Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke.
Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada”
Mchina kaja na maji mengi kwa bei ileile nafuu, yaani 1.8L
Wazawa wamelala, wakija kushtuka hawana chao
View attachment 3532995View attachment 3532997