Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,765
- 16,074
Mimi sijafanya rejea ya dini yoyote katika andiko langu. Ya Kaisari tumpe Kaisari, ya Mungu tumpe Mungu
mimi sina huo msemo, niko upande mmoja tu wa Mungu …
Mimi sijafanya rejea ya dini yoyote katika andiko langu. Ya Kaisari tumpe Kaisari, ya Mungu tumpe Mungu
Ni nani huyo Collins Teurey?By some means kwa itifaki hizo wengi wenu msingezaliwa🤸🤸 ...
Natafuta Ajira
Btw, In charge wako Collins Teurey 🤣🤣 ametoa Saving last simp Volume III. nikuletee?🤣🤣
Mkuu nimekwambia hii ni natureWatu muwe mnasoma kwa kuelewa mbona nimeandika kwamba "kwa kijana ambaye anajenga maisha yake" . Sasa hao wakina Mo na Lugumi wapo kwenye building stage?hata hivyo unafikiri huyo Mo na GSM wameoa kwenye familia masikini?
Suala la kumbeba mwanamke hilo siafikiani nalo kabisa, hilo ni jukumu la wazazi wake mpaka atakapokua mkeo rasmi.
Sawamimi sina huo msemo, niko upande mmoja tu wa Mungu …
Ukisilimu naenda kukudalalia kwa Mama Samia upate hata Ukuu wa Wilaya.Mimi naona umasikini sio tatizo, wewe angalia mtazamo wake juu ya huo umasikini na juhudi anazotumia kupambana nao.
Wapo wenye uwezo lakini wana tabia zinazoweza kuwarudisha kwenye umasikini haraka sana.
Matukio Yamepangwa Kama Mvua Ya Masika VileWengi wao watakuelewa wakishapigwa tukio
Nature haipo fair kwa kila mtu. Kwaiyo ni wajibu wako kufanya adjustment hapo kwenye natural course. Pamoja na kwamba naturally mwanaume ni elevator wa mwanamke hii sio maana yake uwekeze tu resources zako kwa mwanamke kichwa kichwa.Mkuu nimekwambia hii ni nature
Mwanamke ni sehemu yako
Mwanamke anaweza akawa masikini wa kipato akakupa utulivu, muda, heshima, ushauri na akakujenga kuwa Bora psychologically na hivo ukafanikiwa.
Na ukamwoa tajiri ikawa vise versa.
So mwanamke Bora huwezi kumtafsiri Kwa kipato chake
Wewe bibi kigagula mlokole vipi leo uko mada ya mbususu...mambo mengine bhana, >68% ya watanzagiza ni masikini, halafu wewe unasema waepuke wanawake masikini, chances are that kwenye familia yako masikini wapo na ni wengi tu kwa maana zaidi ya nusu watazagiza ni masikini i.e ktk kila watu 2 mmojawapo 1 ni maskini, sasa hiyo theory yako ita-work vipi? ...
Sawa tajiriHiyo ni user name, ina historia yake.
Matajiri wa kweli wapo kimya ila hawa wenzetu na sisi sasa wana mbwembwe balaaHuyu dalili za umasikini zimemjaa!!!!!
Mwanaume kabisa ambae yuko vizuri Hana muda wa kuandika hayo makanyagio
Mimi sio tajiri, vilevile sio masikini, ni middle classSawa tajiri
I know, kwa sababu watu kama ninyi siku zote ndio huwa mna kelele sanaMimi sio tajiri, vilevile sio masikini, ni middle class
Think by using your head, not your dick.Likifika swala la mbususu unayo imaindi, uliyoandika yote ni story za kahawa tuu
Basi nadhani Kwa hoja hiyo me na wewe hatupinganiNature haipo fair kwa kila mtu. Kwaiyo ni wajibu wako kufanya adjustment hapo kwenye natural course. Pamoja na kwamba naturally mwanaume ni elevator wa mwanamke hii sio maana yake uwekeze tu resources zako kwa mwanamke kichwa kichwa.
Naturally hisia za binadamu zinabadilika. Kama huyo mwanamke kesho hisia zake zikibadilika vipi kuhusu sacrifices na investments zako? Hapo ndipo unakuja umuhimu wa kuzingatia mwanamke nae analeta nini mezani.
Kukiwa na mutually investment hata ikitokea misunderstanding kila mmoja atakua tayari kukaa kwenye meza ya usuluhishi kwa sababu kila ana cha kupoteza mahusiano yakifika mwisho. Nenda mahakama za masuala ya talaka uko. Hakuna mwanamke anapambania ndoa yake, wote wanataka mgao wa mali
Kama haupendezwi na post za member yoyote wa jf. Click user name yake, itakuja profile yake na utaona section imeandikwa ignore. Ukiclick hapo kwenye ignore hautaona chochote anakiandika member huyo hapa jfI know, kwa sababu watu kama ninyi siku zote ndio huwa mna kelele sana
Hizi mbwembwe ni za masikioni wenzetu wanadhani tutaacha mizinga.Matajiri wa kweli wapo kimya ila hawa wenzetu na sisi sasa wana mbwembwe balaa
tutakula nini ba mtuCan you date a broke nigga?
Yap, nature naijua vile vile natambua nature haipo fair kwa kila mtu au kwenye kila kitu. Kwaiyo ni wajibu wangu binafsi kufanya adjustments kwa ajiri ya manufaa yangu. Ni kawaida binadamu kufanya self preservation, hata ndoa za prenup na trend ya vijana wenfi kuandikisha mali zao kwa majina ya mama wakianza kupata utajiri msingi wake ni self preservation maana ukifata natural course ya kwamba mwanaume ni elevator wa mwanamke, katika nature hiyo hiyo hakuna guarantee kwamba it will end in your favorBasi nadhani Kwa hoja hiyo me na wewe hatupingani
Kama unakubali kuwa ni suala la nature hapo nimekuelewa.
Kuhusu hisia kubadilika na mahusiano kuvunjika, hilo ni suala la kawaida na binafsi siwezi kuishi na mke wangu Kwa tahadhari kuwa itakuwaje mahusiano yakifika mwisho, hiyo naichulia kama ajali kuwa naweza kuwa na Mali imaungua moto
😁😁 Mkuu tusifike huko, komenti yangu inahisiana na thread hii sina tatizo na wewe kama member wa JfKama haupendezwi na post za member yoyote wa jf. Click user name yake, itakuja profile yake na utaona section imeandikwa ignore. Ukiclick hapo kwenye ignore hautaona chochote anakiandika member huyo hapa jf