leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,067
- 15,564
Mi mwenzio napenda hela toka usichana wangu!!!!!!!!Kwenye mahusiano Yeye atakuja na pesa. Wewe utakuja na nini?
Hapa nazeeka mume anajua kabisa Mimi na Hela tulivyo sambamba.
Hilo swali waulize mabinti maana sina uzoefu wa kuuliza hivyo.
Na uzoefu na penzi la kimaskini sina