Cha ajabu unaweza kuona hata huyu anayetuchamba ni maskini mwenzetuwadada maskini wa leo tumefikiwa😪😪 hatuna mtetezi kabisa
pisi zinatofautiana, kuna ambaye ni maskini hapendi kuwa tegemezi pia ana nidhamu ya pesa.Na siku zote pisi maskini huwa hazina nidhamu ya pesa.
Zinaongozwa na uroho,tamaa na njaa.
Sio vibaya mwanamke kuwa mama wa nyumbani, ingawa ni muhimu kuangalia kama kuna chain ya umasikini kwenye familia yake, otherwise utahudumia ukoo mzima. Mimi mke wangu ni mama wa nyumbani lakini anatokea kwenye familia inayojimudu, hata wakati tunakutana kwa mara ya kwanza alimua anafanya kazi. Tulikubaliana baadae aache kazi kwa sababu zetu za kifamilia.Mkuu kuna watu ambao hawapendi wanawake wao wawe na hekaheka zozote, wanataka mke akae nyumbani na mwanaume apambane alete.
Nafikiri Mwanaume ndio anapaswa kwanza awe na uwezo kiuchumi ndipo sasa aweze kuingia kwenye Mahusiano. Kwasababu mwanaume ndio anatongoza (anawinda), so kabla hajaingia mawindoni ni lazima ahakikishe ana tools.
Hoja ya mwanamke masikini haifa kupuuzwa pia kwa karne ya sasa, kutokana na 50/50. BUT under normal circumstance, Mwanaume jijenge kiuchumi ndipo uingie kwenye mahusiano, mengine ni preference za mtu binafsi.
Kama mwanaume huwezi kumtunza, kumlinda na kumuongoza mwanamke, achana na mapenzi maana malalamiko yatakuwa kwako hayaishi.
Hupaswi kuteseka kwenye mchezo uliochagua mwenyewe.
Kuombaomba ni suala jingine na umasikini ni suala jingine. Jaribu kuelewa vizuri msingi wa hoja.Mwanamke ni mwanamke tu awe tajiri au broke....Vizinga vipo palepale ,hakuna unafuu wowote wa kudate na demu tajiri ,kuna wengine ni broke lakini hawaombiombi hela.
Hata huyo ambae unaona ana akiki na malengo ya mbali napo unafanya gamble tu. Hakuna assurance kama malengo yake yatatimia. Regardless of your effort, time and sacrifices hakuna guarantee kama ataendelea kuwa nawe baada ya malengo yake kutimia. So, it's better to prioritize rwsults, than potential.Inategemea ni mwanamke wa aina gani, kuna mwanamke masikini na ana akili kubwa na malengo ya mbali ni life tu halijamnyookea, afu kuna wale wanawake ni masikini wa mali mpaka na akili, hakuna anachowaza zaidi ya kuomba, mwili wake ndio mtaji..mwanamke masikini mwenye akili kubwa na misimamo, wanajiheshim, hawana tamaa, wana subira,halalwilalwi na kila mtu.
Can you date a broke nigga?wadada maskini wa leo tumefikiwa😪😪 hatuna mtetezi kabisa
Hapa niliowazungumzia ni wale pisi njaa kali na hawataki kujishughulisha kufanya kazi yeyote ya kuwaingizia kipato.pisi zinatofautiana, kuna ambaye ni maskini hapendi kuwa tegemezi pia ana nidhamu ya pesa.
Kwa uelewa wangu pisi zinazotokea familia zenye uwezo kiuchumi ( wakishua ) wengi wao hawana nidhamu ya pesa !
Angekuwa na pesa basi angekuwa ni mtu tofauti kabisa. Hakuna mtu anazaliwa akiwa mtu tayari, mapito ya duniani ndio hutupa utu. Moja kati ya mapito ni pesa.Wewe ungekua masikini halafu mwanamke yupo kwenye nafasi nzuri kiuchumi unafikiri angekubali kuwa na mahusiano na wewe?
Mkuu smart ladies wako haijalishi wako kwenye hali gani. Na ukipata mmoja ume-winHata huyo ambae unaona ana akiki na malengo ya mbali napo unafanya gamble tu. Hakuna assurance kama malengo yake yatatimia, regarsless of your effort, time and sacrifices hakuna guarantee kama ataendelea kuwa nawe baada ya malengo yake kutimia. So, it's better to prioritize rwsults, than potential.
Sasa unakuta ke na me wote masikini halafu ke anajiona anamvumilia mwenzake.Masikini ataoa masikini mwenzie,na vilevile,masikini ataolewa na masikini mwenzie.
Kama motivation yako ya kutafuta hela ni kutimiza mahitaji ya mwanamke uliyenae kwenye mahusiano basi uenda wewe ndie ukawa kilazausichokijua ukiwa na mpenz anae kudai bill kila siku na ukawa unampenda mbinu za kutafta pesa huongezeka hivyo ata kusapot utoboe mapema zaid.
huwez kunielewa kama ww ni mdangaji ila kama unakuaga na mapenz ya kweli huyo mwanamke anae kuomba msaada daily na ukawa unajitafuta na uwe unampenda unatoboa fasta sana.
hii mbinu wajanja wanaijua nyinyi vilaza mwendelee kuwataka matajir tuone.
Mm mmoja wapo naomba hicho kibarua cha kulia msibani 😂
Kila kundi litaguswa kwa wakati wakeSio single mother tena ni mwanamke maskini anayezungumziwa hapa