Waepuke wanawake masikini

Waepuke wanawake masikini

Mi mwenzio napenda hela toka usichana wangu!!!!!!!!
Hapa nazeeka mume anajua kabisa Mimi na Hela tulivyo sambamba.
Hilo swali waulize mabinti maana sina uzoefu wa kuuliza hivyo.
Na uzoefu na penzi la kimaskini sina
😂😂😂😂
 
Haya maisha ya Tanzania ya kulala na mitungi ya gesi ndani ili usiibiwe,kupanda boda boda na bajaji au kutumia madumu ya njano kuwekea maji ya matumizi majumbani bado tunaendelea kuchekana kwamba yupo Tajiri na masikini mimi binafsi naona % kubwa ya Watanzania ni masikini hata wanaofanya kazi wapo kwenye mzunguko wa umasikini tu..
Mtu anapiga kazi ila hawezi kutatua tatizo la Tsh 2m ghafla si umasikini huo mshahara ukichelewa siku moja tu analala na njaa daah au anaruka duka la kukopa kwa Mangi maana duka la kwanza ajarejesha pesa aliyohaidi..
😂😂😂😂
 
Kama kawaida siku zote huwa mnamshambulia mtoa hoja badala ya kushambulia hoja. Msubirini think tank wenu Binti kiziwi aje kuwatetea, otherwise mtaishia kujidhalilisha tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1779275855905.jpg
    FB_IMG_1779275855905.jpg
    40.4 KB · Views: 1
Wanaume wengi bado hawajai-master sanaa ya kuyaangalia mahusiano kwa jicho la kibiashara. Linapokuja suala la mahusiano wengi wana ile mentality kwamba mwanaume ni mkombozi wa mwanamke. Suala la kufanya assessment kuangalia na mwanamke anakuja na tangible output gani kwenye mahusiano bado ni geni kwa wanaume wa kiafrika
Ni muhimu kupata hii elimu na itaingia taratibu tu kwa walio wengi. Wanaofaidika na huo mfumo uliodumu makarne huko lazima wakasirike na washambulie kwanini unawasanua watu waliolala usingizi mzito ili waendelee kufaidika.Pia wapo watu ving'ang'anizi wa upande huohuo unaojaribu kuwaamsha watashambulia tu kwamba kwanini unataka utubadirishie mtizamo tulioukuta na kuiishi nao. Jamii ndo zilivyo haziwezi kubadirika kimtizamo kwa usiku mmoja ndo maana ni muhimu kuendelea kukazia hii elimu adhimu ambayo huipati shuleni.😁
 
Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote.

Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata mwanamke mwingine mwenye tabia nzuri na anajimudu mahitaji yake au anatokea kwenye familia yenye connections(za kisiasa, biashara n.k), basi achana na yule masikini. Kwa sababu masikini ni liability, na yule mwenye hela/connections ni asset. Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake

Usijifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke masikini. Hauhusiki na umasikini wa mwanamke Umasikini wa mwanamke sio tatizo lako, ni tatizo lake na familia yake. You don't owe any woman the life her parents failed to give her.

Mwanamke masikini ana njaa, ana bill za kulipa, na anajua mahusiano ndio nafasi rahisi kutua mzigo wake. Kumbuka yeye anapotua mzigo wake, mzigo huo utaubeba wewe kwa sababu utataka kudhihirisha upendo na uanaume wako kwa kubeba jukumu la kumtimizia mahitaji yake.

Hapa sio lazima akuombe hela,kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona una wajibu wa kumpa hela. Hivyo vielfu 10 utaona sio chochote. Ghafla utashangaa hela yako haikai na kuanza kujiuliza sijaenda club, sijanunua nguo, hela imeenda wapi? Jibu ni rahisi, kuna liability umeiongeza kwenye maisha yako.

Tupo kwenye dunia ya usawa wa kijinsia. Mwanamke kapewa fursa zote alizopewa mwanaume. Hakuna kisingizio chochote cha mwanamke kuingia kwenye mahusiano akiwa masikini na kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume. Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.

Brozos, broke women don't date for love, they date to survive. You saw a future she saw an opportunity, and temporary bonding grease called "love" blinded you because you never questioned the uncertainty.

Brozo, a broke woman will slow you down and still leave you in the end when she see no significant progress.

Don’t be a simp.
Huu ndiyo Uzi Bora kuliko wote kwa Mwaka huu hapa JF

MELLO toa zawadi kwa huyu jamaa
 
Dada zako ni matajiri?
Duh.! Wabongo ni wagumu kuelewa. Naanza kuamini uenda kuna ukweli kwenye ule utafiti kwamba Tanzania ipo kwenye top 10 ya nchi zenye watu wenye uwezo mdogo kiakili duniani

Substitution ya masikini sio tajiri. Akiwa na kipato cha kumudu mahitaji yake na muelekeo wa kimaisha ni sawa.
 
Epuka zaidi "MWANAMKE MASKINI WA AKILI"
maskini wa kipato huyo naweza ishi nae ila kama hana akili, huyo simuwezi
Masikini ni liability mzee mwenzangu. Tutaizungusha zungusha tu hiyo maana tu ili isiumize hisia zetu. Inawezekana tayari usha-settle au usha-fall in love kwa mwanamke masikini lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba masikini ni liability. Haji kuongeza chochote, anakuja kuchukua na kukuchelewesha.

Kijana wako wa kiume akitaka kuoa chunguza mkwe wako anatoka kwenye familia gani. Kama binti anatokea kwenye absolutely poverty family, zuia hiyo ndoa mara moja kwa maana kijana wako anaenda kubeba mzigo mkubwa wa kuhudumia ukoo mzima
 
Kabisa kabisa...mie bwana mwanamke tako titi sura kwa maana nipo kiburudani zaidi kuliko kuangalia eti kuoa
Bora wewe umekua muwazi. Upo for pleasure tu nothing serious. Kuna wengine wanapambana kupindisha ukweli. Mara masikini wa akili, mara masikini asie muwajibikaji. Unakutana na mwanamke miaka 25+. Hana kipato, hasomi, hana chochote cha maana kinachoendelea kwenye maisha yake. Kwanini hakutumia hizo akili na uwajibikaji wake ili umkute angalao kuna kitu alishaanza kukifanya.
 
Bora wewe umeongea la maana,
Wanaume wa kizazi hiki no wonder wanaolewa wazazi sijui walikosea wapi!?
Kikawaida mwanaume hahitaji kipato cha mwanamke ila akiwa nacho sio mbaya ni nyongeza ila kuna yale ya msingi, utulivu wa nafsi na mambo mengine, mama bora kwa watoto...

Sasa niwe na mwanamke ana hela na bado anasumbua kichwa yangu, hapo changamoto..
Kiume kabisa mwanamke akikuzidi kipato kuna hali fulani, unaona si sawa.. sasa hapo upate mwanamke mwenye akili timamu ndio hiyo hali itapotea.
 
Back
Top Bottom