TFF na Serikali (Wizara ya Michezo) msidhani tumesahau tafadhali mfuteni kazi upesi sana Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,116
Nimepenyezewa za chini chini kuwa mnashindwa Kumfuta Kazi ( Kuachana nae mazima ) kutokana na Madudu yake aliyoyafanya AFCON 2023 Ivorry Coast na yale mengine aliyoyafanya hapa hapa Tanzania kwakuwa anakula Mshahara wake Mnono unaotoka Serikali kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Wakubwa Wawili huku mkubwa mwingine wa Tatu akishirikiana nae katika Mradi wao wa Siri wa Kuwatengenrza Wachezaji wa Tanzania na Kuwauza nje ya nchi akiwa kama Wakala dhambi ambayo ndiyo imemgharinu na kumtafuna alipokuwa na Kikosi cha Taifa Stars kwa Kipindi chote alichokuwa na Timu..

Haya GENTAMYCINE natoa Tamko na naomba mlitekeleze haraka kuwa mfuteni Kazi upesi sana Kocha Mkuu wa Taifa Stars Raia wa Algeria Adel Amrouche na tafuteni Kocha Mkuu mpya au wapeni Mamlaka rasmi hawa Makocha Wazawa akina Morocco na Mgunda kwani wanauwezo mkubwa wa kutufikisha mbali Mashindanoni na kikubwa ni Kuwaamini na Kutowadharau.
 
Back
Top Bottom