Waepuke wanawake masikini

Waepuke wanawake masikini

Umasikini sio kilema kwamba utakufa nao.... unaweza kuwa na mwanamke hana kitu, mkaanza pamoja from the scratch, then mkaibuka... mifano ipo mingi tu siitaji kuitaja !!!

Binafsi mwanamke wangu ananiofa vingi sana japo sio tajiri kama unavyotaka awe..... kuanzia mawazo, nidhamu ya fedha, uwekezaji n.k

Ondoa mawazo ya kizamani
Si ushasema kuanza pamoja from scratch, halafu wapi nimesema mwanamke awe tajiri? haujaelewa nilichoandika.

Hayo mawazo na nidhamu atumie kwanza kuboresha maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano.

Kwamba mwanaume ashasimama kiuchumi ndio aje kuhitaji mawazo na miongozo kutoka kwa mwanamke. Totally bullshit
 
Umasikini wa viwango vipi unauongelea. Hapa mimi sijasema mwanamke awe tajiri, ninachomaanisha angalao aweze kumudu mahitaji yake kulingana na lifestyle aliyochagua kuishi

kwa mujibu wa kipimo cha wb extreme poverty ni inapimwa na dola (usd) 2/siku i.e mtu anayeishi kwa chini ya dola 2/siku anaishi kwenye maskini uliokithiri (extreme poverty), sasa watanzagiza milioni 30 wako kwenye hilo kundi la umaskini uliokithiri (extreme poverty), ina maana kila familia tanzagiza imeguswa na extreme poverty, fumbua tu macho na utaona, umaskini umezunguka kila kona ...
 
Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.
Mkuu kuna watu ambao hawapendi wanawake wao wawe na hekaheka zozote, wanataka mke akae nyumbani na mwanaume apambane alete.

Nafikiri Mwanaume ndio anapaswa kwanza awe na uwezo kiuchumi ndipo sasa aweze kuingia kwenye Mahusiano. Kwasababu mwanaume ndio anatongoza (anawinda), so kabla hajaingia mawindoni ni lazima ahakikishe ana tools.

Hoja ya mwanamke masikini haifa kupuuzwa pia kwa karne ya sasa, kutokana na 50/50. BUT under normal circumstance, Mwanaume jijenge kiuchumi ndipo uingie kwenye mahusiano, mengine ni preference za mtu binafsi.

Kama mwanaume huwezi kumtunza, kumlinda na kumuongoza mwanamke, achana na mapenzi maana malalamiko yatakuwa kwako hayaishi.

Hupaswi kuteseka kwenye mchezo uliochagua mwenyewe.
 
Kuna tofauti ya masikini na ombaomba ,wewe naona umemlenga zaidi mwanamke ombaomba.

Sisi tuliopita sehemu nyingi nyingi tumekutana na hao wanawake unaowaona wewe wanajiweza ila waulize mabwana zao ndiyo watakwambia ngondoigwa zao.

Wanawake wanaojiweza mizinga yao ni nina milioni 10 niongezee 15 nikanunue TAKO LA NYANI....oh baby nimepungukiwa "MLIO" nataka ninunue Lace Wig ila hawa wa kwetu omba omba ni sisi ndiyo hatujiongezi unataka mwanamke akuombe hadi hela ya kwenda kusuka maana yake hautimizi majukumu yako vizuri.

Hivi huyo unayemwita masikini ukiwa unampa bajeti ya laki 2 ya kujikimu kwa mwezi utafikiri atakuwa anakuomba omba? Wanawake wanajua sana kupangilia bajeti/matumizi...hatoishiwa akijua kwamba hatopata tena.

Mimi bora nimchukue mwanamke omba omba maana ana unafuu kwa 100% kuliko hao wanaojifanya wana kazi au biashara kubwa maaana "Vizinga" vyao ni mara elfu10 ya ombaomba.

Ombaomba atakupiga kizinga cha laki2 ila huyo anayefanyakazi/mfanyabiashara atakupiga mzinga wa milioni 10.
 
Live isee, inatakiwa kudate na demu mwenye mishe hata kama anauza mihogo kuliko hawa kupe wapaka wanja, sema shida wanaojishughulisha wengi ni singke maza ambao wamekuja kushtuka after begoting
Uko juu kuna wengine wanafikiria mimi namaanisha mwanamke awe tajiri. Anaweza kuwa dobi. Anapita kwenye makazi ya watu anakusanya nguo anafua analipwa. Kuna watu wengi wanabanwa na ratiba wanakosa muda wa kufua nguo Hii mtaji ni nguvu zake tu mwenyewe.

Ukiwa na mwanamke kama huyu unaweza hata baadae ukamwezesha kumnunulia mashine akafungua dry cleaner. Kuliko yule ambae asomi, hana kipato yaani hana chochote kinachoendelea kwenye maisha yake. Yeye 24 hrs yupo active ticktock na instagram. Mbaya zaidi awe amepanga geto.
 
Mimi naona umasikini sio tatizo, wewe angalia mtazamo wake juu ya huo umasikini na juhudi anazotumia kupambana nao.

Wapo wenye uwezo lakini wana tabia zinazoweza kuwarudisha kwenye umasikini haraka sana.
Umasikini kwenye mahusiano ni liability kwaiyo hauwezi kusema sio tatizo. Wewe ungekua masikini halafu mwanamke yupo kwenye nafasi nzuri kiuchumi unafikiri angekubali kuwa na mahusiano na wewe?

Unachotaka kusema tuangalie potential ya mwanamke, lakini kumbuka not everyone fulfill his/her potential. Vilevile hakuna guarantee kwamba akiifikia hiyo potential yake atakua loyal kwako kwa sababu you elevated her from beginning. So it's better to prioritize results, insteady of potential.
 
Kuna tofauti ya masikini na ombaomba ,wewe naona umemlenga zaidi mwanamke ombaomba.

Sisi tuliopita sehemu nyingi nyingi tumekutana na hao wanawake unaowaona wewe wanajiweza ila waulize mabwana zao ndiyo watakwambia ngondoigwa zao.

Wanawake wanaojiweza mizinga yao ni nina milioni 10 niongezee 15 nikanunue TAKO LA NYANI....oh baby nimepungukiwa "MLIO" nataka ninunue Lace Wig ila hawa wa kwetu omba omba ni sisi ndiyo hatujiongezi unataka mwanamke akuombe hadi hela ya kwenda kusuka maana yake hautimizi majukumu yako vizuri.

Hivi huyo unayemwita masikini ukiwa unampa bajeti ya laki 2 ya kujikimu kwa mwezi utafikiri atakuwa anakuomba omba? Wanawake wanajua sana kupangilia bajeti/matumizi...hatoishiwa akijua kwamba hatopata tena.

Mimi bora nimchukue mwanamke omba omba maana ana unafuu kwa 100% kuliko hao wanaojifanya wana kazi au biashara kubwa maaana "Vizinga" vyao ni mara elfu10 ya ombaomba.

Ombaomba atakupiga kizinga cha laki2 ila huyo anayefanyakazi/mfanyabiashara atakupiga mzinga wa milioni 10.
Hapo sasa ni ugali wa moto mboga ya moto
 
Naona umekuja na theory nyingine tofauti kabisa na nilichoandika. Sijamzungumzia ombaomba, nimemzungumzia masikini, yaani ambae hana kipato wala chochote kinachoendelea kwenye maisha yake. It's ok, there is exception in everything, but dating a broke woman the outcome is rarely favourable
 
Naona umekuja na theory nyingine tofauti kabisa na nilichoandika. Sijamzungumzia ombaomba, nimemzungumzia masikini, yaani ambae hana kipato wala chochote kinachoendelea kwenye maisha yake. It's ok, there is exception in everything, but dating a broke woman the outcome is rarely favourable to you
Mwanamke ni mwanamke tu awe tajiri au broke....Vizinga vipo palepale ,hakuna unafuu wowote wa kudate na demu tajiri ,kuna wengine ni broke lakini hawaombiombi hela.
 
Inategemea ni mwanamke wa aina gani, kuna mwanamke masikini na ana akili kubwa na malengo ya mbali ni life tu halijamnyookea, afu kuna wale wanawake ni masikini wa mali mpaka na akili, hakuna anachowaza zaidi ya kuomba, mwili wake ndio mtaji..mwanamke masikini mwenye akili kubwa na misimamo, wanajiheshim, hawana tamaa, wana subira,halalwilalwi na kila mtu.
 
kwa mujibu wa kipimo cha wb extreme poverty ni inapimwa na dola (usd) 2/siku i.e mtu anayeishi kwa chini ya dola 2/siku anaishi kwenye maskini uliokithiri (extreme poverty), sasa watanzagiza milioni 30 wako kwenye hilo kundi la umaskini uliokithiri (extreme poverty), ina maana kila familia tanzagiza imeguswa na extreme poverty, fumbua tu macho na utaona, umaskini umezunguka kila kona ...
Kwanini wanawake waliopo kwenye nafasi nzuri kiuchumi hawatumii hiyo hiyo logic kuingia kwenye mahusiano na wanaume masikini. Hapo juu kuna mstari nimesema "Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake". Masikini wa kutoka kwenye familia nyingine hakuhusu.
 
Back
Top Bottom