Lakini sio kwa ubaya, watu wanataka kukata mnyororo wa umasikini.
Sio kuviziana per se, Mi nimekulia uswahilini, my peers wengi wameishia form 2, form 4 wengine wamezaa, wanaruka ruka kazi hawafanyi , biashara hawana, siku moja kwenye kupiga story wanasema kupata ndoa ni ngumu blah blah, nikawachana tu fanyeni kazi, jishughulisheni, na muwe na realistic expectations kuhusu mahusiano mbona ndoa ni nje nje …….. Sio kwa ubaya mwanaume anapokuangalia ana picture familia yake miaka kumi ijayo na wewe……
Hivyo hivyo, binafsi if i want a man to leave me alone, nisijisikie guilty (maana kutongozwa pia ni heshima) nikitaka aondoke kwa heshima, inategemea tumekutana wapi, namwambia sina kazi , sijapata kazi, sina mtaji wa biashara, sina chochote nakaa kwetu tu napikia wazee, chances are 80% wanajikata shwaaa! 😅