Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,761
- 16,058
Hatupo kwenye zama ambazo umezifanyia rejea. Kuna namna wanawake wamebadilika. Kuna namna mifumo ya kijamii imebadilika. The whole system rigged against men, kwahiyo ni lazima na mwanaume nae afanye adjustment.
hauwezi kubadilisha biology, kwani wanaume wamebadilika? again unapoteza muda na energy yako bure hauwezi kubadilisha chochote, kama hauna game hakuna demu atayekukubali au hauwezi kuchagua yule unayempenda atleast, its just the way it is, na ni dunia nzima siyo tanzagiza tu.
kama ulikataliwa ichukulie kama changamoto and work on yoursself ...