Mkuu kuna watu ambao hawapendi wanawake wao wawe na hekaheka zozote, wanataka mke akae nyumbani na mwanaume apambane alete.
Nafikiri Mwanaume ndio anapaswa kwanza awe na uwezo kiuchumi ndipo sasa aweze kuingia kwenye Mahusiano. Kwasababu mwanaume ndio anatongoza (anawinda), so kabla hajaingia mawindoni ni lazima ahakikishe ana tools.
Hoja ya mwanamke masikini haifa kupuuzwa pia kwa karne ya sasa, kutokana na 50/50. BUT under normal circumstance, Mwanaume jijenge kiuchumi ndipo uingie kwenye mahusiano, mengine ni preference za mtu binafsi.
Kama mwanaume huwezi kumtunza, kumlinda na kumuongoza mwanamke, achana na mapenzi maana malalamiko yatakuwa kwako hayaishi.
Hupaswi kuteseka kwenye mchezo uliochagua mwenyewe.