Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Wafanyabiashara Mbeya wafunga maduka kupinga mashine za TRA

Maduka yote jijini mbeya yamefungwa, wafanya biashara wamefunga maduka yote kugomea kununua machine walzo amuliwa na TRA, Naona fd force mabom ndo yanaanza.
 
Kuna ufisadi mkubwa sana unafanywa na TRA.

Bei ya hizi machine ni juu sana kwa sababu TRA wametoa tender kwa watu wao hivyo huwezi kukwepa ulanguzi wao. Ni kwanini TRA wasiseme aina za machine zinazotakiwa, halafu mtu anakuwa huru kununua anakoweza na baadae unapeleka TRA ili wai-set hiyo machine? Ni kwanini WANAHODHI hizi machine? Bei ya machine haizidi laki 5, lakini hawa TRA kupitia kwa walanguzi wao wanauza machine kwa 1.5 million na kuendelea! Wizi mtupu.

Pili, huu umahiri wa TRA kuwafungia machine wafanyabishara kwa nini hatuuoni kwa makampuni ya simu? Wafanyabiashara wanaweza kabisa kukataa kuweka hizi machine hadi pale makampuni ya simu yatakapofunga machine. Unyonyaji huu ndio tunaona sasa wanataka kutoza kodi Mama ntilie line simu huku makampuni yenyewe yakiachwa. Unyonyaji.

Zile machine ni za kawaida sana haistahili kuuzwa kwa bei ile na kibaya zaidi lazima uwe na laptop pia.Lakini TRA wajue wananchi hawana shida ya kulipa kodi lakini kodi yenyewe isisababishe gharama kubwa namna hii kwa nchi changa kama hizi ambazo sector ndogo ndio zinanyanyuka.

Ipo mifumo mingi ya kufatilia kodi bila kuhitaji kuwauzia raia machine za kiwizi hizi.
 
sasa mabomu wanampiga nani kwani wafanyabiashara wanafanya fujo si wamefunga tu maduka ndio wapigwe mabomu. tiririka vizuri mkuu
 
Maduka yote jijini mbeya yamefungwa, wafanya biashara wamefunga maduka yote kugomea kununua machine walzo amuliwa na TRA, Naona fd force mabom ndo yanaanza.

kwa hiyo wanagomea kulipa kodi? haya ndo madhara ya kuwa na mbunge mvuta bangi. anadhani kila kitu kinaamuliwa kwa nguvu. mbona hapa Dar wafanyabiashara wengi wanazo na hakuna tofauti ya biashara zao?
 
ukiona hivyo basi ujue yule mbunge mvuta bangi amewashawishi watie fujo kama alivyofanya Msigwa kule Iringa kushawishi wamachinga wavunje sheria za manispaa kwa kufanya biashara katika maeneo yaliyozuiliwa
 
hapo sugu na silinde wamemwaga sumu hawataki halmashauri ya jj la mbeya lipate mapato

hivi wewe unajua biashara..? 1.5M mfanya biashara ataipataje wakati mashne haimsaidii zaidi ya kuwasaidia TRA kukusanya mapato?? Ingekuwa vyema ipunguzwe bei na wakopeshwe ili walipe kidogo kidogo.
 
Bila kukusanya watapataje maendeleo;
Tukisema upinzani ni janga la kitaifa
mnarusha mawe.

Kama ni issue ya mashine za tra ifanyiwe ufumbuzi;
Na kwanini lianzie mbeya.

hapo sugu na silinde wamemwaga sumu hawataki halmashauri ya jj la mbeya lipate mapato
 
hivi wewe unajua biashara..? 1.5M mfanya biashara ataipataje wakati mashne haimsaidii zaidi ya kuwasaidia TRA kukusanya mapato?? Ingekuwa vyema ipunguzwe bei na wakopeshwe ili walipe kidogo kidogo.
Nimetumia mashine hizo, uwezo wake wa kutunza kumbukumbu hauzidi miaka mitano. Baada ya hapo unalazimika kununua mashine mpya tena. Ni wizi tu. Hata wakikopeshwa bado haitasaidia.
 
Katika pitapita zangu muda huu nmetokea eneo la mwanjelwa ambako ndo kitovu cha mapato katika jiji la mbeya,ghafla nakutana na maandamano makubwa ya wafanya biashara wa maduka wa eneo hlo na maeneo mengne ya jiji huku wakiwa wamefunga maduka yao yote kwa sharti la atakayefngua kufanyiwa ktu kbaya.nlipojaribu kudodosa nkajibiwa kuwa lengo ni kufka ama kwa RC au kwa meneja wa TRA mkoa kugomea agizo la kla mfanyabiashara kuwa na mashne za KIELEKRONIKI.sijui hili suala lipo siriaz kias gan,hebu tujuzen wakuu.
 
sasa mabomu wanampiga nani kwani wafanyabiashara wanafanya fujo si wamefunga tu maduka ndio wapigwe mabomu. tiririka vizuri mkuu

Iron Lady Kwani kwani wewe hujui kuwa maccm yanapumulia mashine (pilisi?) Wengine tumejifungia majumbani mwetu lakini polisiccm kama mbwa vichaa wako mitaani kututishia tusitoke majumbani mwetu. Hivi sasa Polisiccm wamerusha bomu kwa wanafunzi waliokuwa darasani dalasani kwenye shule ya Msingi RuandaNzovwe.
 
Wakuu lolote linaweza kutokea hapa maana naona matumizi ya nguvu yashaanza kutumika kuwatawanya waandamanaji,barabara imefungwa kwa muda folen limekuwa kubwa balaa na hawa jamaa zetu washaanza kurindimisha mabomu yao na mikonon wana vifaa vyenye ncha kali,kiukwel hali katika eneo hili si shwar tena pameshaamza kutisha.
 
kwa hiyo wanagomea kulipa kodi? haya ndo madhara ya kuwa na mbunge mvuta bangi. anadhani kila kitu kinaamuliwa kwa nguvu. mbona hapa Dar wafanyabiashara wengi wanazo na hakuna tofauti ya biashara zao?

tunataka ufafanuzi kwanini hizi mashine waruhusiwe kuuza watu wachache na kwanini bei yake ni kubwa zaidi ya laptops!
mbona makapuni ya simu hayalipi kodi na mnakomalia hawa watu wenye vimtaji vya sh ml 1 ?
 
Iron Lady Kwani kwani wewe hujui kuwa maccm yanapumulia mashine (pilisi?) Wengine tumejifungia majumbani mwetu lakini polisiccm kama mbwa vichaa wako mitaani kututishia tusitoke majumbani mwetu. Hivi sasa Polisiccm wamerusha bomu kwa wanafunzi waliokuwa darasani dalasani kwenye shule ya Msingi RuandaNzovwe.

sasa wanafunzi nao wamewakosea nini? mi ndio maana huwa nasema policcm huwa sina imani nao kabisa. wao ndio wanasababisha vurugu
 
sasa wanafunzi nao wamewakosea nini? mi ndio maana huwa nasema policcm huwa sina imani nao kabisa. wao ndio wanasababisha vurugu

Serikali ya dhuruma na inanuka damu, Makaburu walifanya haya kule Afrika ya Kusini.
 
Dar es Salaam tumeanza kutumia machine za EFD tumenunua laki 8.
 
sasa wanafunzi nao wamewakosea nini? mi ndio maana huwa nasema policcm huwa sina imani nao kabisa. wao ndio wanasababisha vurugu

Hapo ukiwahoji "kulikoni?" watakujibu "VITA HAINA MACHO."
 
wafanyabiashara wamefunga maduka na kukusanyika viwanja vya Mwanjelwa huko mbeya kupinga mashine za Tra.
my take. hizi mashine bei yake ni ml 1.5 ila lap top mpya sh laki nne huu si ufisadi huu?
Wabunge wapo wapi?

Laptop mpya ni laki nne ila

Microsoft Windows 7 ni $220
Microsoft Windows 8 ni $120
Microsoft Office 2013 Proffessional ni $400
Antivirus ni $50

Hapo bado hujaweka softwares nyingine kulingana na mahitaji unayoyataka. Lakini pia fahamu kuwa laptop ya shilingi laki nne haiwezi dumu kwa muda mrefu kama inatumika muda wote. Ndio maana laptop zilizo imara bei yake si chini ya 1.3M.

My take: Usipende kulinganisha vitu usivyovijua. Kama hizo mashine ni gharama basi toa uthibitisho wa kwa nini hazipaswi kuwa bei hiyo na siyo kulinganisha na kitu ambacho haviendani. Fahamu kuwa kompyuta ni mashine tu ambayo inafanya kazi kulingana na programs ulizoweka kwa maksudi ya kazi ulizokusudia. Waweza nunua laptop kwa lakini nne lakini program ya kukuwesha ufanye kazi yako ukanunua kwa dola $100,000.00
 
Nimetumia mashine hizo, uwezo wake wa kutunza kumbukumbu hauzidi miaka mitano. Baada ya hapo unalazimika kununua mashine mpya tena. Ni wizi tu. Hata wakikopeshwa bado haitasaidia.

Acha fix zisizo za lazima. Umetumia tangu lini ikafika miaka mitano?
 
Back
Top Bottom