Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Uuuu iwe, acha kunywa hiyo beer (Safari) inatengenezwa na maji ya Irara (Ilala)....kunywa Heinneken.....nishomire bwana!
 
mi nadhani watu wanashindwa kutofautisha tabia ya mtu kama mtu inakuwaje unamjaji mtu kutokana na jamii aliyopo kama hawatahiriwi vp kuhusu WAISLAM ambao kwao ni lazima. tatizo kubwa watu wamekariri hivyo ukishaonekana MHAYA lazima uchunguzwe na maskini nyingine ni mistake za mtu mnavalisha ksbila ndio maana kuna msemo UKITAKA KUACHANA NA MPENZI WAKO BASI MCHUNGUZE siku zote utaachana naye tu manake asiongee na mtu tayar ni tatizo. Mwenyewe ni mhaya na kama miaka2 sasa imepita ambapo nilijikuta nikimpenda sana msichana ambaye yeye ni wa singida lakini sikuwahi kuhangaika kwa jambo lolote kama nilivyohangaika kwa msichana huyo na nikimuuliza tatizo anadai KABILA LANGU. nikamuuliza umewahi kuona wahaya wangapi wenye hizo tabia unazosema kaniambia kuwa anasikia bt kwa kuwa ni mtu aliye elimika nilifanikiwa kumuelewesha na akanielewa na ni mtu alikuwa kaisha tendwa ktk mapenz lakini kwa sasa tuko pamoja na yeye ni katika watu ambao hawakubaliani na maneno haya tena kwa sababu tunapendana ukweli wa kupendana na tunaishi kwa furaha sana. kwao wananifahamu na kwetu wanamfahamu tunaheshimiana ninamjali ananijali. kwa hiyo ndugu zanguni eleweni kuwa dunia inabadilika usiishie kukamatilia ulichoambiwa. binafsi huwa naumia sana nikiona mada kama hii. na kila mtu anabeba dhambi zake mwenyewe. DONT JUDGE US FOR THE MISTAKE OF OTHERS and NO ONE IS PERFECT UNDER THE SUN.
 
una uhakika jambo kama ilo awezi fanya,mnyamwez,msukuma ama mzinza?dah we stl hv along way to go as a nation,

Hapa tunapima kwa kiwango na kujirudia kwa tabia. Hata kama hayo makabila mengine yatakuwa na watu wa aina hii, bado hawafikii kiwango cha wahaya, kwa jinsi nilivyostudy na kuwa experience nao tangu niko mdogo hadi leo hii.
 
A-level na chuo kikuu nimesoma na wahaya wengi tu. Nilichogundua ni kwamba wahaya ni ving'ang'anizi sana wa elimu na huenda hiyo tabia ndiyo imewafanya waonekane wana wasomi wengi. Wakati tukiwa chuo kikuu mwaka wa pili wali-disco wanafunzi 22 na waliorudoa mwaka walikuwa 13. Kati ya walio-disco 13 walikuwa wahaya. Na kati ya waliorudia darasa, 7 walikuwa ni wahaya. Jambo la ajabu ni kwamba wanafunzi wengine 6 waliamua kuacha chuo kwa aibu ya kurudia mwaka lakini watani zangu wahaya wote 7 waliendelea na masomo. Leo hii ukionana nao mitaani wanadunda wakiwa na degree zao.
HELL NO!!!!!!!!mwaka upi huo disco 22 na 13 ni wahaya???either kulikuwa na vendetta or u is lying-tunaomba ututajie chuo na mwaka tuhakikishe wenyewe-this could be a eight wonder
 
None was better in the past either
now you are talking,in the past tulikuwa na vichwa kama Prof Rweymamu aliemwambia nyerere usipeleke makao makuu dodoma na wala usijenge reli ya tazara cause tanzania cannot afford white elephants-history has proved prof rweymamu right
 
wahaya wana tatizo la nyodo sana! ni nadra mtu wa kabila jingine kuelewana na mhaya unless na wewe ni mhaya maana wahaya kwa wahaya wanawezana. tatizo hili si kwa wanaume wa kihaya tu hata wanawake wa kihaya. ukioa mwanamke wa kihaya jiandae hata mama yako mzazi kupigwa marufuku kukanyaga kwako. siwasemi vibaya but chunguzeni wenyewe mtaona. kuhusu kutokutairi hii ipo hususan maeneo ya vijijini. hii si kwa wahaya tu hata baadhi ya makabila mengine hususan yale ya kusini na kusini magharibi kuambaa ambaa kuelekea Zambia kwa ndugu zangu bhyamdala. mwanaume wa kibongo uliyetahiri ukimapata mwanamke wa kibhyamdala atakung'ang'ania kama luba!
 
wahaya ni kama wengine, tatizo lao ni dogo. Ukimjulia hakusumbui, ila ukimpata mpenzi w kihaya utainjoy sn, kwani huwa hawachoki kwenye game:der:
 
Kuwepo kwetu Tanzania,kumeturudisha nyuma sana,Nyerere KUTUKATA makali alituwekea pass mark ya juu,ili the rest of tanzania e catch up.Partition ya afrika ya akina Carl Peters ilituweka on the wrong side-we will never forget this injustice-one day someone will have to accountable

hamna la kujitetea kwa hili kwani WACHAGA, NA WANYAKYUSA pia waliwekewa passmark za juu tena wachaga zaidi kwani mwalimu alijua progressive nature ya makabila haya.Lakini kilichotokea wahaya wakapunguzwa kasi kwa sababu ya majidai na mijisifa yakijinga .Wakati wachaga walitafuta suluhu yao pekee ya kujipatia elimu bila kuitegemea serikali 100% kwa wachaga wenyewe kuanzisha shule zao za private na kulisupport kanisa na serikali kikamilifu katika ujenzi wa mashule ya serikali na kanisa katika maeneo yao. Wingi wa shule na vyuo uchagani ni sehemu tu ya udhibitisho.Wahaya badilikeni !!!tai na shati jeupe bila shule na hela ni kazi bure na huu si muda wa kumlaumu mwalimu tena mngekuwa uganda ndani ya common charter ya Dr. M.Obotte mngekuwa zaidi ya waberbaig.
 
now you are talking,in the past tulikuwa na vichwa kama Prof Rweymamu aliemwambia nyerere usipeleke makao makuu dodoma na wala usijenge reli ya tazara cause tanzania cannot afford white elephants-history has proved prof rweymamu right
There was Edwin Mtei who advised Nyerere not to stick with Ujamaa policies. He got booted from the government and ended up working for IMF. All in all Dr. Mwakyembe isn't perefect, but he's far better by a long shot than mama Tibaijuka and Nazir Karamagi
 
hamna la kujitetea kwa hili kwani WACHAGA, NA WANYAKYUSA pia waliwekewa passmark za juu tena wachaga zaidi kwani mwalimu alijua progressive nature ya makabila haya.Lakini kilichotokea wahaya wakapunguzwa kasi kwa sababu ya majidai na mijisifa yakijinga .Wakati wachaga walitafuta suluhu yao pekee ya kujipatia elimu bila kuitegemea serikali 100% kwa wachaga wenyewe kuanzisha shule zao za private na kulisupport kanisa na serikali kikamilifu katika ujenzi wa mashule ya serikali na kanisa katika maeneo yao. Wingi wa shule na vyuo uchagani ni sehemu tu ya udhibitisho.Wahaya badilikeni !!!tai na shati jeupe bila shule na hela ni kazi bure na huu si muda wa kumlaumu mwalimu tena mngekuwa uganda ndani ya common charter ya Dr. M.Obotte mngekuwa zaidi ya waberbaig.
hawa great thinkers wengine nahisi wako on the wrong forum-sasa tai na shati jeupi BILA shule una refer kabila gani? in spite of vizingiti vya mtakatifu Nyerere-shule zilipigwa kama kawaida.refer to statistics-huko uganda tungepata competition worth of our academic ability
 
There was Edwin Mtei who advised Nyerere not to stick with Ujamaa policies. He got booted from the government and ended up working for IMF. All in all Dr. Mwakyembe isn't perefect, but he's far better by a long shot than mama Tibaijuka and Nazir Karamagi
EDWIN mtei never dared face mwalimu,he was always speaking behind his back
 
Kuhusu wahaya...mimi ndio najua kila kitu...ninamwanamke wa kihaya nimezaanae mtoto mmoja...mwanamke nilimpenda sana lakini nikiburi,matusi na hajui kuheshimu ndugu wala jamaa..chake ni chake sijui kama ndio tabia zao au ndio nini! Kwa ujumla wahaya ni watu wakujiweka juu hawezi kuishi maisha ya kawaida...nimestop kupenda wahaya
una bahati kwani ni LAZIMA AMMEGÉE MHAYA MWENZAKE wewe utasikia tu wakîtana kaka kaka naenda kwa kaka. Mm nilikuwa naye TTC Marangu tukapendana sana lakini Wahaya wote Chuoni wakanîta shem nikiwapa mgongo tu wanabadili station na kuisfia sana BKB na UGANDA nikaona isiwe tabu mashati ya JULIANA sitaki na km mchezo yao nimejifunza lkn kumegewa kila msibaàu Senen wakitoka àende kwao nikashindwa SITAKI MHAYA YTENA HATAÀWE JIRANI
 
BOFYA hapo-https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/375220-the-haya-tribe-of-tanzania-linked-to-one-of-the-greatest-scientific-breakthroughs-of-all-time.html
 
nyote mmesema infwact haya mabo si ya kulaumiana bila kujua kiundanmaana kila mtu katoa point isipokuwa point mija tu ndo ya ukweli kuwa wahaya lazima awe na msichana wa ke wa kuhaya hata akija mjini akawa na wa songea lakini kaa ukijua akirudi nyumban ana wake, so persay hawa wanyamahanga wengine hawapendi kitu hiyo, i dont mean that they cant marry wives from other tribes,
 
inawezekana kuna ukweli ndani yake.
 
Back
Top Bottom