Waepuke wanawake masikini

Waepuke wanawake masikini

Samahani mkuu unataka mwanamke bikra, mtiifu aliye tayari umtawale, na anayejimudu kiuchumi? All in one?
Sina shida ya kumtawala mwanamke. Tukiheshimiana inatosha. Suala la uchumi inategemea yupo hatua gani kimaisha. Mfano umemchukua kutoka kwao binti wa miaka 18-20 huyu hata asipokua na kipato inaeleweka maana kwa umri huo inawezekana ndio amemaliza shule hivi karibuni tu. Lakini mwanamke wa miaka 25+ hasomi, hana kipato, hakuna chochote cha maana kinachoendelea kwenye maisha yake, huyo hapana
 
Kwahiyo utii wa mwanamke kwako sio ishu sana? Muhimu bikra kama ni umri mdogo, na kama umri mkubwa bikra imeondoka basi ajimudu kiuchumi? Ama vyote bikra anayejimudu kiuchumi?
 
Kusema hawezi kumvumilia mwanaume ambae hajajipata hapo anakosea, kwa sababu hakuna mwanaume aliekuja hapa duniani kwa ajiri ya kuboresha maisha ya mwanamke. No man owe her better life.

Lakini mwanamke akisema hawezi kuwa na mwanaume ambae hana hela au hajajipata hapo yupo sahihi. Is her choice, it's not evil
Mwisho imekuja kwenye hoja ninayotaka Uzi wako ungejikita kwenye suala la kuwa wanawake ombaomba tungekuelewa lakini suala kuwa ombaomba halichagui status maana hata ambao wanajiweza pia wanaomba Kajala alimfilisi mume wake japo alikuwa na hela yule aliyefungwa jela na hata huku mtaani ni hivyo mdada ana biashara ya Duka lakini ni still ni ombaomba wapo pia masikini lakini sio ombaomba wameridhika na Hali ya wanaume zao na wanapambana kutoka huko
 
Kwani hujui kuwa kuna pretending pia?

Wapo wanaume ambao wanaamini notion ya kuwa Mwanamke atayemkubalia bila usumbufu huyo ni Malaya.

Dhana hii imepelekea baadhi ya wanawake kuweka usumbufu usio wa lazima (playing hard to get) ili wasionekane ni malaya au ni wepesi.

So hata hao unaowadai kuwa ni wagumu bado ni betting kuwapa maua, unaweza kujikuta umeingia kwenye abyss ambayo hujui namna ya kutoka.
Nakubaliana na wewe hata Mimi Kuna mmoja alifake maisha na akanificha kumbe ana watoto wawili wakati aliniambia ni watoto wa dada yake
 
Basi nadhani Kwa hoja hiyo me na wewe hatupingani
Kama unakubali kuwa ni suala la nature hapo nimekuelewa.
Kuhusu hisia kubadilika na mahusiano kuvunjika, hilo ni suala la kawaida na binafsi siwezi kuishi na mke wangu Kwa tahadhari kuwa itakuwaje mahusiano yakifika mwisho, hiyo naichulia kama ajali kuwa naweza kuwa na Mali imaungua moto
ngara23 jamaa kazungumzia kwenye mahusiano sio ndoa umeshindwa kumuelewa
 
Kitendo cha kuwa mtu mzima, hasomi hana kipato wala chochote kinachoendelea kwenye maisha yake that's means she failed even to figured out her life, sasa hiyo akili yake iko wapi. Ili kudhihirisha ana hiyo akili inatakiwa umkute kuna kitu ashaanza kukifanya otherwise una-gamble tu
Hapa umeongea fact kabisa hii hoja utakuja kukuelewa ukishaachwa au kuletewa nyodo na girlfriend wako ikitokea ana mahusiano mengine ambaye kakuzidi kipato
 
Mwisho imekuja kwenye hoja ninayotaka Uzi wako ungejikita kwenye suala la kuwa wanawake ombaomba tungekuelewa lakini suala kuwa ombaomba halichagui status maana hata ambao wanajiweza pia wanaomba Kajala alimfilisi mume wake japo alikuwa na hela yule aliyefungwa jela na hata huku mtaani ni hivyo mdada ana biashara ya Duka lakini ni still ni ombaomba wapo pia masikini lakini sio ombaomba wameridhika na Hali ya wanaume zao na wanapambana kutoka huko
Najua ombaomba ni nani na masikini ni nani. Hoja yangu imejikita kwenye masikini. Huyo mwanamke mwenye duka lake ukitaka kubeba jukumu la kumuhudumia huo ni uamuzi wako, ni nyongeza tu. Infact, hata kama mwanamke ana kipato linapokuja suala la ku-maintain mahusiano lazima hela itakutoka.

Lakini asiyekua na kipato akishakuja tu kwenye maisha yako, hata kama asipokuomba chochote utajiona unahitajika kumtoa kwenye hali aliyokua nayo. Hapo ndipo unajikuta umejiongezea mzigo
 
08261855cd39c41e7bc6a2626f623bb4.jpg
 
Mwisho imekuja kwenye hoja ninayotaka Uzi wako ungejikita kwenye suala la kuwa wanawake ombaomba tungekuelewa lakini suala kuwa ombaomba halichagui status maana hata ambao wanajiweza pia wanaomba Kajala alimfilisi mume wake japo alikuwa na hela yule aliyefungwa jela na hata huku mtaani ni hivyo mdada ana biashara ya Duka lakini ni still ni ombaomba wapo pia masikini lakini sio ombaomba wameridhika na Hali ya wanaume zao na wanapambana kutoka huko
Kuomba omba ni tabia ya mtu binafsi haihusiani na hali ya uchumi.
 
Back
Top Bottom