Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 805
- 2,032
"You don't owe any woman the life her parents failed to give her." Hii sentensi inatosha kuwa fundisho la kudumu kwa wanaume wote wanaoendekeza usimp na kutaka kubeba majukumu ya malezi (Usimbela).
Dunia imebadilika sana. Kama mfumo wa sasa unadai usawa wa kijinsia (50/50) kwenye fursa, elimu, na ajira, basi ni lazima kuwe na usawa wa 100% kwenye kubeba majukumu, kuvuja jasho, na kutafuta uchumi.
Hauwezi kudai usawa wa kijinsia asubuhi ukiwa ofisini, halafu jioni ukifika baa au kwenye kodi ya nyumba ukarudi kwenye mfumo wa ukoloni wa kumtegemea mwanaume asilimia mia moja. Huu unaitwa "Opportunistic Equality"
wanawake wajanja wanachagua usawa pale unapowanufaisha na kuukataa pale unapowataka wawajibike.
Mwanaume pambana ujenge himaya yako; mtaji wako, akili yako, na nguvu zako ni kwa ajili ya kuwekeza kwenye kesho yako na kizazi chako, sio kuwa mfuko wa hisani au bima ya dharura ya mwanamke aliyeshindwa kupambana na maisha yake. Usigeuzwe daraja la mwanamke mvivu anayetaka kutumia changamoto za nyumbani kwao kama mtaji wa kukutoa jasho wewe.
Mahusiano yasiwe mradi wa kuondoa umaskini (Poverty Alleviation Scheme). Kama hawezi kuleta mezani akili, mtaji, connections, au msimamo wa kukusaidia kupiga hatua, huyo sio mwenzi wa maisha—huyo ni mchungaji anayetafuta kondoo wa kumnyoa. Amkeni!