoa ahadi hata ya mbingu bwana...? pia mpo tuu demanding! ni ngumu kumuhandle muhaya.
 
Hii kitu baab kubwa. Mnafahamu wahaya ni "assertive" sana. Hii ni attribute ya kipekee ambayo sijaiona katika makabila mengine. Hii inatokana na kujuwa mazingira yao vema na vitu vilivyomo. Gazeti hili linadhihirisha hilo, wanaweza kwa kujiamini kabisa wakaandika kwa lugha yao gazeti zima... hii si bure bhana. Tusiwaonee wivu attiii!!!!
 
Gazeti la Uganda hilo mkuu
 
Gazeti la Uganda hilo mkuu
Sawa mkuu lakini hii lugha ya "Ankore" haina tofauti na kihaya, ni variant ya lugha za Nyambo/haya/tchiga/toro/luganda. Hata hivyo, pale bk zamani kidogo kulikuwa na gazeti liliitwa RUMULI, maana yake mwenge, sijui kama bado lipo na lilichapishwa fully kwa lugha ya kihaya. Wenye updates watujuze.
 
Wadada wa kihaya ndoo walikuwa na ukabila wa kimapenzi pale UDSM miaka ya 199. huko walikuwa wanawapenda wahaya wenzao tu. Sasa sijui kama ilikuwa ni uwoga wa watu wasiowafahamu au ndoo namna ya mahusiano na watu wengine ilikuwa ndiyo sio sijui. The pomposity in you guys is not a good card for an informed woman. Get rid of it you will get million of girls from Kurya of the north to Makondez of the south.

Labda wadada hao walipenda wahaya wenzao coz wote wanatoka kijiji fulani huko kwao kinaitwa KATERERO sasa nyie wengine hata hamjui KATERERO mtawezaje 'kuwafikisha' nyumbani kwao..?
 
Nadhni mleta mada umeona majibu. Ni kweli wahaya wana matatizo ingawa wengi ni rafiki zangu.Kwanza ukianzia kuangalia historia mama zenu wa kihaya ndo walikuwa wanapanga vibanda kwa ajili ya kufanya biashara ya umalaya na ikawa inajulikana "pale kwa wahaya" hilo hakuna anayeweza kulipinga hata kama ulikuwa hujazaliwa uliza.

Wanaume tatizo lao kubwa ni majivuno na kujisikia.Mhaya alishawahi kwenda kulalamika kwa Lecturer wetu kwamba mimi kwa wiki nzima sikuwepo darasani lakini tulipopewa test nikapata "A" alitaka kujua nimepatapataje "a". Hii ni kwa sababu imetokea kwa mtu wa kabila ambalo "halipaswi kupata "A".

Wahaya wana tabia ya kujiona wana maana kuliko makabila mengine. Mhaya akiwa rafiki yako ukamtambulisha kwa rafiki yako mwingine ambaye ni mhaya wakishafahamiana wewe wanakusahau na kuanza mahusiano bila kujali kuwa wewe ndo umewakutanisha.

Kuhusu suala la kujisifia kwenye sita kwa sita kwamba wahaya hawana mpinzani hilo sina hakika nalo. Ninachojua ambacho kimekuwa kinazungumziwa ni mchezo wa kustimulate kisimi ambao kule Bukoba ulibatizwa jina la katerero. Mchezo huo makabila mengine yanaujua na yanafanya siyo wahaya peke yao. Sijui umahiri mwingine mnaozungumzia ni upi.

Kuhusu kutairi ni kweli wahaya hawatairi na unaweza kuangalia hata data za kitaifa za mpango wa kudhibiti UKIMWI. Mimi mwenyewe wakati tuko sekondari tulishalazimisha marafiki watatu wa kihaya wakatairiwa tukiwa hapo hapo shuleni.

Yapo mengi sana lakini pengine tunahitaji kuandika kitabu. Wahaya badilikeni !!!!
 
HOYA,i have said and i am saying it again,sisi ni GENERATION MPYA,tunakwenda sambamba na curcumcision na whatever,nipeni sababu zingine,cause as far as i understand hili sio root cause,kuhusu kujifanya nshomile etc etc,now how does this come into play,one thing i understand,katika game la between the sheets,we have no peer,many a woman can testify on this

Uzuri wa Wahaya, ili aonekane msomi lazima achanganye kingereza kingiii !
 
Labda wadada hao walipenda wahaya wenzao coz wote wanatoka kijiji fulani huko kwao kinaitwa KATERERO sasa nyie wengine hata hamjui KATERERO mtawezaje 'kuwafikisha' nyumbani kwao..?

Kaly'empali! Mijitu mingine imejaa mitusi tuuuu. Ukiandika vizuri utapigwaaa? Hovyooo
 
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu

Si uoe wahaya wenzako, kwa wanyamahanga unatafuta nini?
 
Back
Top Bottom