Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,936
- 36,295
- Thread starter
- #81
Mimi sio masikiniCha ajabu unaweza kuona hata huyu anayetuchamba ni maskini mwenzetu
Mimi sio masikiniCha ajabu unaweza kuona hata huyu anayetuchamba ni maskini mwenzetu
Wake kwa waumeMasikini ni wengi sana Tanzania,
Wanawake ukitumia principles zilezile wanazotumia wao, wanakuaga wakali sanaCan you date a broke nigga?
Umeona hivyo vigezo vyako "mke mrembo"Hapo unatafuta
Business pertiner, au Mke Mrembo wa Kumwoa na kufurahia maisha yako?
Au Hawala?
Be specific
The era of commercialization of relationshipSiku hizi maisha tunaviziana sana; wanaume wanataka wanawake wanaojiweza ili wawalee, wanawake wanataka wanaume matajiri ili watajirike. 😊
Wanawake wanatakiwa kupambana sana siku hizi; game imebadirika sana. Unaolewa sababu ya kitu flani. Hatari sana!
Ukiangalia siku hizi; mwanamke akipata kazi au akiwa anajiweza ndio anaolewa. Kazi ipo.
Broke women don't see themselves as broke, they just think they dating the wrong menWanawake ukitumia principles zilezile wanazotumia wao, wanakuaga wakali sana
Analyze your benefits then make decision. Umasikini wa wengine haukuhusu. Hata wewe ungekua masikini asingekuzingatia.Sasa tukisema wote tukimbilie kwa wanawake wenye hela na wale wenye connection, hao wanawake wanaotokea familia masikini wataolewa na nani?
Na vipi na sisi tunaotokea familia masikini si ni bora tukawaoa masikini wenzetu kuliko hao wanawake wenye hela?
Binafsi nashauri kila mtu ashinde mechi zake. Fainali uzeeni.
Kwani hujui kuwa kuna pretending pia?Uwezi ukamjua kwa siku moja, ila wako kila mahali, wengine wagum hawaingiliki, wasumbufu sababu wanangukia kwa mapimbi wanapigwa matukio
Naongelea dating au tuseme mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Kuweka commitment kwa broke woman kuna risk kubwa zaidiHapo unatafuta
Business pertiner, au Mke Mrembo wa Kumwoa na kufurahia maisha yako?
Au Hawala?
Be specific
Natofautiana na wewe kidogo, mwanamke anaweza kua maskini ila akawa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yako, kuliko mdada mwenye ajira anaelipwa 5M kwa mwezi Natafuta AjiraMwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote.
Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata mwanamke mwingine mwenye tabia nzuri na anajimudu mahitaji yake au anatokea kwenye familia yenye connections(za kisiasa, biashara n.k), basi achana na yule masikini. Kwa sababu masikini ni liability, na yule mwenye hela/connections ni asset. Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake
Usijifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke masikini. Hauhusiki na umasikini wa mwanamke Umasikini wa mwanamke sio tatizo lako, ni tatizo lake na familia yake. You don't owe any woman the life her parents failed to give her.
Mwanamke masikini ana njaa, ana bill za kulipa, na anajua mahusiano ndio nafasi rahisi kutua mzigo wake. Kumbuka yeye anapotua mzigo wake, mzigo huo utaubeba wewe kwa sababu utataka kudhihirisha upendo na uanaume wako kwa kubeba jukumu la kumtimizia mahitaji yake.
Hapa sio lazima akuombe hela,kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona una wajibu wa kumpa hela. Hivyo vielfu 10 utaona sio chochote. Ghafla utashangaa hela yako haikai na kuanza kujiuliza sijaenda club, sijanunua nguo, hela imeenda wapi? Jibu ni rahisi, kuna liability umeiongeza kwenye maisha yako.
Tupo kwenye dunia ya usawa wa kijinsia. Mwanamke kapewa fursa zote alizopewa mwanaume. Hakuna kisingizio chochote cha mwanamke kuingia kwenye mahusiano akiwa masikini na kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume. Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.
Brozos, broke women don't date for love, they date to survive. You saw a future she saw an opportunity, and temporary bonding grease called "love" blinded you because you never questioned the uncertainty.
Brozo, a broke woman will slow you down and still leave you in the end when she see no significant progress.
Don’t be a simp.
Kuoa mke wa nyumbani sio mbaya lakini cheki cheki na kwenye famikia yake kama kuna wawili watatu wanajimudu. Kuoa anaetokea kwenye absolutely poverty family inaweza kukugharimuKuna ukweli kwa asilimia kubwa, japo hao unaoita maskini ndo wanaotoa furaha ya kweli kwa wanaume, angalia katika mahusiano wanandoa ambao wote wanakazi nzuri na maisha mazuri upande wa mahusiano hawako vizuri baba atatamani house maid angakuwa mke wake, na anaweza kuwa na mahusiano na mhudumu ofisini au dada wa mgahawa au pub. Cha msingi wanaume tutafute hela ili tuwe na uwezo wa kuhudumia. Asili ya mwanamke akiwa na hela zake hahitaji mwanaume wa kuanza kumghasi anataka uhuru zaidi ndo furaha yao, anahitaji mamlaka n.k.
😁😁 Unatafuta ajira ya nini kama wewe sio maskiniMimi sio masikini
😁😁 Anasema yeye sio masikiniMaskini wa level zetu huyu
Hatupo kwenye zama ambazo umezifanyia rejea. Kuna namna wanawake wamebadilika. Kuna namna mifumo ya kijamii imebadilika. The whole system rigged against men, kwahiyo ni lazima na mwanaume nae afanye adjustment.ni bailojia ya wanawake, tangia zama za kale wakati binadamu tunaishi mapangoni (tulifundishwa hata shuleni) wanawake walitafuta mwenza ambaye angeweza kuwalinda yeye na mzao wake i.e mwenye uwezo wa kuwinda na kuleta chakula watoto wasife njaa, kuwasha moto kufukuza wanyama wakali n.k. hata kwenye animal kingdom ni hivyo kwa mfano kwa masokwe, yule sokwe mkubwa na mwenye nguvu ndiyo hupata wanawake na kuendeleza kizazi wale masokwe dhaifu hawapati demu wanakufa hivyo.
hivyo kuanza kuchallenge kitu kama hicho unapoteza muda wako kwa maana hauwezi kubadilisha kitu, kwa mf. ukiwa unatembea na demu wako ghafla mkavamiwa halafu wewe ukakimbia ukamuacha nyuma akaporwa bila ya kumkingia kifua unafikiri ataendeleza mahusiano na wewe? au hata akiendeleza unafikiri atakuchukulia the same?
women date up, i.e pale alipo anaangalia labda pale pale au juu ya pale lkn siyo chini ni ukweli ambao ulipaswa kuuzoea kama bado haujaelewa, hivyo ukitaka kuendeleza kizazi kuwa kama sokwe work on your self vinginevyo no chance ya kupata mwenza ...
Angalao kuwe na kitu positive kinaendelea kwenye maisha yake mfano anasoma au anajishughulisha na vimishe vya hapa na paleShida wengi ni maskini, sasa utakaa bila mahusiano kwa kigezo hicho?
Nimeongelea masikini sijaongelea ombaomba. Kuna sehemu nimefafanua kwamba hata asipokuomba hela kuna namna utajiona unawajibika ku-elevate maisha yake hapo sasa ndipo unajikuta umejitwisha mzigo usiokuhusuNdiyo hapo tunashindwa kuelewana ,kati ya masikini na ombaomba...Wewe unazunzumzia tusidate na masikini lakini context ni ya ombaomba.
Ndiyo maana nikasema hapo awali hata hao unaowaona siyo masikini(wenye vipato vyao either kuajiriwa /kujiajiri) ni ombaomba wa kutupwa.
Kama tegemezi ,hakuna binadamu ambaye si tegemezi ,hata wewe ni tegemezi either kama umeajiriwa unategemea huruma ya HR/mwajiri au kama umejiajiri unategemea wateja ,hivyo hivyo kwa hao unaosema broke pia wana michango yao katika uhusiano.
Hizo tabia za broke ladies hata hao ladies walijipata wanazo ,na kama issue ni masikini wapo pia broke ladies hawapigi mizinga.
Huyu dalili za umasikini zimemjaa!!!!!😁😁 Anasema yeye sio masikini
Oyaa oyaa oyaa oyaaa mzabzabTatizo ndio wenye tako na titi