Waepuke wanawake masikini

Waepuke wanawake masikini

Sasa tukisema wote tukimbilie kwa wanawake wenye hela na wale wenye connection, hao wanawake wanaotokea familia masikini wataolewa na nani?
Na vipi na sisi tunaotokea familia masikini si ni bora tukawaoa masikini wenzetu kuliko hao wanawake wenye hela?

Binafsi nashauri kila mtu ashinde mechi zake. Fainali uzeeni.
 
Hapa niliowazungumzia ni wale pisi njaa kali na hawataki kujishughulisha kufanya kazi yeyote ya kuwaingizia kipato.

Zaidi hutumia mapenzi kama kitega uchumi na sehemu ya kupooza njaa zao, huwa hawanaga nidhamu ya pesa hawa wanaomba mnoo yani ni kero sana ukiwa karibu na pisi aina hii.

Na kazi hawataki kufanya, alafu ukiwanyima wanakuona mwanaume huna pesa. Wanasahu wamekuwa ombaomba mnoo!


#Hallelujah!!!
kama ndo hao naunga mkono hoja, tena apo ni kukimbia ata peku !
#Hallelujah!!!
 
Angekuwa na pesa basi angekuwa ni mtu tofauti kabisa. Hakuna mtu anazaliwa akiwa mtu tayari, mapito ya duniani ndio hutupa utu. Moja kati ya mapito ni pesa.
Pesa haimbadilishi mtu, isipokua inafichua uhalisia wake
Kwahiyo hapa unamhukumu mtu mmoja kwa tabia za mtu mwingine tofauti(ambaye pia umekisia sana tabia zake kwasababu hayupo na humjui).
Suala la wanawake ku-prefer mwanaume wa daraja la juu zaidi sio individual cases. Hilo ni suala ambalo linaenda ndani mpaka kwenye nature yao.
Licha ya hayo yote, mahusiano/ndoa ndio jambo lenye risk kubwa zaidi kwenye maisha na hiyo risk haikwepeki. Mada kama hii haiwezi kuwa na hitimisho kwasababu mahusiano ni fumbo. Hakuna jibu sahihi, kuna machaguo tu.
Ofcourse ninachokiandika sio sheria, na ninatambua kuna wenye mawazo mbadala. Mwisho wa siku kika mtu atafanya maamuzi yake binafsi
 
Kuna ukweli kwa asilimia kubwa, japo hao unaoita maskini ndo wanaotoa furaha ya kweli kwa wanaume, angalia katika mahusiano wanandoa ambao wote wanakazi nzuri na maisha mazuri upande wa mahusiano hawako vizuri baba atatamani house maid angakuwa mke wake, na anaweza kuwa na mahusiano na mhudumu ofisini au dada wa mgahawa au pub. Cha msingi wanaume tutafute hela ili tuwe na uwezo wa kuhudumia. Asili ya mwanamke akiwa na hela zake hahitaji mwanaume wa kuanza kumghasi anataka uhuru zaidi ndo furaha yao, anahitaji mamlaka n.k.
 
Umasikini kwenye mahusiano ni liability kwaiyo hauwezi kusema sio tatizo. Wewe ungekua masikini halafu mwanamke yupo kwenye nafasi nzuri kiuchumi unafikiri angekubali kuwa na mahusiano na wewe?

Unachotaka kusema tuangalie potential ya mwanamke, lakini kumbuka not everyone fulfill his/her potential. Vilevile hakuna guarantee kwamba akiifikia hiyo potential yake atakua loyal kwako kwa sababu you elevated her from beginning. So it's better to prioritize results, insteady of potential.
Kwakutumia kigezo chako hiko hiko vipi wanawake nao wakisema hawawezi kumvumilia mwanaume ambaye bado hajajipata watakuwa wanakosea?
 
Kwanini wanawake waliopo kwenye nafasi nzuri kiuchumi hawatumii hiyo hiyo logic kuingia kwenye mahusiano na wanaume masikini. Hapo juu kuna mstari nimesema "Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake". Masikini wa kutoka kwenye familia nyingine hakuhusu.

ni bailojia ya wanawake, tangia zama za kale wakati binadamu tunaishi mapangoni (tulifundishwa hata shuleni) wanawake walitafuta mwenza ambaye angeweza kuwalinda yeye na mzao wake i.e mwenye uwezo wa kuwinda na kuleta chakula watoto wasife njaa, kuwasha moto kufukuza wanyama wakali n.k. hata kwenye animal kingdom ni hivyo kwa mfano kwa masokwe, yule sokwe mkubwa na mwenye nguvu ndiyo hupata wanawake na kuendeleza kizazi wale masokwe dhaifu hawapati demu wanakufa hivyo.

hivyo kuanza kuchallenge kitu kama hicho unapoteza muda wako kwa maana hauwezi kubadilisha kitu, kwa mf. ukiwa unatembea na demu wako ghafla mkavamiwa halafu wewe ukakimbia ukamuacha nyuma akaporwa bila ya kumkingia kifua unafikiri ataendeleza mahusiano na wewe? au hata akiendeleza unafikiri atakuchukulia the same?

women date up, i.e pale alipo anaangalia labda pale pale au juu ya pale lkn siyo chini ni ukweli ambao ulipaswa kuuzoea kama bado haujaelewa, hivyo ukitaka kuendeleza kizazi kuwa kama sokwe work on your self vinginevyo no chance ya kupata mwenza ...
 
Kuombaomba ni suala jingine na umasikini ni suala jingine. Jaribu kuelewa vizuri msingi wa hoja.

Ndiyo hapo tunashindwa kuelewana ,kati ya masikini na ombaomba...Wewe unazunzumzia tusidate na masikini lakini context ni ya ombaomba.

Ndiyo maana nikasema hapo awali hata hao unaowaona siyo masikini(wenye vipato vyao either kuajiriwa /kujiajiri) ni ombaomba wa kutupwa.

Kama tegemezi ,hakuna binadamu ambaye si tegemezi ,hata wewe ni tegemezi either kama umeajiriwa unategemea huruma ya HR/mwajiri au kama umejiajiri unategemea wateja ,hivyo hivyo kwa hao unaosema broke pia wana michango yao katika uhusiano.

Hizo tabia za broke ladies hata hao ladies walijipata wanazo ,na kama issue ni masikini wapo pia broke ladies hawapigi mizinga.
 
Kwakutumia kigezo chako hiko hiko vipi wanawake nao wakisema hawawezi kumvumilia mwanaume ambaye bado hajajipata watakuwa wanakosea?
Kusema hawezi kumvumilia mwanaume ambae hajajipata hapo anakosea, kwa sababu hakuna mwanaume aliekuja hapa duniani kwa ajiri ya kuboresha maisha ya mwanamke. No man owe her better life.

Lakini mwanamke akisema hawezi kuwa na mwanaume ambae hana hela au hajajipata hapo yupo sahihi. Is her choice, it's not evil
 
Mimi
Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote.

Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata mwanamke mwingine mwenye tabia nzuri na anajimudu mahitaji yake au anatokea kwenye familia yenye connections(za kisiasa, biashara n.k), basi achana na yule masikini. Kwa sababu masikini ni liability, na yule mwenye hela/connections ni asset. Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake

Usijifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke masikini. Hauhusiki na umasikini wa mwanamke Umasikini wa mwanamke sio tatizo lako, ni tatizo lake na familia yake. You don't owe any woman the life her parents failed to give her.

Mwanamke masikini ana njaa, ana bill za kulipa, na anajua mahusiano ndio nafasi rahisi kutua mzigo wake. Kumbuka yeye anapotua mzigo wake, mzigo huo utaubeba wewe kwa sababu utataka kudhihirisha upendo na uanaume wako kwa kubeba jukumu la kumtimizia mahitaji yake.

Hapa sio lazima akuombe hela,kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona una wajibu wa kumpa hela. Hivyo vielfu 10 utaona sio chochote. Ghafla utashangaa hela yako haikai na kuanza kujiuliza sijaenda club, sijanunua nguo, hela imeenda wapi? Jibu ni rahisi, kuna liability umeiongeza kwenye maisha yako.

Tupo kwenye dunia ya usawa wa kijinsia. Mwanamke kapewa fursa zote alizopewa mwanaume. Hakuna kisingizio chochote cha mwanamke kuingia kwenye mahusiano akiwa masikini na kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume. Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.

Brozos, broke women don't date for love, they date to survive. You saw a future she saw an opportunity, and temporary bonding grease called "love" blinded you because you never questioned the uncertainty.

Brozo, a broke woman will slow you down and still leave you in the end when she see no significant progress.

Don’t be a simp.
Nawataka hao wanawake maskini.
Ukiniletea kama 10
Kwa kila mmoja nitakuzawadia milion moja za kitanzania.
Wahi mapema
Nafasi ni chache.
 
Back
Top Bottom