MKANGAFFU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 27,496
- 38,361
Acha ku date vichaa.wewe unaweza kupokea majukumu yote ya mzazi na haujamwoa tena anakwambia kwa lazima totally nonesense
Acha ku date vichaa.wewe unaweza kupokea majukumu yote ya mzazi na haujamwoa tena anakwambia kwa lazima totally nonesense
Pumbavu masikini kadange huko akili hamna kutaka miseleleko ya kuhongwa tu Kama matonyausichokijua ukiwa na mpenz anae kudai bill kila siku na ukawa unampenda mbinu za kutafta pesa huongezeka hivyo ata kusapot utoboe mapema zaid.
huwez kunielewa kama ww ni mdangaji ila kama unakuaga na mapenz ya kweli huyo mwanamke anae kuomba msaada daily na ukawa unajitafuta na uwe unampenda unatoboa fasta sana.
hii mbinu wajanja wanaijua nyinyi vilaza mwendelee kuwataka matajir tuone.
NutshellNambie
Wake za matajiri kama Bakhresa, Mo, Mengi, Lugumi, Kikwete, n. K ni matajiri namba ngapi TANZANIA
Mwanaume kubeba mwanamke ninjukumu lako ni sawa ulalamike kuwa kende zimekuwa nzito.
Mwanamke ni sehemu ya mwanaume.
Mwanamke hawezi kukufanya kuwa masikini wala tajiri
Ok boss, sawa sawa.Hakuna popote nilipoelekeza kwamba target iwe mwanamke tajiri. Hao matajiri hata wanaume tuwapo wachache sana. Substitution ya masikini sio tajiri. Mwanamke awe tu na kitu anafanya kusogea kimsisha ni sawa. Kwanini mmashindwa kuelewa kitu kidogo sana kama hicho maana naelezea tamgu page ya kwanza.
Na suala la bikira halina mfungamano wa moja kwa moja na uchumi wa mwanamke. Anaweza kuwa na direction ya maisha akawa bikira and vice versa
🤣🤣🤣 yaani anakwambia kumhudumia ni jukumu lako na hujamwoa 👀👀Acha ku date vichaa.
Nadhani cha muhimu ni kuwa mtu wa maono mkuu, yaani unaweza kusense potential ya mtu hata akiwa hana mia, unajua nikimvumilia huyu ipo siku atatoboa maana sio bongolala.Wanawake wa sasa mnajiita strong women, independent women, wapambanaji na majina mengine mengi ya kishujaa cha kushangaza mkiondolewa kwenye kunufaika na pesa au mali za mwanaume mnaamisha goli.
Katika hali ya kawaida strong and independent woman atakubaliana na wazo la mwanaume na mwanamke wote kuanza wakiwa na kitu cha kuweka mezani bila mmoja kutarajiwa kuwa elevator wa mwenzake. Lakini kinachotokea ni tofauti. Uko wapi huo u-independent woman wenu mnaojinasibu nao.
Ninyi mnaotamba ndio wale mkipata shida mnakuja mitandaoni kuomba misaada uzuri internet haisahauKutongoza na kumpa hela Mwanamke ndio furaha yetu sisi wanamume jasiri:
Tafuta pesa wewe Dogo
furaha ya Dunia kwa wanamume
ni
Wine
Women
Wife
and
Money
WWWM
Kama huna uwezo wa kuvipata hivyo, jihesabie kuwa wewe ni maskini wa kutupwa yaana ni kapuku na huna Audacity ya kuongea mbele ya wababe wa Dunia hii:
Kunywa maji ukalale:
Ajiri mtu kwa sababu umeona ana sifa au vigezo vya hiyo kazi unayompa. Sio salama kwa biashara kuajiri mtu kwa sababu ni mke, ndugu au rafiki
Yap, maono ni muhimu. Lakini ndio lazima kuwe na viashiria. Hata kama hatokei kwenye familia yenye ukwasi au connection angalao ukutane nse kuna kitu anafanya kusogea. Sio unakutana na mtu hana chochote kinachoendelea kwenye maisha yake halafu unafanya gamble eti maono sijui mwanaume ni provider. Aisee huo ujinga siwezi kuruhusu ufanywe na mtoto wangu wa kiumeNadhani cha muhimu ni kuwa mtu wa maono mkuu, yaani unaweza kusense potential ya mtu hata akiwa hana mia, unajua nikimvumilia huyu ipo siku atatoboa maana sio bongolala.
Unaweza anza na mwanamke mwenye cha kuweka mezani anachopewa na wazazi wake wa kishua siku wakiondoka au hizo connection zikifa ndo kaishaa sa sijui utamuacha 😅
Wanawake wanachukizwa sana principles zilezile wanazotumia kuwatreat wanaume masikini zikitumika kuwatreat wao pia.Hawa Malaya kapuku msiwaonee huruma ,treat them like trash .Kwa sababu wewe Kama ukiwa mwanaume broke watakutreat in similar way
Huyo ni kichaa🤣🤣🤣 yaani anakwambia kumhudumia ni jukumu lako na hujamwoa 👀👀
🤣🤣🤣Huyo ni kichaa
Achana naye.
Mara nyingi wanaosema kwamba utafute demu ambaye anajiweza wameathiriwa sana na bongo movie na tamthilia ,hakuna mwanamke iwe masikini au tajiri ambaye hataki support ya mwenza wake.Short and clear ,kabla mwanaume hajaingia kwenye mahusiano hakikisha kiuchumi uko stable la sivyo ukikutana na ombaomba utakuwa unapiga hatua 6 nyuma 3 mbele hutapiga hatua full stop
Utata kwenye uzi wake upo kwenye matumizi ya neno maskini. Kumbe anayezungumziwa ni aina ya mwanamke maskini. Ukitafakari zaidi pia unaona kwamba kinachozungumziwa hapa ni tabia. Ambazo hizo tabia wanazo women wanaojiweza pia.
Basi umemaliza ,case closed.Hata wife nilikuatana nae akiwa anafanya kazi. Kipato nilikua namzidi kwa mbali sana, vilevile masuala mengine nilikua namboost lakini hakuwahi kunibebesha jukumu la mahitaji yake
Mkuu umekua mgumu kweki kweli. Hakuna popote palipoandikwa kwamba usimpige tafu mtu wako. Kinachomaanishwa ni kwamba mzigo wa kumbeba masikini ni mkubwa kwa sababu huyu uamwinua from scratch.Mara nyingi wanaosema kwamba utafute demu ambaye anajiweza wameathiriwa sana na bongo movie na tamthilia ,hakuna mwanamke iwe masikini au tajiri ambaye hataki support ya mwenza wake.
Ukienda kwa mwanamke jua kwamba kuna cost lazima utakuja kuingia ,kama haupo tayari ni bora ukae na fedha zako na yeye abaki na utelezi wake....usitarajie umpalamie umpake "ululu wa ndizi" halafu akikuomba hela ya sabuni na perfume ya kutoa "harufu za ululu wa ndizi" unaanza kupiga mayowe.
Mkuu umekua mgumu kweki kweli. Hakuna popote palipoandikwa kwamba usimpige tafu mtu wako. Kinachomaanishwa ni kwamba mzigo wa kumbeba masikini ni mkubwa kwa sababu huyu uamwinua from scratch.
Hauwezi ukalinganisha na kumpiga tafu ambaye tayari anajimudu kwa mahitaji yake. Sijui nini ambacho hauelewi
🤣🤣🤣ululu tenaa mkuuMara nyingi wanaosema kwamba utafute demu ambaye anajiweza wameathiriwa sana na bongo movie na tamthilia ,hakuna mwanamke iwe masikini au tajiri ambaye hataki support ya mwenza wake.
Ukienda kwa mwanamke jua kwamba kuna cost lazima utakuja kuingia ,kama haupo tayari ni bora ukae na fedha zako na yeye abaki na utelezi wake....usitarajie umpalamie umpake "ululu wa ndizi" halafu akikuomba hela ya sabuni na perfume ya kutoa "harufu za ululu wa ndizi" unaanza kupiga mayowe.